Mwezi mmoja sasa tokea Israel inaaze kuitwanga Gaza. Israel inaitwanga Ghaza baada ya HAMASI kuishambulia Israel kwa kushitukiza na kuwachukua watu kama Mateka. Lengo la Israel kuibomoa Ghaza ni...
Mambo yanazidi kuchukua sura mpya ambayo haikutarajiwa katika vita vinavyoendelea Gaza.
Kwanza general mtaafu wa jeshi la IDF aliyepewa kazi kuongoza kikosi cha wastaafu wenzake,Yair Golan...
Jeshi la Israel linakabiliwa na mapambano makali kutoka kwa wapiganaji wa Hamas ndani ya Gaza.
Masaa 24 yaliyopita Israel imepoteza zaidi ya wanajeshi 24 kwa kuuawa na wapiganaji wa Hamas
huku...
Waziri wa Sheria, Charles Wright, amesema Moussa Dadis Camara akiwa na Wanajeshi wengine wa ngazi za juu wametoroshwa katika Gereza la Central House walilokuwa wamefungwa ikiwa ni baada ya kutokea...
Umoja wa Mataifa umesema siku ya Jumamosi kuwa watu milioni 4.4 duniani kote hawana uraia wa taifa lolote, ingawa idadi halisi huenda ikawa kubwa zaidi kutokana na watu hao "kutotiliwa maanani"...
Shambulio la Hamas la oktoba 7 ilikuwa ni sababu na kisingizio cha Israel kutekeleza ajenda zake za muda mrefu nazo ni kuifuta kabisa Palestina.
Ukweli huo unaonekana katika kuongezeka kwa...
Itakua kuna mtu kamtonya kiongozi wa Hezbollah kwamba kwa sasa Israel wana hasira isiyo na kifani na kujaribu ugomvi nao ni kujitakia kipigo cha mbwa, walisubiriwa watangaze vita, nyuzi...
Nov 05, 2023 06:50 UTC
Habari za karibuni kabisa za Palestina zinazungumzia kuendelea mashambulizi ya anga na mizinga ya utawala wa Kizayuni dhidi ya maeneo tofauti ya raia kwenye Ukanda wa...
Kauli za raisi wa Ukraine na kamanda wake wa majeshi hazitii shaka kuwa vita vya Ukraine karibu vitaisha kwa kushindwa Ukraine.
Hayo yamepaikana katika machapisho ya CNN tarehe 3 Novemba baada ya...
Bada ya wakimbizi wa kipalestina kuondelewa kutoka Jordan walipokelewa na Lebanon, nchi ambayo ilikuwa yenye mchanganyiko wa wakristu na waislam. Wakristu walikuwa wengi kuliko waislam.
Sasa hawa...
Wanaukumbi.
Waziri wa Ulinzi wa Israel anaomba msaada kwa raia wa Gaza wawasaidie kupatikana kwa Mateka, naona mambo yamekuwa magumu leo mwezi sasa walisema wanaenda Gaza kuifuta Hamas na kurudi...
Viongozi wa ECOWAS Wametoa amri ya kupelekwa Jeshi Ili wakawanyoe Waliofanya Mapinduzi huko Niger na kurejesha Serikali ya Kiraia.
---
Viongozi wa Jumuiya ya Uchumi wa Afrika Magharibi (ECOWAS)...
Wale wapenzi wachache wa Israel wameona matokeo yasiyopendeza katika jeshi la Israel.Walitaraji baada ya siku mbili kuingia Gaza,kajioneo kadogo tu wangeona vikosi vya IDF vikiwa vimebeba mateka...
Nov 05, 2023 06:46 UTC
Kiongozi mmoja wa ngazi za juu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS ametangaza kuwa, harakati hiyo ina uhakika wa kuushinda utawala wa Kizayuni katika...
Wana mgambo wa HAMAS hawamiliki kifaru hata kimoja wapa ndege ya jeshi,harakati zao dhidi ya Israel huzifanya kwa kutumia bunduki, rocket na makombora ya masafa mafupi na yale ya mkononi pamoja na...
Kiongozi huyo ambaye awali alikuwa ni msanii wa maigizo na ucheshi (comedian) amewasihi waandishi wa habari kuacha kumuuliza maswali kuhusu mambo ya rushwa maana kwa sasa yupo bize na mambo ya...
Kitu pekee kinachofanya Makundi ya Palestina yaonekana ya Kigaidi hususani kwenye umoja wa mataifa na nchi za magharibi ni namna yanavyofanya mashambulio.
Kundi la Hamas lilipaswa kupiga kambi...
Nov 03, 2023 03:29 UTC
Kamanda mmoja wa vitani wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon aliyekutana na ujumbe wa vyombo vya habari vya Iran, ameelezea hali ya hivi karibuni...
Mtawala wa zamani wa Kijeshi, Moussa Dadis Camara, amerejea jela baada ya kundi la watu wenye silaha kuvamia gereza katika Mji Mkuu wa #Conakry, Novemba 4, 2023 asubuhi na kumtorosha Camara na...
Wapiganaji wa Iraq:Kuanzia wiki ijayo tutaanza kuishambulia Israel kwa makombora na Drones
Katika kile kinachoonekana ni kuunga mkono wananchi madhulumu wa Palestina Harakati ya Iraq imetangaza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.