Tarehe 18 Desemba ni siku ya maadhimisho ya miaka 45 tangu sera ya mageuzi na ufunguaji mlango ianze kutekelezwa nchini China. Katika kipindi hicho, China sio tu imefanikiwa kujiinua kiuchumi, na...
Waziri wa Uchumi na Viwanda Yasutoshi Nishimura, Waziri wa Mambo ya Ndani Junji Suzuki, Waziri wa Kilimo Ichiro Miyashita na Katibu Mkuu wa Baraza la Mawaziri Hirokazu Matsuno wamejiuzulu asubuhi...
Mzuka wanajamvi.
Poland yadai na kujigamba kuwa hamna ubakaji, wizi na uhalifu ukilinganisha na mataifa jirani na mengine ulaya wenye waislam wengi wahamiaji.
Wanajisifu na kujigamba kwa kuzuia...
Kile kikosi cha Israel kilichoteka bunge la Gaza na kupiga picha kadhaa wengi wao wameangamizwa[emoji1313][emoji1313][emoji1313]
The 13th battalion was the same battalion that occupied the Gaza...
Hakuna taifa la Waarabu lenye utayari wa kuwajibika kwenye kuijenga Gaza na kuilinda baada ya Israel kuisambaratisha, wote wamegoma.
Hivyo Israel itabidi ipakalie kimabavu baada ya kusafisha...
Israel imeanza Majaribio ya Kujaza Maji ya Chumvi kwenye Mahandaki walimojificha Hamas
Marekani yasema Zoezi hilo likifanyika Uyahudi inaweza kupunguza ushawishi wake duniani kwani yatakuwa ni...
Ukiiangalia hiyo ramani hapo juu utaona ni jinsi gani Wapalestina wanavyozidi kupoteza ardhi kila wakijaribu kupambana na Israel. Kuanzia waliposaidiwa na nchi za kiarabu wakashindwa hadi sasa...
Wanaukumbi.
Hamas imeonya kuwa hakuna mateka atakayeondoka Gaza akiwa hai hadi pale matakwa yake yatakapotimizwa.
"Hakuna adui wa kiyahudi na uongozi wake wa kiburi... wala wafuasi walio nyuma...
Huyu Mwamba hakupaswa kusahaulika Kwa haraka African Union. Huyu alihimiza taifa moja Afrika (badala ya nchi vipande-vipande 53). Tafadhali AU anzisheni Gaddafi day au Gaddafi Scholarship tumkumbe...
Kiongozi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo amepeleka mashambulizi yake ya kejeli dhidi ya mwenzake wa Rwanda katika ngazi nyingine kwa kumfananisha na Adolf Hitler.
Félix Tshisekedi alisema...
Rais Biden amesema ni Wajibu wa Marekani kuisaidia Israel hadi kundi la Hamas litakapoangamizwa kabisa na kubakia raia Wema wa Palestine
Biden amesema ana hakika mwisho wa Magaidi wa Hamas...
Tangu Putin atangaze Special Military operational yake Feb 2022 dhidi ya Ukraine, wengi waliamini kuwa huo ndo ulikuwa mwanzo wa vita kuu ya tatu (World War III) hasa Marekani na NATO walipoweka...
Wayemeni walisema hawataki kabisa meli za mazayuni ikatize kwenye sehemu wanazozifikia, yaani wasizione kabisa kwenye bahari yao au ya karibu yao, mpaka wawache kabisa kuwauwa na kuwatesa...
Video hiyo inaonyesha jeshi la Israel likikimbia na kupoteza wanajeshi wake wengi kutoka maeneo ya Gaza baada ya kupata uharibifu mkubwa wa rasilimali zao za mapigano, huku vifaru na magari ya...
Pentagon imekiri meli yake ya kivita iitwayo USS Carney imepigwa kwa makombora kwenye bahari nyekundu.Vipigo hivyo vimehusishwa na vita vya Israel huko Gaza na kwamba meli nyengine za kibiashara...
Mapya haya sasa, Mazayunni wameanza kuchukuwa askari wa kukodiwa Malawi, wanajuwa dhiki zetu Afrika na pesa wanayotowa zitatufanya twebde tu, Dah, hali inatisha:
Video clip inapanda taratibu.
Siku moja baada ya kutoa onyo kwa IDF kuwa wakiingia ardhini Gaza basi Iran itaingilia kati leo tena Iran wamerudia tena onyo hilo wakienda mbali zaidi na kusema kuwa Gaza itageuka uwanja qa vita...
Wanaukumbi.
🇾🇪🇮🇱 The Yemenis have turned the captured Israeli ship into a tourist attraction
Visitors are seen dancing, smoking waterpipes, and chilling on the ship.
===============
🇾🇪🇮🇱...
Tume ya uchaguzi ya Rwanda imetangaza kuwa Uchaguzi wa Rais na Wabunge unatarajiwa kufanyika Julai 15, 2024 ambapo Rais Paul Kagame anatarajiwa kuwania mhula wa nne.
Tume hiyo kupitia ujumbe wa X...
Ramani ya kushoto ni kipindi Urusi ilikua imeingiwa na mzuka wa balaa, na kujitutumua kuiparamia nchi ya watu, tulishuhudia mengi sana ikiwemo limsafara kuliwa na wabeba javelin, sasa Urusi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.