Katika kuonyesha kuwapa support Hezbollah Wagner wametangaza kuwapa Hezbollah mifumo ya kutungulia ndege ya kisasa kabisa
[emoji599][emoji599]BREAKING: WAGNER OFFERS AIR SUPPORT TO HEZBOLLAH
In...
Kitendo cha jeshi la Israel kupiga magari ya wagonjwa na kambi za wakimbizi wanakoishi mafukara kumewashangaza mpaka viongozi wa UN na US.
Msafara wa magari ya wagonjwa na waliojeruhiwa vibaya...
Kuna watu hudanganyika na hamas kujiita wanamgambo
Ila hamas km ilivyo hezbollah ni makundi ya kigaidi yenye mafunzo kamili ya kijeshi na yana bajeti kabisa
Hawa wanapewa ufadhili na muungano...
Jeshi la Israel kupitia msemaj wake limesema oparesheni itakuwa imebadilika tofauti na ilivyotegemewa.
Haitakuwa vita ya ardhini tena bali itakuwa kitu kingine. Wanasema kila mtu anaongelea...
Wanaukumbi.
Zionist forces brutally assault Orthodox Jews in the streets of Jerusalem for opposing genocide in Gaza. Haven’t seen this kind of state violence against Jews since Nazi Germany...
Serikali ya Ufaransa imetangaza kurudisha dola milioni 150 [TZS bilioni 371.6] mali iliyoibwa kutoka kwa Wanigeria na aliyekuwa kiongozi wa zamani wa nchi hiyo, Hayati Jenerali Sani Abacha pamoja...
U.S. House Approves Resolution on Iran: "All means necessary" will be used to prevent Nuclear Armed Iran
02 NOVEMBER 2023
The U.S. House of Representatives passed a Resolution late last night...
Tangu karne ya kumi na tisa, Palestina imeshuhudia idadi ndogo ya wahamiaji wa Kiyahudi, lakini waliongezeka mwishoni mwa karne ya kumi na tisa na mwanzoni mwa karne ya ishirini kwa kuanzishwa kwa...
Wacha inyeshe,
Wizara ya nje ya Iran imetuma salamu UN kuwa kitendo cha Israel kuingia kwa miguu Gaza na kuendelea na Oparesheni yake na wao wataingilia kati.
Japo hawakusema wataingilia kati...
Kama kawaida HAMAS baada ya kushambulia Israel, walikwenda kujificha ndani ya akina mama na watoto, sasa huyu mkuu wao aliingia na kutulia ndani ya wakimbizi, Israel walifyatua tu humo humo na...
Waliosema jicho ni mlango wa nafsi hawakukosea kabisa.
Sasa kwa kumuangalia tu macho na nyuso zake Blinken unaweza kuliona hili.
It seems mauaji yanayoendelea kufanywa na Israel yanayoungwa...
Hawa akina Urusi, Korea, China na nchi zote za kiarabu wao pamoja na Waislam wanataka Israeli yeye akubali kipigo kutoka kwa Hamas pamoja na nchi zingine za kiarabu.
Hivi hizi kombora ambazo...
Nchi ya Kenya kupitia raisi wake Ruto imekua ni nchi ya kwanza mwaka huu 2023 kutangaza kuondoa utaratibu wa Visa kwa raia wote wa Africa kuingia Kenya hadi ifikapo 2024.
Ikumbukwe kua Ruto...
Hii imekuja baada ya mjadala huko twitter kua kutokana na Serikali ya Tshekedi kuonesha kupambana na majeshi ya rwanda DRC …Tshekedi amekua ndio rais anaeogopwa kabisa na Kagame na anafanya juuu...
[emoji599][emoji599][emoji599][emoji599][emoji599][emoji599][emoji599][emoji599][emoji599][emoji599][emoji599][emoji599]Magari zaidi ya 22 ya Wanamgambo wa Israel yamelipuliwa na Wanamgambo Hao...
Hakuna taifa ambalo Mungu alilipenda kama taifa la Israeli lakini walimuasi Mungu ndo maana majango yote ambayo yanawapata leo ni kutokana na Mauvo yao wakristo tunasimama na Israeli tu bure...
Kwa historia ya Israel na jinsi historia ilivyo, taifa lolote linalotaka ugomvi na Israel halikuwahi kushinda, badala yake waliangukia pua, leo hii Hamas wamechokoza wenyewe, lakini mpaka sasa...
Kwasasa Urusi ndo nchi namba moja kwa nguvu za kijeshi ikifuatiwa na Marekani kulingana na takwimu za kijeshi
BREAKING: Russia has moved to the top of the list of the world's strongest armies...
Wabunge hao wamesema Bunge haliwezi kuidhinisha kiasi hicho cha Fedha kwasababu ni matumizi mbaya ya Kodi za Wananchi hasa kwa kipindi ambacho Nchi inakabiliwa na mdororo mkubwa wa Uchumi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.