Baada ya kuigawa Gaza vipande viwili, sasa magaidi yaliachwa kaskazini, Israel wamekua wakiyabamiza bila upinzani wa maana na tayari kuingia mjini kati usiku wa leo.....
=================
Israeli...
Kuna taarifa zenye utata ya kuwa viongozi wa Iran wamesemea hawatoi msaada kwa Hamas eti kwa vile hawakuwaeleza mapema kuhusiana na shambulio lao la okotoba 7.
Hizbolah nayo ya Lebanon iliwahi...
RE: ISRAELI CRIME IN GAZA STRIP AND THE WEST BANK FACTS AND FIGURES
"In Gaza, one has to stand in line for hours to get anything... water, the toilet, bread. Everything except death, no line is...
Sisi tulipofika Israel na kuzuru maeneo Matakatifu katika Nchi ile nzuri tunaitetea Nchi ile Takatifu aliyoibariki Mungu wa Mbinguni mwenyewe Ezekiel 34:29
Kwamba Waisrael hawa wa Leo ni Taifa...
Rais Xi Jinping wa China na mwenyeji wake Joe Biden wamekutana na kufanya mazungumzo ya ana kwa ana yaliyokuwa yanasubiriwa kwa muda mrefu na wadau wengi wa mambo ya uchumi na siasa. Kwenye...
Quran imeeleza wazi
Mwenyezi Mungu hawakatazi kuwafanyia hisani na uadilifu wale ambao hawakupigana nanyi kwa ajili ya dini, wala hawakuwafukuza katika nchi zenu.
Hakika Mwenyezi Mungu...
Rais Xi Jinping wa China anatarajiwa kufanya ziara nchini Marekani kati ya Novemba 14-17 ambalo atakuwa na mkutano na mwenzake wa Marekani na pia kuhudhuria mkutano wa Jumuiya ya Ushirikiano wa...
Rais wa China Xi Jinping amekutana na kufanya mazungumzo na mwenzake wa Marekani Joe Biden kabla ya Mkutano wa Viongozi wa Ushirikiano wa Kiuchumi wa Asia na Pasific (APEC) wa mwaka huu, ambayo...
Uzi mfupi tu!
Nauliza, ni nani hayupo tayari kuishi na mwenzake kati ya Muisrael na Mpalestina.
Kuna ugumu gani hizi jamii ziishi kama nchi moja ili mgogoro huu uishe. Yaani Wapalestina wawe...
Kwamba Mgambo wanapigana na Jeshi la Israel ft USA kwa zaidi ya mwezi mmoja bila kusalimu Amri?
Kama hawa ndio Mgambo, basi Africa bado tuna safari ndefu sana
Nawatakia Dominica Njema 😀
Neno Corona, hakika sitakuwa nimekosea nikisema linatawala vinywani mwa wanadamu kwa sasa kuliko maneno mengi tunapoongelea magonjwa ya mlipuko. Hii imetokana na uzito wa maradhi yenyewe, hasa kwa...
Attending an official funeral to pay tribute to the bodies [emoji736]of 5 military generals and [emoji736]50 Israeli officers, soldiers, and conscripts who were killed during the last 5 days of...
Urais wa Mwanasoka wa zamani na Mwanasiasa wa Liberia, George Weah uko shakani kutokana na Kura za Marudio kuonesha anazidiwa na mpinzani wake Joseph Boakai
Hadi sasa inaripotiwa kuwa Matokeo ya...
Jamaa hawachoki, yaani ndio kama wanaanza vile..............
Clashes involving armoured vehicles and heavy weapons continued between the Sudan Armed Forces (SAF) and Rapid Support Forces (RSF)...
Vita dhidi ya Hamas inaigharimu Israel dolla za kimarekani 260 milioni kila siku (sawa na 260,000000 x 2500 = 650,000,000,000 TZ sh). Hii imeelezwa na Idara ya fedha ya nchi hiyo. Hiki ni kiwango...
Kila kitu kina mwisho wake, HAMAS waliofanya hospitali kuwa makao makuu yao ndio mwisho wao sasa, makomando wa Israel wameanza kuingia kiaina fulu mpambano....yaani movie.
Israel’s military has...
Israel kamatia hapo tu...
Hauwezi kuiondoa Israeli kwenye ramani ya dunia, amini usiamini itakupa tabu...Bahati Bukuku
https://www.youtube.com/watch?v=vbRCT38Y-Gs
Nearly 300,000 people rallied...
In economic front Nigeria beats Iran by far Nigeria is a quarter more GDP than Iran
Wana njengo kifupi Nigeria ni tajiri kuliko Iran kiuchumi!!
Viva nigeria
Nigeria ilituma maombi ya Kujiunga BRICS na Kukataliwa Kwa sababu za Kisiasa.Sasa imetuma maombi ya Kujiunga na G20 kundi la Mataifa yenye Uchumi mkubwa Duniani.
Je watakubaliwa au watachinjiwa...
Taasisi ya kwanza ni Zionists ama Wayahudi. Hawa ni nambari Wani. Tunakumbuka walivyompokea Yesu akiingia Yerusalemi. Walidiriki hata kumtandikia kanga apite juu asikanyage ardhi tena akiwa juu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.