The Atlantis Report
End Game for The US Dollar as the Central Banks Losing Confidence in The Dollar . THE EMPIRE OF THE DOLLAR IS DRAWING IN ITS PAINFUL AGONY OF DEATH, AND ITS PATRIARCHS ARE...
Hatimaye Jeshi la Israel limeweza kuitwaa ngome kuu ya Hamas katikati mwa JIJi la Gaza. Ngome hiyo maarufu Kama Central Hamas Military quarter iliyopakana na hospitali ya eneo la Shifa.
Kikosi...
Hata Hamza wa Selender bridge baada ya Kufanya yake akasimama hadharani na kusema niuweni
Al Qaida walipambana hadi tone la mwisho bila kuihusisha raia wasio na hatia
Kwa Uwoga wanaoonesha...
Wakati vita ya Israel dhidi ya kikundi cha HAMAS ikiendelea kwa Israel kupiga mabomu watoto na wanawake,tazama sehemu ya maiti za wanajeshi wa Israel ambao wameuawa na HAMAS.
Wana mgambo wa...
Baadhi ya wakazi wa Houston alfajiri ya leo 9/11.2023 wametaharuki kwa kuamshwa na kishindo kikubwa kilichofatiwa na moshi mkubwa kilichotokea kwenye kiwanda kimoja cha makemikali. Kishindo na...
Makazi yamesambaratishwa, wakimbizi wanateseka kila siku, na hadi sasa vimeripotiwa vifo 9,770..... na bado Israel wanaendelea na shughuli baada ya kuzingira Gaza...............hivi mnaoshabikia...
Katika mazungumzo yake na chansela wa Ujerumani muda mfupi uliopita, Raisi El Sisi wa Misri amesema hawezi kufanya maamuzi ya kijinga kuruhusu wapalestina kutoka Gaza waingie nchini humo kama...
IDF jana Iliana shambulizi katika Kambi za wakimbizi Gaza ambapo kulikuwa na wafanyakazi wa Umoja wa Mataifa waliokuwa wakifanya katika mashirika mabali mbali ya Umoja wa Mataifa yanayo hudumia...
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametoa mjibizo kwa shambulio lililofanywa na utawala haramu wa Kizayuni dhidi ya Hospitali ya Watoto ya Al-Nasr huko Gaza, na...
Tangu jeshi la IDF liweke vifaru vyake pembezoni mwa Gaza ikitishia kuingia ndani ya Gaza kuwasaka Hamas,Iran imekuwa ikitoa maonyo makali kwa Israel isithubutu kufanya hivyo kwani itakuwa ni...
Israel imesema askari wake 35 wameuawa tangu waanze Operesheni ya ardhini
IDF imesema Hamas wamepoteza udhibiti wa Gaza Kaskazini na Wapalestina wote sasa wanaelekea Gaza Kusini
Source BBC news
Tatizo la msingi la Wayahudi ni kauli yao hii waliyoisema juu ya Yesu: Math 27:25. Wakasema damu yake na iwe juu yetu na juu ya watoto wetu! Tuwaombee Mungu awape kutubu na kupokea rehema...
Nov 10, 2023 02:53 UTC
Kiongozi wa chama cha upinzani nchini Afrika Kusini ametoa mwito kwa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) kumtia mbaroni Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala wa...
Waziri Mkuu wa Ureno Antonio Costa amelazimika kujiuzulu nafasi yake Kufuatia Mkuu wake wa Utumishi/Katibu Mkuu Kiongozi(Chief Secretary/Chief of Staff) Kushikiliwa na mamlaka za kupambana na...
Utawala wa kijeshi wa Burkina Faso inatumia vibaya sheria ya dharura kuandikisha wanaodhaniwa kuwa wapinzani na wakosoaji wake kuijiunga kwenye vita hatari dhidi ya wanamgambo.
Watu hao...
Mfalme wa Dubai,Sheikh Mohammed ametangaza kanuni kumi atakazozitumia kuongoza uchumi katika kipindi cha miaka kumi ijayo.
1. Nchi itakuwa na uchumi wa soko huria
UAE itakaribisha biashara ya...
Katika hali isiyotegemewa kabisa.Viongozi wa kundi la Hamas wamekanusha madai ya jeshi la Israel kwamba wamepoteza udhibiti wa Gaza na kwamba jeshi la Israel limesonga mbele mpaka katikati ya...
BADALA YA KUBARIKI WATOTO NA KIZAZI CHAKO UNABARIKI ISRAEL USIYOIJUA WALA ISIYOKUJUA; ACHENI UCHIZI.
Anàandika, Robert Heriel
Mtibeli
Yesu kama Watibeli wengine alishawahi kuwatolea maneno...
Hapo jana wanamgambo wa Houth wa Yemen kwa mara nyengine walifanya mashambulizi ya kuvizia kusini mwa Israel kwenye mji wa bandari wa Eliat.
Tofauti na mashambulio ya awali ambayo yaliweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.