International Forum

News and Stories from rest of the World
Hala Al-Karib ambaye ni Mkurugenzi wa Taasisi ya SIHA inayojihusisha kutetea Haki za Wanawake Barani Afrika amesema Asilimia 70 ya matukio yaliyorekodiwa ya Unyanyasaji wa Kijinsia ni Ubakaji wa...
1 Reactions
6 Replies
711 Views
The Sinicization Of Religions In China Huu ni utaratibu maalumu unaofanywa na nchi ya China kuzifanya dini zote za ng'ambo ziendane na utamaduni na mfumo mzima wa maisha wa jamii ya kichina...
5 Reactions
15 Replies
946 Views
NIMEONA BBC Waziristan wa China amesema wananchi wajipange kuna watu kadhaa wameripotiwa kuwa na matatizo ya upumuaji Haha hivyoo hawajaelewaaa aina ya kijidudu inayowasumbua kwa sasaaa..mmh...
1 Reactions
7 Replies
482 Views
Mtume Muhammad (SAW) alitokewa na njozi alipokuwa pangoni mnamo karne ya 7 A.D. Njozi hiyo ilimtaka kwamba aanzishe dini mpya ya kiislamu. Ikumbukwe kwamba kwa wakati huo dini ya kikristo ilikuwa...
5 Reactions
22 Replies
2K Views
Madai ya Hamas, Hisbollah na Iran ni kumnyang'anya Muisrael jiji lake zuri la Jerusalem. Sasa mnaopinga kama Israel siyo mshindi na mbabe wa mashariki ya kati basi mmpeni Hamasi jiji la Daudi au...
1 Reactions
6 Replies
770 Views
Who is winning the battle? Nilitegemea 6 day war or something near to that ijirudie, why not this time? Ina maana Israel nguvu zake kijeshi zinatelemka, and if so , IS IT WRIGHT ONE TO PREDICT...
7 Reactions
27 Replies
2K Views
Kwema Wakuu. Hii ni kwa mtizamo wangu, muono wangu, kila nitakachoeleza kitatokana na uelewa wangu kuhusu vile ninavyowajua Watu na binadamu. Yeyote anaweza kunipinga kwa hoja na kulingana na...
19 Reactions
79 Replies
3K Views
Mkutano wa kwanza tangu kuongezwa kwa nchi wanachama wa BRICS ulifanyika wiki iliyopita, ambapo rais wa China, Xi Jinping, alitoa hotuba na kusisitiza kuwa, ni muhimu kwa nchi wanachama kukutana...
1 Reactions
4 Replies
556 Views
Wapalestina wasio na hatia wanauawa na kupitia mateso mbalimbali kutokana na kundi la kigaidi la Hamas ambalo kila mara limekuwa likiwashambulia Wayahudi, na kusababisha uhasama mkubwa na...
12 Reactions
125 Replies
6K Views
Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis, katika matamshi yake makali tangu kuanza kwa mzozo kati ya Palestina na Israel, ametoa wito wa kuachiliwa kwa Mateka wote waliochukuliwa na...
5 Reactions
28 Replies
2K Views
Najua kitu ambacho kinamuuma Israel ni kukubali kubadilishana mateka na watu ambao mwanzoni waliwaita ni migambo tu Japo kuwa hiyo ya kubadilishana mateka ni moja ya mbinu za kivita na hiyo ipo...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Haiwezekani handaki lililogunduliwa la mita 55 liwe chini ya hospitali bila wao kujua na muda wote walikua wanakana halipo, watahojiwa zaidi. ====================== The director of Shifa Hospital...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Nov 05, 2023 06:50 UTC Katika matamshi yake mapya kuhusu vita vya Ghaza, Barack Obama, rais wa zamani wa Marekani ameulaumu vikali utawala wa Kizayuni wa Israel na kusema kuwa ndio unaobeba...
5 Reactions
13 Replies
1K Views
Mwaka 2021 Augustin kabuya msemaji wa serekali alipo ulizwa je Kuna mpinzani yeyote ambaye anaweza kumshinda felix Tshisekedi kwenye uchaguzi mkuu mwaka 2023 Augustin kabuya alijibu Moise...
2 Reactions
6 Replies
825 Views
Kama heading inavyojieleza.Kuna Wagombea takribani 25. Hata hivyo Wagombea Wakuu ni wafuatao; -Felix Tshisekedi (Rais anaegombea awamu ya 2) -Moise Katumbi(Tajiri wa Madini) -Martin...
-1 Reactions
6 Replies
704 Views
Waziri wa Ulinzi wa Israel ametoa masharti mapya ili kuruhusu misaada ya kibinadamu kuingia Gaza. Akitoa taarifa hiyo, Waziri huyo emesema kwamba zaidi ya Wanajeshi 40 na Raia 100 wenye Uraia...
23 Reactions
189 Replies
12K Views
Baada ya muda mrefu wa ukimya jana Jumanne serikali ya Jordan imeongeza idadi ya askari na vifaa vya kivita mpakani na Israel tayari kwa mapigano iwapo Israel itaendelea kuhatarisha usalama wao...
9 Reactions
56 Replies
4K Views
Israel tangu kuundwa kwake limekuwa ni taifa hatari sana kwa usalama wa wenyeji waliowakuta na usalama wa majirani zake wote na hata kwa ulimwengu mzima. Taifa hilo linaongoza kwa kupinga...
7 Reactions
32 Replies
1K Views
Mkutano wa kwanza tangu kuongezwa kwa nchi wanachama wa BRICS ulifanyika wiki iliyopita, ambapo rais wa China, Xi Jinping, alitoa hotuba na kusisitiza kuwa, ni muhimu kwa nchi wanachama kukutana...
0 Reactions
0 Replies
325 Views
Duh! Afrika Kusini wanalo, kama ilifika wakaachia mazombi ya kidini mpaka yakafikia uongozi wa kuwa meya A former mayor of Johannesburg, South Africa posts online a picture of himself holding...
3 Reactions
60 Replies
3K Views
Back
Top Bottom