International Forum

News and Stories from rest of the World
Russia has imposed a ban on the export of diesel and gasoline to all western countries, with the exception of only few countries like Armenia, Belarus, Kazakhstan and Kyrgyzstan. This decision...
8 Reactions
32 Replies
2K Views
Nchi ya Afrika ya kusini imeweka azma ya kufungua mashitaka dhidi ya taifa la Israel na waziri mkuu wake Benjamin Netanyahu kufuatia ukatili na mauaji wanayoendelea kufanya Gaza. Rais Ramaphosa...
7 Reactions
35 Replies
2K Views
Mzuka wanajamvi, Jeshi tukufu, takatifu na Teule la Israel IDF lapiga picha wakiwa ndani ya jengo la bunge Gaza huku wakipeperusha bendera ya taifa teule la Israel wakiwa na furaha.
35 Reactions
235 Replies
11K Views
Serikali ya Rwanda imetia saini hapo jana makubaliano na shirika kutoka mataifa ya Canada na Ujerumani, ili kuanzisha ujenzi wa kinu cha nyuklia ambacho kitakuwa tayari kwa majaribio ifikapo mwaka...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Wanaukumbi, Israel na propaganda zao Dunia inafahamu uongo wao waliwachoma moto Wapalestina 200 wakasema ni Waisrael wamechomwa na Hamas leo wamekiri kuwa ni Wapelestina. Swali basi ni, nani...
3 Reactions
10 Replies
725 Views
Kila nchi hapa duniani kuna madhabahu na mungu wa hiyo madhabahu. Kila jamii ina ibada na kuna maagizo yakufuata. Wale ambao wanampigania mungu wao na kupigwa inakuwa na tafsiri gani? Yule mungu...
8 Reactions
40 Replies
1K Views
Wasalaam Naomba kujua Rwanda inanuifaka vipi na hili jambo,ambalo linaonekana ni kama unyanyasaji wa wahamiaji hawa?
0 Reactions
3 Replies
489 Views
1. Waislam ni ndugu. Hii ndio imani ya waislam 2. Waislam wapenda haki. Isreal imevamia ardhi ya watu wa Palestina na kuwanyanganya 3. Masjid Aqswa hawawezi kuwachiwa mayahydi waifugie nguruwe 4...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Tarehe 15, Novemba kwa saa za Marekani, dunia nzima inaelekeza macho Philori Manor mjini San Francisco, ambapo Rais Xi Jinping wa China alialikwa na kuwa na mkutano wa saa nne na rais Joe Biden wa...
3 Reactions
26 Replies
1K Views
Israel iimefanya mauaji ya watoto, wanawake na raia wasio na hatia kwa kuipiga mabomu hospital kuu Gaza kwa kisingizio kua ni chini kuna makao makuu ya HAMAS,wamefichwa mateka na ni hifadhi ya...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Serikali ya Uingereza imesitisha mpango wa safari ya ndege iliyotakiwa kuwabeba waomba hifadhi kwenda Rwanda baada ya Mahakama ya Haki za Binaadamu ya Ulaya kusema mpango huo unaakisi athari...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Miili ya wanajeshi 16 Israel ikiwa majivu baada kupata kipigo.. They are no longer cheering and dancing “we got Gaza all the children are dead now do they. ? [emoji736]God almighty works in...
13 Reactions
135 Replies
7K Views
Baada ya kuizingira Gaza na kuhakikisha hakuna gaidi litakalotoroka, sasa wafaulu kuingia mjini kati. ========= Defence Minister Yoav Gallant said on Tuesday, November 7, Israeli forces were...
5 Reactions
148 Replies
8K Views
Vita kumbe bado viko hatua za mwanzo sana na yajayo yatafurahisha. Inashangaza sana nchi za kiarabu kumuogopa simba ambaye ameshachoka kujitetea Habari mpya ni kwamba jeshi la Israel huenda...
6 Reactions
39 Replies
3K Views
Umoja wa Mataifa umesema unalazimika kusitisha Mazoezi yake ya Utoaji Misaada ya aina mbalimbali huko Gaza kwa sababu ya kukosekana Mafuta katika eneo hilo Source: BBC news
0 Reactions
0 Replies
283 Views
Sjawahi kujua ni kivipi Israel huwa ni vigumu kupigika. Ukiondoa hiyo Imani ya kusema ni taifa la Mungu, lakini Je, Mungu hachukii kisirani? Mbona hicho kitaifa kina watu na viongozi wenye...
21 Reactions
194 Replies
11K Views
Vita vinavyoendelea mpaka kufikia leo vimepitia hatua nyingi na za wazi.Kila mwenye kuelewa alielewa kilichopangwa kutokea.Hii ni kwa vile vita hivi kati ya Israel na wapalestina vimepiganwa...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Kiaongozi wa Iran Ayatollah awasuta wanaoshangaa kwanini Iran imeishindwa kufanya chochote kwenye huu ugomvi, asema jinsi vile vile haikuombwa ushauri kabla kulianzisha basi wapambane tu huko na...
15 Reactions
105 Replies
5K Views
Ikiwa ni zaidi ya mwezi sasa tangu vita vianze na huku jeshi la Israel likisema limeizingira Gaza yote kwa vifaru na kubomoa mahandaki yanayotumiwa na Hamas,ghafla leo kombora zito la masafa...
8 Reactions
66 Replies
4K Views
Hospital ya Alshifa Makao makuu ya jeshi la Hamas wakati wa ukoloni yalikuwa Makao makuu ya Jeshi la Mwingereza Mwingereza alipoondoka hayo makao makuu ya Jeshi la Mwingereza ikageuzwa Hospitali...
15 Reactions
70 Replies
4K Views
Back
Top Bottom