International Forum

News and Stories from rest of the World
Kutokana na maendeleo ya sayansi na teknolojia duniani, hasa kuongezeka kwa mahitaji ya bidhaa za madini adimu zinazotumika kwenye sekta za utengenezaji wa magari yanayotumia umeme na vifaa...
0 Reactions
1 Replies
483 Views
Baada ya China kupata maendeleo makubwa ya kiuchumi, nafasi yake ikiwa kama nchi mkopeshaji imeongezeka na kuwa mbele duniani. Malengo ya sera ya uwekezaji wa China kwa nchi za Afrika yanaendana...
1 Reactions
1 Replies
425 Views
China imekuwa na utaratibu wa kupeleka wataalamu wa afya katika nchi mbalimbali duniani, ambao huungana na wenzao katika nchi husika kutoa huduma za matibabu kwa watu wenye matatizo ya kiafya...
0 Reactions
0 Replies
433 Views
Russia baada ya kuona Wafungwa wa vita wa Ukraine wananenepa kwa kula ugali wa bure na vidali wameamua kuwapeleka mstari wa mbele wapigane na Jeshi lao la zamani Ukraine.. Russia Ukrainian PoWs...
4 Reactions
8 Replies
992 Views
Inaonekana kama kuna ushabiki kwenye hili suala,ila kinachoendelea huko ni balaa. Tatizo hili linatupa funzo gani? Issue kama hii inaendelea pia Darfur,tujifunze kuwa watu haki,upendo, amani na...
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (SEPAH) amesema kuwa, hii leo Gaza imekuwa uwanja wa kuzikia Marekani na utawala wa Kizayuni, na utawala naoikalii kwa mabavu Quds...
1 Reactions
6 Replies
725 Views
Mataifa kama vile Misri, Brazil n.k. yaliyokua yameuziwa silaha na Urusi, yameombwa yazirejeshe maana Urusi imeishiwa na ina shida nazo, inazitaka hizo silaha jameni. Unamuuzia mtu sime au upanga...
0 Reactions
20 Replies
1K Views
Mtoto wa kiume kiongozi wa kundi la Hamas anayeitwa Mosab Hassan Youssef, amekuja wazi na kuonesha kutopendezwa na mienendo ya Kundi la Hamas, kitu ambacho kilipelekea kubadili dini na kuwa...
14 Reactions
65 Replies
5K Views
Wakuu katika nchi, Kuna hii issue ya HAMAS, na ugaidi duniani kote kupitia kwa vikundi mbalimbali, Kwa juu inaonekana hii issue chanzo chake ni dini ya uislam na waislam wanapenda hizo mambo...
4 Reactions
30 Replies
1K Views
Ndiyo hivyo wakuu, kwa mujibu wa DW kanisa limefungua milango kwa ushoga,Kama alivyoshauri Papa juzi hapa --- ==== Mkutano wa Sinodi - ambao unalenga katika mageuzi ya Kanisa - uliidhinisha hati...
6 Reactions
297 Replies
15K Views
COMMISSION TO EXPOSE EVIL So do not be afraid of them, for there is nothing concealed that will not be disclosed or hidden that will not be made known. What I tell you in the dark, speak in the...
5 Reactions
38 Replies
2K Views
Wanaukumbi. Ukiristo hauna nafasi nchini Israeli, hatua kali kuchukuliwa kwa wale wote watakaosambaza maudhui yanayomtaja Yesu Kristo nchini Israel ni marufuku. Sikiliza vizuri yaliyomo kwenye...
17 Reactions
247 Replies
9K Views
Kiongozi wa Hamas, Mousa Abu Marzouk amesema amesema kuwa ilikuwa ni vigumu kuachiliwa mateka wanaowashikiria wakati Israel ikiishambulia Gaza kwa mabomu. Kiongozi huyo wa Hamas ameyasema hayo...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Ubalozi wa Uingereza umetoa angalizo la kiusalama kuwa kuna uwezekano wa kutokea kwa shambulio la ugaidi Nchini Uganda, huku raia wa kigeni wakiwa walengwa, ikiwa ni Saa chache baada ya Ubalozi wa...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Alfajiri na mapema kwa saa za Kenya, wakulima wa maua nchini humo walichuma waridi katika mashamba yao yaliyoko Naivaisha. Kutokana na ndege za moja kwa moja kati ya Kenya na China na njia maalumu...
0 Reactions
0 Replies
376 Views
"Every time we do something you tell me America will do this and will do that. I want to tell you something very clear: Don't worry about American pressure on Israel. We, the Jewish people control...
16 Reactions
96 Replies
18K Views
BREAKING: [emoji1188][emoji1130][emoji1193] North Korea will start arming Palestine and Iran-backed resistance axis militias - Wall Street Journal According to a report by the WSJ, the National...
7 Reactions
96 Replies
7K Views
Mzuka wanajamvi! Hulka ya mtu mweusi ni kujipendekeza na kiherehere. Cheki wenzake wengine waarabu hawajabeba majeruhi lakini nigga pekee yake kajitwisha mzigo. Hii video hapo chini ni tarehe...
5 Reactions
43 Replies
5K Views
Kampuni hiyo imetangaza kuwa iko tayari kuanza majaribio lakini imekosa Watu ambao watawekewa kifaa maalumu ambacho kina uwezo kuamsha tena Viungo au Uwezo wa Binadamu kufanya kazi ikiwemo...
7 Reactions
43 Replies
5K Views
Nimeiona kuanzia jana Wapalestina wanatembea na bendera nyeupe. Najaribu kujiuliza hiyo bendera nyeupe Ina maana gani?. Mwenye kujua anisaidie
2 Reactions
3 Replies
649 Views
Back
Top Bottom