Kuna mzozo unaendelea kati ya Canada na India. Mzozo huu ulianza baada ya kiongozi wa Sikh, Hardeep Singh Nijjar, kuuawa mnamo Juni 2023 huko British Columbia. Waziri Mkuu wa Canada, Justin...
Nov 26, 2023 02:26 UTC
Naibu Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema, utawala wa Kizayuni umelazimika kukubali usitishaji vita baada ya kushindwa kumkomboa hata mateka wake mmoja kupitia...
Mjumbe wa Muungano wa al Fat'h wa Iraq ameashiria jinsi makundi ya muqawama ya nchi hiyo yanavyoyaunga mkono makundi ya muqawama ya Palestina katika vita vya Ghaza na kusema kuwa, makundi hayo...
Ikiwa leo ni Siku ya pili ya Vita kusimama Israel wamesema wataachia Wafungwa wengine 42 ifikapo Jioni
Nao Hamas watawaachia Mateka 14 wa Israel
Source Al jazeera news
Ni mwaka 1964 usiku mmoja hivi, wanaume wanne weusi walikutana ndani ya chumba kimoja na kuanza kuzungumza. Usiku huo ulikuwa mkubwa kwa Wamarekani weusi, haikuwahi kutokea watu wa namna hiyo...
Units nzima ya jeshi la Israel yaangamizwa na Hamas wabunge wa Israel walia
A picture[emoji1313][emoji1313] of the killed unit from 'Givati Brigades' who were blown up together in northern Gaza...
Katika vita jambo la msingi askari awepo vitani anapaswa kuwa nalo ni ile spirit ya kupambana dhidi ya adui kwa hali yoyote ili amuangamize.
Hii kwa mifano michache nayo ifahamu ni pamoja na...
Kama tunavyohisi na ndo inaendelea kutokea.
Vita ya Gaza ina maslah makubwa kwa Russia , lakini pia Russia na Israel kuna jambo katikati si bure.
Mwenyekiti wa Baraza la usalama la Urussi Bw...
Kuna watu wanamsapoti Putin/Urusi kulazimisha kuikalia Ukraine kwa mabavu na wanasapoti Hamas kupambana Gaza kutokaliwa kimabavu na Israel ila wanaipinga Ukraine kupambana kutokaliwa kimabavu na...
Mazayuni wamechezea kichapo cha maana jana na juzi kutoka kwa Hamas, Hizbollah na Wayemeni kilichopelekea wao kukubali masharti yote ya Hamas ya kusimamisha mapigano.
Ikumbukwe kuwa mpaka juzi...
Duru za kijeshi za Marekani zinaripoti kuwa meli ya mizigo inayomilikiwa na bilionea wa Israel imeshambuliwa na ndege isiyo na rubani na kusema, "Drone hiyo inashukiwa kuwa ya Iran."
Afisa huyo...
Nabii Elia amewashukia Maaskofu wanaoiombea Serikali ya Netanyahu na kuichangia Sadaka waache kupotosha Watu kwani Netanyahu ni Wakala wa Shetani
Nabii Elia amewataja Askofu Prof Gamanywa na...
Je unataka kujua ni kwa nini uchumi wa nchi kama Tanzania unazidi kuwa ktk hali mbaya kila kukicha na gharama za maisha zinazidi kupaa na kusababisha umaskini kuongezeka basi soma makala hii...
HAMAS wameachiwa unafuu wa mapumziko ya kipigo kwa siku nne, nayo itaachia mateka 50 wa Israel na imeambiwa itaongezewa siku moja kwa kila ikiachia mateka kumi kwa siku, ila baada ya hapo kipondo...
Baada ya wajapan kuwa na tabia ya kishenzi na kufanya majirani zake karibia wote kutowapenda kutokana na ushenzi aliokuwa anawafanyia ndio alipo jikoroga na kupanda mabega kwenda kuwaoneshea...
Kuonesha kuwa Hamas vita vyao ni baina ya Palestina na Israel imeendelea kuwaachia mateka ilionao ambao ni raia wa mataifa mengine bure kabisa. Hii inaonekana kuwakamata kwao ilikuwa ni kwa bahati...
Nimeona sehemu mwana JF Bome-e analia sana kuhusu taarifa za Israel kukamata watoto, ila kikawaida kwenye medani unapomhusisha mtoto ashambulie jeshi, mara moja anakua military target, haijalishi...
Muda mfupi baada ya kusitishwa kwa vita kunakotarajiwa kuendelea kwa siku 4 makundi ya wapalestina waliotiii amri ya kwenda kusini ya Gaza walionekana kuandamana kutaka kurudi makwao.
Jeshi la...
Meli ya Israel imetekwa na Wapiganaji wa Houthi ikiwa na ma baharia wa Kijapani, hii imefuatia tangazo la hivi majuzi kuionya Israel kua meli zake zote zitalipuliwa zikikatisha
Yemen [emoji779]...
Vile vi operation uchwara kupaisha yale mabati kwenda kupiga vinu vya nuclear kule Syria na Iraq viko wapi? vile vi covert operation vya kipuuzi ambavyo vinapigiwa chapuo miaka na miaka kwenda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.