International Forum

News and Stories from rest of the World
Raisi wa Ufaransa Bwana Emmanuel Macron amesarifi kuelekea cnhini Kazakhstan kwa ziara ya siku mbili ambapo alitoka huko ataelekea nchini Uzbekistan. Akiwa nchini Kazakhstan, Macron anatarajia...
5 Reactions
35 Replies
2K Views
Baada ya kufatilia kwa utulivu issue ya migogoro isiyoisha kati ga Palestina na Israel, nimejilidhusha pasi na shakha kuwa Umoja wa Maitafa chini ya azimio lake la mwaka 1947 la kuigawa Palestina...
1 Reactions
0 Replies
620 Views
Ukiamua kusababisha wenzako wasiishi kwa amani, na wewe pia tegemea familia yako iishi kwa tabu.... Ramallah, Palestinian Territories: Israeli troops on Saturday raided the West Bank home of a...
13 Reactions
160 Replies
10K Views
Kazakhstan, nchi ambayo 70% ya raia wake ni waislam, imepiga marufuku hijab mashuleni kwa walimu na wanafunzi nchini humo. Raia Tokayev wa nchi hiyo alinukuliwa akisema ''Kazakhstan ni nchi isiyo...
20 Reactions
107 Replies
4K Views
Jamaa wameamua badala ya kuhubiri amani, ni mwendo wa kuchinja tu. ======= Beni. Rebels backed by the Islamic State group have killed two Ugandan soldiers in an attack that also left two...
3 Reactions
43 Replies
2K Views
Watu wengi wanajiuliza kwanini nchi za kikristo zinatetea Israel wakati Israel ni wayahudi na Wayahudi ni wapinga Kristo. Kabla ya vita ya dunia ya pili wayahudi walikuwa wametapakaa duniani na...
6 Reactions
42 Replies
2K Views
Kwenye vita Askari wanaruhusiwa kutekana nyara lakini Askari wa pande zote xinaxopigana hawaruhusiwi kuteka raia wa kawaida na kuwafanya mateka wa kivita. Hamas kuteka Raia wakiwemo watanzania...
5 Reactions
10 Replies
661 Views
Spika Mike Johnson wa Republican amefichua kuwa wabunge watapiga kura wiki hii kuisaidia Jerusalem Magharibi, na kuchelewesha ombi la Kiev Ombi la hivi punde la Rais Joe Biden la kufadhili msaada...
3 Reactions
30 Replies
2K Views
Baada ya kurudi kwa intaneti hapo jana wapiganaji wa Hamas wamerusha mafanikio yao makubwa pale jeshi la Israel lilipoingia kwa mbwembwe ndani ya ngome zao. Hizo video zilizosambaa kwenye...
7 Reactions
41 Replies
4K Views
Sasa tuone kama Israel ataenda kulipua US na Israel wameshikwa pabaya [emoji1787] An Iranian Yazd Airlines plane has just landed at the Russian Khmeimim airbase in Syria. This comes after Aleppo...
5 Reactions
39 Replies
3K Views
Rais wa Iran Ebrahim Raisi wakati wa mahojiano na kituo cha televisheni cha habari cha Qatar Al-Jazeera mjini Tehran. Tehran itapuuza maonyo ya Marekani ya kutoingilia kati mzozo wa Hamas na...
2 Reactions
68 Replies
4K Views
Taifa teule la Mungu limeingia kwenye operesheni maalumu ya kujiongezea mipaka kule Gaza baada ya kuchokozwa. Ni jukumu letu wana wa Yehova kwenda kuungana na uzao wetu mtakatifu kuichukua Gaza...
7 Reactions
27 Replies
2K Views
Tarehe 1 July,2023 ,WB imeitangaza Zambia pamoja na Guinea kama Mataifa yaliyokidhi vigezo vya kuwa Uchumi wa Kati wa Chini yaani Lower Middle Income Countries. Ili Taifa liweze kuwa classified...
2 Reactions
15 Replies
773 Views
Hali ni mbaya sana huko Gaza Inatisha sana Source Al jazeera news ==== Hamas-run Health Ministry says Israeli airstrike on hospital kills hundreds Palestinians evacuate wounded from a...
9 Reactions
436 Replies
28K Views
Tarehe 07/10 huyu mwarabu mpalestina alishangilia Allah Akbar Allah Akbar maroketi yalivyokuwa yakirushwa Israel na kupeleka vifo, majerehi na kutekwa kwa wateule. Allah is nowhere to be seen...
16 Reactions
34 Replies
2K Views
Wale munaosema anafungua nchi, lengo ni nini? Jirani ni Rwanda na Kagame, mtu siriasi, hana safari za hovyohovyo na vitegauchumi vinamfuata. Dunia hii vitega uchumi havialikwi kama mkutano wa CCM...
20 Reactions
187 Replies
10K Views
Kirefu cha chama tawala cha Palestine k cha FATAH kina jina la kifilisti kirefu ni Ḥarakat al-Taḥrīr al-Waṭanī l-Filasṭīnī yaani Chama cha wanaharakati wa kifilisti. Wafilisti ni ndugu zake na...
10 Reactions
51 Replies
2K Views
Nyaraka za Siri kati ya Washington na Tel Aviv zinazozungumzia mpango mkakati wa kuwamisha mazima wapalestina kutoka Gaza kwenda nchi jirani ya Egypt katika jangwa la Sinai zimevuja. Katika...
5 Reactions
74 Replies
3K Views
Serikali ya Rwanda imetuma Tani 16 za msaada wa Vyakula, dawa za binadamu, vifaa vya matibabu kwa Watu wa Gaza Nchini Palestina kutokana na vita inayoendelea baina ya Israel na Kundi la Hamas...
3 Reactions
36 Replies
2K Views
A now-sacked Ghanaian government minister has admitted that he accepted a cash gift of $40,000 (£33,000) "in order not to offend the sensibility of a potential wealthy investor", according to an...
1 Reactions
4 Replies
768 Views
Back
Top Bottom