International Forum

News and Stories from rest of the World
Mshauri mkuu wa Ulinzi wa Marekani mh Suvillan akutana na Rais Mahamoud Abbas wa Palestine kupanga Gaza Ijayo itakavyokuwa Marekani Wanataka Gaza ikabidhiwe kwa Mamlaka ya Palestine chini ya...
2 Reactions
9 Replies
615 Views
Mazayuni wamekubali masharti yote ya kusitisha mapigano yaliyowekwa na Hamas kinyume ma matakwa yao. Hivi sasa mapigano yamesimamishwa rasmi huko Ghaza. Jana niliandika hivi: - Mazayuni wa...
11 Reactions
138 Replies
6K Views
Wanaukumbi. Hagari anasema IDF inawajibika kwa "tukio hilo la kusikitisha." "Hili ni eneo ambalo wanajeshi walikumbana na magaidi wengi, wakiwemo washambuliaji wa kujitoa mhanga," anaongeza...
3 Reactions
37 Replies
3K Views
Generali Brice Oligui Nguema Jenerali huyo anatarajiwa kuapishwa leo, Septemba 14, 2023 ataapishwa kuwa Rais wa Mpito akichukua madaraka kwa muda usiojulikana baada ya kupindua Utawala wa Familia...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Toka huu mzozo wa Israel na Palestine kushika kasi kwa sasa. Kuna baadhi ya mambo ya nimeyang'amua yanayo onesha upuuzi wa idara mbalimbali au vitengo mbalimbali katika taifa la Israel. Moja ya...
6 Reactions
29 Replies
2K Views
Andry Rajoelina ambaye ni Rais wa taifa hilo ataapishwa leo Desemba 16, 2023 kuendelea na nafasi hiyo baada ya kushinda katika Uchaguzi Mkuu uliofanyika huku kukiwa na madai ya Upinzani juu ya...
1 Reactions
1 Replies
613 Views
Biblia nzuri sana ina kila kitu soma mandiko utaona sehemu alaaniwe anaeilaani israel abarikiwe anaeibariki israel kuwa makini na post za israel jf usishangae unachaondika ndicho kinachokufwata...
11 Reactions
54 Replies
2K Views
Jeshi la wanamaji la Irani limeiamuru meli ya kivita ya Marekani iliyobeba ndege za kivita zaidi ya 20 iondoke karibu na eneo la bahari la Iran na pia ishushe chini helcopter yake ya kivita ambayo...
11 Reactions
26 Replies
2K Views
The young lawyer who battled his former lecturer in court and received praises from the CJ and SC judges explained that, the compliments came after his submission on why he believed the Emolument...
2 Reactions
5 Replies
452 Views
Kimbembe kinanukia huko Ghaza. Ni unafiki wa Waturuki na Urusi kutuma majeshi ya Ghaza au walikuwa wanagoja "timing" ya kidiplomasia kabla hawajafanya "move" yao. Wayahudi na Wamarekani mavi...
2 Reactions
46 Replies
4K Views
Wanaukumbi. ISRAELI WAPATA CHANGAMOTO YA USAFIRI 🇮🇱🇵🇸 Akifanyiwa mahojiano kupitia kituo cha redio cha 104 cha Israeli, Kamanda wa zamani wa Jeshi la Wanamaji la Israeli, Eliezer Merom alisema...
9 Reactions
76 Replies
5K Views
14 September 2023 Ankara, Turkey Mbunge wa Uturuki aanguka bungeni alipotoa kauli kuwa "Israel haitaepuka ghadhabu ya Allah", na baadaye kufariki Picha: mbunge Mh. Hasan Bitmez akipatiwa...
7 Reactions
114 Replies
7K Views
Meli ya kivita ya Marekani imefanikiwa kutungua makombora kadhaa yanayodaiwa kurushwa na waasi wa Houthi. --- A US Navy warship operating in the Middle East intercepted multiple projectiles near...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Wanaukumbi. Kwa mujibu wa Leaks Mawasiliano makali na ya dharura yanafanywa na Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani na baadhi ya nchi za Kiarabu hasa Misri na Qatar ili kushinikiza Hamas kukubali...
6 Reactions
118 Replies
6K Views
Master Sergeant Gal Meir Eisenkot, mwenye umri wa miaka 25 ameuliwa na wapiganaji wa Hamas hapo jana kaskazini ya Gaza. Gal ni mtoto wa Gadi Einsenkot ambaye ni mmoja wa mawaziri wa baraza la...
7 Reactions
49 Replies
5K Views
Gharama za kubwa za baadhi ya dawa nchini Nigeria kiwango ambacho kimepanda takribani mara kumi katika miezi michache iliyopita, kimewalazimisha baadhi ya wagonjwa kupunguza dozi au kugeukia tiba...
1 Reactions
3 Replies
403 Views
Putin amekuwa na desturi ya kufanya mkutano wa mwisho wa mwaka wa Waandishi wa Habari, hata hivyo mwaka 2022 alishindwa kufanya mkutano huo kwakuwa vita ya Ukraine ilikuwa imemkalia vibaya...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Wagaza hawa wanadai walitokewa na Yesu ndotoni, na kupewa maelekezo. Kuna vuguvugu kubwa la kikristo linaloendelea chini kwa chini katika kila ardhi ya mwarabu muislam. Pale pagumu kabisa Yesu...
10 Reactions
46 Replies
2K Views
Liliacha vijana waendelee kujifia, ila sasa wengi wanajisalimisha tena wakivuliwa nguo na kubaki uchi... Hamas's leader in the Gaza Strip Yahya Sinwar speaks during a meeting in Gaza City, on...
6 Reactions
29 Replies
3K Views
Hamas wameingia cha kike, Nafasi pekee ya cease fire waiiyopewa wakaivunja na sasa hakuna tena kurudi nyuma, Ni mwendo mdundo. Haya yote yanaendelea huku viongozi wakuu wa Hamas na familia zao...
9 Reactions
50 Replies
3K Views
Back
Top Bottom