Hali mbaya waliyonayo wapalestina wa maeneo yote hakukuwa na haja ya matumizi ya diplomasia na ahadi za mazungumzo.Ilikuwa ni kuchukua maamuzi sambamba na ukatili unaofanywa na serikali ya Israel...
Tayari bunge la Algeria limempa Rais mamlaka ya kutangaza vita na utawala wa bandia wa Israel.
Sasa hali sio hali tena Libya walisema watatuma silaha kwa Hamas ikiwezekana, Yemen nao wamo, Iraq...
Marekani inajiandaa kuishambulia Iran wakati wowote kutokea sasa
Kuna taarifa zinaenea sana, na ni kutoka kwa watu nyeti wa Washington kuwa Marekani inajiandaa kuishambulia Iran kijeshi muda...
01 November 2023
Lusaka, Zambia
RAIS MSTAAFU APOTEZA HAKI YA MARUPURUPU KWA KUJIHUSISHA NA SIASA
Picha: Rais mstaafu Edgar Lungu wa Zambia
Rais mstaafu marupurupu yake ni pamoja walinzi 3...
https://twitter.com/africaupdates/status/1717567065975054762?t=7EzYVKNQv0ied1s1baqUdQ&s=19
Kila Mwaka wanakusanyika kama watu wasiojielewa ambao huenda kupiga picha na kula starehe Kwa Kodi za...
Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon imejibu jinai zinazoendelea kufanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya watu wa Ukanda wa Gaza kwa kushambulia ngome za jeshi la...
Wakati mama Samia akiendelea kuipigania nchi yetu nje ya mipaka na kwa wakati huu akiwa Kigali Rwanda katika moja ya summit muhimu duniani mmarekani Peter Greenberg naye yuko Kigali muda huohuo...
interview ya kwanza kati ya mwandishi wa habari mashuhuri bwana Morgan na Bassem ilivunja rekodi katika viewership, kwa kuweza kuangaliwa na watu zaidi ya milion 10 ndani ya siku chache. Bwana...
01 November 2023
Seoul, South Korea
Korea ya Kaskazini yafunga balozi zake kadhaa ikiwemo ya nchini Spain, Angola na Uganda.
Hii ni kufuatia hali mbaya ya kifedha kufuatia vikwanzo vya kiuchumi...
KOREA Kaskazini ni taifa huru baada ya kugawanyika kwa nchi ya Korea mwishoni mwa Vita Kuu ya Pili ya Dunia.
Awali eneo lote la Korea lilikuwa koloni la Japan kuanzia mwaka 1910 hadi 1945...
The killing of Israeli Brigadier General "Mordechai Shalom" on the fronts surrounding Gaza and three of his soldiers in yesterday's hunt.
The Israeli media initially concealed the news of his...
Mama Hillary Clinton nae anasisitiza muda huu hakuna mambo ya cease fire, hii imezoeleka kuwa zawadi kwa Hamas kujipanga upya, Kwa sasa walichokianzisha ni mpaka kimalizike.
Historia yoyote itokeayo Duniani huacha fundisho. Kutokujifunza kutokana na historia ni tatizo binafsi. Leo Afrika madhehebu mengi yanaamini katika Mungu wa Israel. Sala nyingi humtaja Mungu wa...
Kauli ya kutaka kupata bandari Ethiopia limekua likirudiwa rudiwa na PM wa Ethiopia Abi Ahmed na inaonekana yupo determined kuchukua Eneo moja wapo kati ya nchi zinazopakana na bahari kama...
Kwema Wakuu!
Mchezo anaotumia Hamas na magaidi ni mchezo wa kitoto ambao hutumiwa na Lastborn wengi au watoto wakike.
Unachokoza wanaume alafu unatoka nduki kujificha nyuma ya matako ya mkeo...
The story of Zambia after 59 years of independence is a sad tale, though not unique to this landlocked country; it’s similar to that of many post-independence African states.
Zambia, which has...
Ndugu zangu wa JF nawasalimu nyote
Naomba mnipe ufafanuzi wa jambo hili nilosikia kutoka wa Ndugu yangu aliye Msabato.
Ananiambia kwa kujiamini kuwa eti kwa makusudi maalumu na kwa werevu...
Waasi wa kundi la Houthi wanaoungwa mkono na Iran nchini Yemen walitoa video ya kile walichokisema kuwa ni kurusha makombora ya balestiki katika Israel.
Msemaji wa jeshi la Houthi Brigedia Yahya...
Mfalme Charles wa Uingereza Kaingia Kenya Kwa ziara ambayo ilijulikana kabla.
Lakini tukasikia na Rais wa Ujerumani naye Kaingia Tanzania kwa ziara ya kikazi.
Kule Kenya Mfalme huyo amejutia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.