International Forum

News and Stories from rest of the World
Hakuna anayesazwa...
4 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari za Jumatatu wanajamvi, Nipo hapa leo naangalia Al-Jazeera ikiwa imepita miezi zaidi ya Miwili sasa kwanzia mapigano haya ya IDF na wanamgambo wa HAMAS kuanza mnamo Tarehe 7 mwezi wa kumi...
1 Reactions
27 Replies
1K Views
Waziri wa usalama wa USA alizuru israeli kwa mara ya tatu ndani ya mwezi mmoja. Baada ya mazungumzo na serikali ya Tel aviv ameruhusu israeli iendelee kuwamaliza magaidi ya Hamas. Ikumbukwe...
6 Reactions
25 Replies
1K Views
Tetemeko la Ardhi lenye ukubwa wa 6.2 Richa limesababisha vifo vya Watu 105 katika Jimbo la Gansu, vifo 11 katika Jimbo la Qinghai na kujeruhi wengine 250. Imeeleza kuwa Nyumba 4,782 zimeathirika...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Jeshi la Israel likiendelea na kampeni zake za vita dhidi ya Palestine na HAMAS,imeshambulia na kubomoa Church of Saint Porphyry-Gaza. Shambulizi hili sio la kwanza dhidi ya...
6 Reactions
73 Replies
2K Views
Wanaukumbi. #JoshuaMollel: 👉🏽Ukitazama video mmoja ya wanaoaminika kuwa wauaji anamuuliza Joshua kwa Lugha ya kiarabu kwamba yeye ni mmoja wa kundi la kigaidi la “Al-Shabaab”? Nina maswali: 1)...
13 Reactions
169 Replies
8K Views
Baraza la mji wa Bethlehm alipozaliwa nabii Issa (Yesu) limeamua kubomoa mapambo yote ya krismas yaliyopo eneo hilo ili kuomboleza vifo vya watoto huko Gaza na mauwaji yanayoendelea maeneo...
3 Reactions
38 Replies
2K Views
Wabunge nchini Marekani wamepiga kura kukosa imani na Rais wao Joe Biden kwa malalamiko ya kwamba Rais anatumia madaraka yake kula rushwa, kutakatisha fedha na familia yake kuwa na utajiri wa...
4 Reactions
35 Replies
2K Views
Sijaelewa kwanini Israel imetangaza hawa, walipaswa wakijisalimisha wachukuliwe kimya kimya wapelekwe sehemu mafichoni, wafanyiziwe huko mambo ya hovyo kwa muda mrefu sana.... Hamas terrorists...
8 Reactions
34 Replies
2K Views
Wayahudi au wengine wakiwaita mazayuni ni watu ambao wameishi Palestina/Israel tangu takribani miaka 1200 kabla ya Kristo. Historia yao ni ndefu sana na ipo katika vitabu vya dini na visivyo vya...
7 Reactions
11 Replies
671 Views
Hii ni habari njema sana asubuhi hii . Jeshi la Israeli limemuua mtumushi wa wizira ya mambo ya nje wa Ufaransa aliyekuwa katika moja ya nyumba huko Gaza. [emoji1134][emoji90][emoji632]
1 Reactions
3 Replies
328 Views
US Eisenhower aircraft carriers baada siku 19 inaondoka Ghuba ya Uajemi kuelekea Bahari nyekundu kujaribu kudili na Houthi tuone kama meli za Israel hazita endelea kutekwa na kulipuliwa endapo...
12 Reactions
59 Replies
5K Views
18 December 2023 CONAKRY, Guinea --Jumapili tarehe 17, 2023. Mlipuko na moto katika ghala kuu la mafuta nchini Guinea katika mji mkuu wa Conakry ulisababisha vifo vya takriban watu 11 na...
0 Reactions
1 Replies
480 Views
Msemaji wa wizara ya mambo ya nje Urusi mwanamama mrembo [emoji7][emoji7]Maria Zakharova ametoa hotuba nzito mno kuhisiana na hali ya mbaya inayoikabili Umoja wa Ulaya kwa kukosea kupiga hesabu...
16 Reactions
33 Replies
2K Views
In the face of uncertainty and distress, our hearts go out to Joshua Mollel and his family. Since October 7th, Joshua has been held hostage by Hamas, creating an unimaginable nightmare for his...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Tal Chaimi, mkazi wa Kibbutz Nir Yitzhak, na Joshua Luito Mollel, mkazi wa Kibbutz Nahal Oz , waliuawa wakati wakishikiliwa mateka na Hamas katika Ukanda wa Gaza. Miili yao yote miwili bado...
9 Reactions
405 Replies
27K Views
Nchi ya Iran inayoongozwa kwa itikadi za dini ya kiislamu huwa imeharamisha vitu vingi sana ikiwemo kucheza kwa furaha, sasa raia wa Iran wameanzisha aina mpya ya maandamano ili kujitoa kwenye...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Dec 17, 2023 10:21 UTC Shirika la Habari la Ujerumani limeinukuu Wizara ya Mambo ya Nje ya Ufaransa ikisema kuwa mwanadiplomasia wa nchi hiyo amefariki dunia kutokana na majeraha aliyoyapata...
3 Reactions
23 Replies
1K Views
MALAIKA WA ISRAEL NA VITA YA WAARABU. Ilikua wakati mmoja ambapo waisrael walikua katika mapumziko ya siku takatifu zaidi katika utamaduni na dini ya Kiyahudi na Kisamaria ambayo huangukia...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Siku za mwanzo wa vita kati ya wateule na wapalestina. Waislamu wote duniani walionywa wasitumiena kususia bidhaa zozote za wateule wayahudi. Wakasusa kwenda McDonald's na KFC. Pia kunywa Pepsi...
1 Reactions
13 Replies
781 Views
Back
Top Bottom