Eli Bin, the director general of Israel’s national emergency service Magen David Adom, has told Army Radio he had spoken to the Red Cross delegation overseeing the captive release.
He said he was...
Jinsi tunavyoiona leo teknolojia na uchumi wa China ukipaa na kuitishia Marekani, ndivyo ambavyo Japan ilikuwa na uchumi unaokua kwa kasi na kiteknolojia karibu kuifikia Marekani miaka ya 1980...
Photos: UN, Red Crescent staff rescue man shot by Israeli forces in Gaza
The incident took place on main road in the Zeitoun district on the southern outskirts of Gaza City...
Baada ya kusita kidogo kwa ule moto wa mabomu mazito kwa wiki moja. Tangu jana usiku mabomu mazito ya kuporomosha majengo yamejirudia. Na si kaskazini peke yake bali mpaka kusini watu walikotakiwa...
Nov 03, 2023 04:13 UTC
Jeshi la utawala haramu wa Israel limetangaza kuwa, wanajeshi wake 18 wameuawa na wengine wanne kujeruhiwa vibaya katika operesheni yao ya ardhini huko Gaza Plestina...
Nov 25, 2023 11:03 UTC
Netanyahu na mawaziri wakuu wa Uhispania na Ubelgiji
Mvutano umepamba moto kati ya utawala haramu wa Israel na Uhispania na Ubelgiji, nchi mbili za Ulaya ambazo mawaziri...
Mateka wanaachiliwa.na familia zinasherehekea Wapendwa wao kurudi salama huku familia za Wajeda zikipoteza Wapendwa wao
Kiukweli Wanajeshi Wana Uzalendo uliotukuka
Mlale Unono 😃
Apr 21, 2023
Utawala wa Kizayuni wa Israel umetangaza kuanguka kwa moja ya ndege zake zisizo na rubani wakati wa uvamizi wa anga ya Syria.
Kwa mujibu wa gazeti la Israel "Yadiyot Aharanot"...
Katika orodha ya masharti ya kusitisha vita ni kuruhusiwa kuingia Gaza kwa malori 200 ya misaada mbali mbali yakiwemo kwa uchache malori 4 ya mafuta kila siku.
Masharti hayo yatakayoanza...
Kwa kitendo Chao cha kupeleka maombi kutaka kujiunga na nato ,mzee Putin amefunga koki za kupeleka gesi na tayari amewakatia umeme Sasa ngoma inogire raia wa finland
Kamanda wa Kamandi Kuu ya Khatam al-Anbiya ya Jeshi la Iran amesema makamanda wa Kamandi Kuu ya Jeshi la Marekani katika eneo la Asia Magharibi (CENTCOM), na vile vile makamanda wa Kikosi cha...
Mkakati uliopo baada ya kukoswa njia mbadala ya kuwafumua mashimoni Hamas, IDF wamekuja na mkakayi wa kupump maji ya baharini kwenye mahandaki na tunnels za hamas huko gaza.
Njia hii iliwahi...
IDF wameshasema lengo lao ni viongozi wa HAMAS kwa hiyo wanawasaka popote walipo na HAMAS wameona sehemu ya kutafuta huruma kwa mataifa mengine ni kujificha kwenye miundombinu ya kutolea huduma za...
Waziri wa Foreign Affairs wa Qatar amesema kesho Ijumaa Saa 1 00 asubuhi mapigano yatasimamishwa huko Gaza
Na Saa 10 00 Jioni kutakuwa na mabadilishano ya Mateka
Utaratibu wote utafuatiliwa...
Myahudi Anakupiga wewe utawatoa ulikowaweka. Mbona ni rahisi. Umewahi mwibia mtu kitu halafu akawa anakutandika tu we mwenyewe unamwambia nlificha kwenye ...? Ndo alichofanya myahudi kwa kamas...
Wanaukumbi.
BREAKING: ISRAEL YAWAACHA MATEKA 39 WA PALESTINA KWA WATEKAJI WA ISRAELI HUKO GAZA.
Israel imewaachilia mateka Wapalestina 39, wanawake 24 na watoto 15.
Hamas kukabiliana na mateka...
Rais Miguel akiongoza maandamano Havana kuwaunga mkono Hamas.
Katika hali ya mabadiliko ya haraka kufuatia mashambulizi ya Hamas ya Oktoba sana huko Cuba Rais wa nchi hiyo ameongoza maandamano ya...
Kwema Wakuu!
Haijalishi Israel itashinda kwa kishindo gani. Haijalishi itaua na kuangamiza Hamas na hasa. Lakini kitendo cha MOSAD Kushindwa kutambua mahali walipo Mateka kwa zaidi ya siku 40...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.