Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro ameagiza kusitishwa kwa ujenzi wa shule ya msingi katika eneo la michezo lililopo mtaa wa Panga, Tegeta Wazo Jijjini Dar es Salaam...
0 Reactions
2 Replies
286 Views
Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Mrisho Mashaka Gambo amewataka watu binafsi na sekta binafsi kuendelea kutenga sehemu ya faida yao kusaidia kwenye utatuzi wa changamoto mbalimbali zinazowakabili...
0 Reactions
0 Replies
141 Views
Nimekuja kuelewa kuwa tunamuabudu Mungu kwa misingi ilioandaliwa na wanadamu wenzetu. Tunamuenzi Mungu kwa nguzo zilizotengenezwa na wadamu wenzetu. Tunamtukuza Mungu kwa masharti ya wanadamu...
2 Reactions
10 Replies
345 Views
Hivi nawezaje kujua taarifa nilizo jaza kwenye form kipindi naitafta namba yangu ya NIDA baada ya kupata namba hiyo?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
INTRODUCTION: Ndugu moderators naomba uzi huu usipelekwe kwenye Forum ya Dini. Natumaini nimeeleweka. SCENARIO: Mistari ya Machungaji/Padre kwenye ibada/misa moja ... 1. Tutaanza na sadaka ya...
5 Reactions
27 Replies
1K Views
Wasalaam, Niseme nimesikitishwa mno, tena kupita maelezo, mtu tuliyekuwa tunaheshimiana sanaa, tunaitana "wakuu", kila tunapokutana kwenye nyuzi hapa JF, "mkuu" ni nyingi, mkuu wangu akanipa...
15 Reactions
57 Replies
905 Views
Hi everyone!. How are you all? Reflection ya mada hii nimeitoa kupitia uzoef wangu, nadharia zinazoelezea jamii kiujumla na kumbukumbu rejea ya movie ya mwaka 2020 inaitwa SPELL. Tamaduni ni...
1 Reactions
3 Replies
235 Views
Kila nikisoma huu mstari kwenye Injili ya Mathayo Mtakatifu nakumbuka namna Pascal Mayalla anavyopenda kutumia Neno " karma" Baada ya Petro kurudisha Upanga alani mwake akanyong'onyea na kwenda...
0 Reactions
4 Replies
232 Views
SIKU YA MASHOTO DUNIANI LEO Agosti 13, ni siku ya Mashoto Duniani (International Lefthanders Day). Siku hii imekuwa ikisherehekewa kila mwaka toka Agosti 13, 1976 pale chama cha Mashoto...
63 Reactions
441 Replies
57K Views
Habari wana-JF, Hapa naomba tupeane kanuni mbalimbali za kuiishi hii sayari dunia, tutajifunza mengi na hata kuongeza maarifa katika kukabiliana nayo kwa kipindi cha uhai wetu: Kanuni 13 za...
10 Reactions
21 Replies
820 Views
Hapa chini ni nyaraka zenye taarifa binafsi za mtu ambaye anaonekana aliomba nafasi ya kazi mahali fulani, lakini baada ya nyaraka zake kuisha kuisha umuhimu wakazitelekeza kiholela. Sijui waliuza...
0 Reactions
4 Replies
475 Views
Wiki iliyopita Hospitali ya Aga Khan Dar es Salaam inayomilikiwa na Taasisi ya Aga Khan ilitangaza kusitisha mkataba kati yake na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) katika Vituo 11 kati ya 24...
9 Reactions
34 Replies
3K Views
Wanaume nao watajitokeza kulalamika kuwa walibakwa na wake zao. Na itakuwa vipi watoto wakiyasikia ama kuyasoma malalamiko haya ya wazazi wao? N. B . BTW ashakuwa bibi, hii hadithi yake ni ya 2003.
4 Reactions
12 Replies
535 Views
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Deogratius Ndejembi amefanya kikao kazi na wataalamu wa Idara ya Maendeleo ya Makazi pamoja na Idara ya Upimaji na Ramani Agosti 13, 2024 ambacho...
0 Reactions
0 Replies
182 Views
Mimi Mjanja M1 siamini dini yoyote ulimwenguni lakini haimaanishi kuwa sitaki dini ziwepo ulimwenguni. Nimekaa na kutafakari sana endapo kama huu ulimwengu ungekuwa hauna Imani za dini...
1 Reactions
3 Replies
196 Views
Matajiri wa Jf najua mnajionea kwa wenzenu waliona sio mbaya wapendelee nafsi zao na kukuza status zao kwa kutembea na watoto wakali wa mjini. Ila leo hao slay queens wameanza kuonesha rangi zao...
10 Reactions
36 Replies
1K Views
Anonymous (4a38)
Kutoka Rwambaizi Karagwe Kagera wananchi tumekuwa tukiteseka Sana kwanza kuna swala vocha wenye maduka wamekuwa wakijapangia Bei za vocha ya sh 500 wanaiuza kuanzia 600 hadi 700 tunaomba...
1 Reactions
3 Replies
220 Views
Habari za muda huu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo, naomba kujua wale waliosafiri kwenda kufanya kazi au kusoma nje ya nchi, laini zenu mnafanya vipi hadi zisifungiwe na kuendelea...
4 Reactions
29 Replies
1K Views
Abiria wengi kwenye bodaboda wanataka waangalie kila hatua la tairi la mbele la pikipiki linapopita, anataka aone mbele kuliko hata dereva. Na ikiwa haoni vzuri upande huu anageuza shingo upande...
2 Reactions
16 Replies
454 Views
Back
Top Bottom