Tuachane na vita vya Israel na Hamas.Hivi vita vimeisha na Israel haiwezi kuwapata Hamas wala mateka.
Uchunguzi wa kitaalamu ukihusisha mizozo mengine ya kivita ya miaka ya karibuni unaonesha...
Hamas wamesema katika Mipango yao hawakujua kama kutakuwa na Tamasha la Muziki siku ya tukio.
Ikumbukwe Waisrael 360 wanaosadikiwa walikuwa Kwenye Tamasha la Muziki waliuawa siku ya uvamizi wa...
15 NOVEMBER 2023
The "only Democracy in the Middle East." Yes,the Israel government instructed it's army to blow up the Parliament Building of the Gaza Strip today. Video Below.
The video...
Taarifa iliyotolewa na Serikali imesema Bosi huyo wa zamani, Godwin Emefiele ameshtakiwa kwa makosa ya Ubadhirifu katika Manunuzi wakati aalipkuwa Gavana wa Benki Kuu, hivyo tarativu za Kesi na...
Israel inataka kufanya operesheni ambayo haijashuhudiwa siku nyingine, wanajeshi 300,000 watafanya uvamizi ambao utahusu kufagia choko choko zote za huo ukanda. Raia waliamrishwa wahamie Kusini...
Wazungu wana uungwana mwingi sana maana Omar bin Laden, anaishi kwa uhuru kule Normandy Ufaransa.
Omar bin Laden
Wakati mtoto wa kwanza, Abdallah bin Laden anaishi Saudi Arabia na haruhusiwi...
Kuna baadhi ya watu wamepata dhana kuwa vita vinakaribia mwisho Gaza, kumbe ndio kwanza viko katikati ya safari.
Kifo cha Colonel Kevin Darwin hapo juzi huko Gaza kumeleta huzuni kubwa mjini Tel...
Hamas wasema Ijumaa hii wataitisha maandamano ya nchi za kiarabu kulaani mashambulizi anayofanya Israel huko Gaza tokea jumapili.
Waziri Netanyahu wa Israel alisikika akisema Israel inatarajia...
Ni kama serkali ya Tanzania inasema hao watanzania na wafe tu hawana thamani wenye thamani
Inawezekana vipi balozi wa palestine nchini hajafukuzwa?
Magaidi ya palestine yameshikilia vijana wetu...
Taarifa zimezagaa kuwa mmoja wa mateka wawili wa kitanzania waliokuwa huko Gaza ameshafariki dunia.Mateka huyo anaitwa Clemence Felix Mtenga, mwenye umri wa miaka 22.
Kwa mujibu wa taarifa hiyo...
Mimi nasimama na Israel kwenye mapigano haya, ila tu kwa niliyoyaona Jana naweza kushauri kwamba Sasa inatosha. Nadhani kwa Sasa Israel isistishe mapigano na Hamas maana kwa Sasa wanaoumia sio...
Wanaukumbi.
Mwanzo tuliaminishwa kuwa Hospitali ya Al Shifa, kuwa ndiyo Makao Makuu ya Hamas wana maandaki chini ya hosptali wanajicha huko na kupanga mashambulizi pia wanatumia wagonjwa na raia...
Mashabiki wa Putini na China, vipi kuhusu Ruble na Yuan zimefikia wapi sokoni?
Vipi, Dollar imeanguka?
Mzungu atabaki mzungu tu!
Nimekuwa nikijiuliza, siku Marekani aache kabisa kutoa misaada...
[emoji1078]
Moïse Katumbi atangaza rasmi kugombea urais kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka ujao na vilevile, amesema kwamba amejiondoa katika umoja wa kitaifa (Union sacrée de la nation).
“...Matokeo...
Naombeni mwenye kujua undani wa mauaji ya wayahudi kipindi cha Hitler naomba story ya Nazi Concentration Camps zile kama Sobobor, Ustwich etc
Na zile death gas chambers.
Vatican imethibitisha marufuku iliyopo kwa waumini wa kanisa katoliki kuwa wanachama wa muungano wa Freemasons.
Waraka mpya uliotiwa saini na Papa Francis umesema mafundisho ya Kikatoliki na...
Wanaukumbi.
Naona vyombo vya habari ambavyo vilikuwa vinasambaza propaganda za Israel vimeona vinakwenda kuabika mbele ya dunia kwenye hili sakata la SHIFA HOSPITAL BBC, FOX NEWS waliogozana na...
Hakuna kitu kinatisha kwenye historia na maisha yote ya binadamu kama vita, ukiingia kwenye vita ya mtu mmoja mkatwangana mangumi lazima kuna mmoja au wote mtatoka mmeumia. Kushinda ndani ya...
Kitendo cha Israel kwenda on ground huko Gaza kina kila dalili ya kuleta mapigano heavyweight na ndo maana US amesogeza meli nyingine na Israel amesita kwanza kwenda kichwakichwa.
Waziri wa...
Waziri mkuu wa Israel, Benjamini Netanyau amenukuliwa akisema kwa jeuri na majivuno kuwa, jeshi la Israeli (IDF) litafika kila eneo lisiloweza kufikiwa huko Gaza na hakuna kima, pimbi au mende wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.