Hii inaitwa kama mbwai na iwe mbwai
Baada ya Israel kuzima internet Gaza sasa bilionea Elon baada ya maombi ya watu zaidi ya milioni 250 kuomba Star Link iwashe Gaza finally wamekubali na hii...
Wataalamu waliohudhuria Kongamano la Mkutano wa Mtandao wa majadiliano kuhusu Ukanda Mmoja, Njia Moja wamesema kuwa pendekezo la Ukanda Mmoja, Njia Moja, ambalo linalenga kuharakisha ukuaji wa...
Mwaka 2013, rais wa China, Xi Jinping, alitoa Pendekezo la “Ukanda Mmoja, Njia Moja” (BRI), ambalo miaka 10 baadaye, limesifiwa sana na jamii ya kimataifa kama ‘mradi wa karne’.
Likiwa na mtandao...
Palestina hana silaha kubwa. Yeye anatumia manati na jiwe huku NATO na Isreal wakitumia mabomu yenye kuangamiza na yaliopigwa marufuku duniani.
Lakini kwanini hadi leo wanaogopa kuingia kwa...
Wanajeshi wa Israel wakiwa kwenye vifaru wameiteka barabara kuu inayounganisha GAZA kusini na GAZA kaskazini. Wachambuzi wa masuala ya kisiasa wanasema kwamba jambo hilo litaifanya Israel kuugawa...
Mwaka 2023 utakuwa muhimu sana kwa nchi zinazojali ushirikiano wa kimataifa, na mwaka huu utaandikwa katika vitabu vya historia kwasababu nchi zote duniani zilizojiunga na Pendekezo la “Ukanda...
Ubishi, ukaidi na ujeuri wa Wapalestina kutaka kupambana na Israel itapelekea maafa na mateso zaidi kwa watu wasiokuwa na hatia. Ama kwa kupenda au kutokupenda, suluhisho rahisi na lenye kuleta...
If there is anyone President Paul Kagame is a darling of, it’s his fellow Rwandans.
No country aspires to be the eternal recipient of handouts. Rwandans, like other Africans, are hardworking and...
(Who is the Emirates that is trying to interfere in all the affairs of countries far from it, Yemen, Libya, Syria, and finally, Sudan?
📌 The secret of the “Emirates” that no one knows
Media...
Watu wa Marekani "wanadai uwajibikaji wa kweli" kwa mabilioni yaliyotengwa kwa Kiev, Mike Johnson amesema[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Utawala wa Rais wa Marekani Joe Biden haujaweka wazi ni...
Waziri mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu na mke wake Sara wamehama kutoka makazi yao na kuhamia kwa rafiki yake na bilionea wa kimarekani, Simon Falic ambaye nyumbani kwake kuna handaki la...
Jamhuri ya Dagestan ni moja ya miji midogo ndani ya urusi inayosifika kwa kuwa na waislam wengi, huwa wana dalili za kujitenga na Urusi, Ni kama walivyo Chechnya.
Kwenye vita inayoendelea kwa...
Msemaji wa jeshi la Israel ameongea hayo akihojiwa na ABC jumatatu ya leo anasema hawqtaingia Gaza kama Hamas wataachia mateka wote na wao kujisalimisha.
Hayo yanakuja baada ya waziri wa ulinzi...
Kamanda wa jeshi la Hamas Mohammed Deif alitoa wito kwa Wapalestina kila mahali kujiunga na
operesheni ya kundi hilo, muda mchache baada ya wapiganaji wa kundi lake kuvamia Israel na kusababisha...
Muda mfupi uliopita wanamgambo wa Hamas wamesema wamefanikiwa kuvirudisha nyuma vikosi vya jeshi la Israel vilivyojaribu kuingia kwenye ngome zao.
Wanamgambo hao wamesema waliwarejesha nyuma...
Hatua hiyo inafuatia taarifa za Wanajeshi kuvamia makazi ya Watu Oktoba 29, 2023 na kuwajeruhi kwa vipigo ikidaiwa ni kulipiza kisasi kwa madai kuwa Wananchi wa eneo la Garu Kaskazini Mashariki...
Toka Gaza ikumbwe na mashambulizi ya Israel hakuna nchi ya Kiislamu iliyothubutu kukemea unyanyasaji huyo kwa raia lakini 🇮🇷 imethubutu mara kadhaa kusema huenda ikaingia na kusababisha mzozo kuwa...
Sisi wanadamu ni viumbe wa ajabu sana MUNGU katuumba na akili timamu ya kujitabua lipi jema na lipi ni baya.
DRC ni sehemu iliyotawaliwa na mauaji tangu miaka ya 90 ila mpaka leo hakuna Juhudi...
Mimi sio muislamu ila sifurahishwi na mauaji ya watu wasio na hatia yanayofanywa Kwa makusudi na Israel na Washirika wake Western Countries.
Naunga mkono hoja ya Erdogan
---
Rais wa Uturuki Recep...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.