Serikali ya Israel chini ya jeshi la IDF linapanga kujaza maji kwenye mahandaki yanayotumiwa na wapiganaji wa HAMAS huko Gaza. Jeshi la Israel IDF limesema kwamba mara baada ya hatua ya kwanza ya...
Bunge la Rwanda limeidhinisha muswada unaosimamia usalama wa maumbile, lengo likiwa kushughulikia hatari inayoweza kutokea kwa GMOs ili kulinda bioanuwai na kuhifadhi wa mazingira.
Viumbe...
SERIKALI ya Israel imesema jeshi lake limeshambulia mamia ya malango huko Ukanda wa Gaza usiku kucha baada ya Waziri Mkuu Benjamin Ntenyahu kusema kuwa majeshi ya nchi yake yalikuwa katika mwanzo...
Ukisoma maoni ya watu mitandaoni hapa Tanzania , na mitandao ya kimataifa, hasa vyombo vya habari vya kimataifa, utaona watu kadhaa wanalaumu kwanini nchi za Kiarabu/Kiislam haziingilii vita ya...
Ni aliyewahi Mohamed Ould Abdel Aziz ambaye alikuwa Rais wa taifa hilo kati ya mwaka 2008 hadi 2019. Aziz amekutwa na hatia ya kujipatia mali kwa njia za haramu ikiwemo ubadhirifu.
Mstaafu huyo...
Baadhi ya WaNamibia wamekasirishwa baada ya kujua kwamba watoto wanne wa Rais Hage Geingob walijiunga na ujumbe wa serikali kwenye mkutano wa hali ya hewa wa COP28.
Walikuwa miongoni mwa watu...
Rais wa Guinea-Bissau siku ya Jumatatu alivunja bunge kabla ya uchaguzi mpya kufanyika akisema "jaribio la mapinduzi" limelingiza taifa hilo la Afrika Magharibi katika mgogoro mpya.
Rais Umaro...
Nimepita mitandao mbalimbali ya kijamii hapa nchini. Nimesikia maoni ya baadhi ya vijiwe mitaa ya Korogwe, Tanga mjini, Dar nk, Wanaosupport Hamas ni wengi. Tundu Lissu naye kaunga mkono Hamas...
Rai hiyo imetolewa leo Jijini Dar es Salaam na Balozi wa Palestina nchini Tanzania, Hamdi Mansour Abuali,wakati akizungumza na waandishi wa habari akizungumzia juu ya machafuko yanaendelea kati ya...
Hamas wamesema sasa wako tayari kuwaachia Wanajeshi wa Israel iliowateka lakini kwa Masharti Mapya
Hamas imemtaka Netanyahu kutafakari hilo
Source Al jazeera news
Wanaukumbi.
Afisa wa Hamas aambia Al Jazeera mazungumzo juu ya kubadilishana wafungwa sasa yamekwisha na hayatarejelea hadi Israel itakaposimamisha mashambulizi na kuwakabidhi wafungwa wote wa...
Mahakama ya juu nchini Urusi imepiga marufuku shughuri zote za vugu vugu la la kimataifa la LGBT na kulitaja kuwa kundi linalo hamasisha uovu uliovuka mipaka.
Mapema mwezi huu wizara ya sheria ya...
Vyanzo vya Kizayuni, baada ya kipindi kirefu cha kudhibiti na kuficha habari kuhusiana na vifo na majeruhi wake vitani, hatimaye vimekiri kuuawa askari jeshi wake 75 katika saa 24 zilizopita.
Kwa...
As we begin the Advent season, we think of those brothers and sisters confronted with war and violence. We prepared a report for you focusing on the situation of the small Christian minority...
Wanajeshi zaidi ya 60 wa Israel wauliwa kwa bomu Gaza, Israel kuondoa asilimia 70 ya majeshi yake Gaza
Hii ndo habari mbaya zaidi kwa Israel: Wanajeshi zaidi ya 60 wa Israel wameangizwa baada ya...
Hiyo Gaza muisahau, inazidi kufanywa shamba...
The U.S. has provided Israel with large bunker buster bombs, among tens of thousands of other weapons and artillery shells, to help dislodge Hamas...
Vladimir Putin apiga marufuku ushoga na shughuli zozote zinazohusiana na ushoga Russia, Mahakama ya Russia sasa inawatambua members wa LGBTQ community kama "extremists" pia mahakama imepiga...
Dhambi ya usaliti, mbaya dhambi ya usaliti, yaani dhambi ya usaliti ndio dhambi kubwa kwenye usaliti. Yes, dhambi ya usaliti. Mwaka 1960, Kasavubu alimsaliti Patrice Lumumba, akashiriki kupanga...
Benki ya Metro inayopitia changamoto kwa sasa ilisema Alhamisi tarehe 30/11/2023 kuwa inatarajia kupunguza idadi ya wafanyakazi kwa 20% kama juhudi sehemu ya juhudi za kokoa Pauni milioni 50 (Tsh...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.