Historia inaonyesha kuwa madola koloni yalipokaribia kudondoka, yaliingia vitani. Kadhalika Marekani iko kwenye kadhia hii.
Imekuwa ikisaidia vita Ukraine na sasa Mashariki ya Kati. Inamwaga...
Mukhtasari wa kauli ya Kansela wa Ujerumani Scholz na Raisi wa Ufaransa Macron katika Franco-German meeting jijini Humburg
#Ujerumani na Ufaransa inakemea vikali mashabulizi ya kigaidi ya Hamas...
Ni jana tu wapalestina walishangilia na kufurahi uvamizi kwenye ardhi teule na kuua wateule na wengine kuwateka.
Sasa hivi ni vilio husikii tena nderemo. Licha ya vipondo vimekatiwa umeme na maji...
Huu ni umati wa Mayahudi wakiwa katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Ben Gurion wakitoroka mapigano kati ya Hamas na serikali ya kizayuni ya Israel. Hatukutarajia kuona scene km hii Kwakuwa...
Zoezi hilo linafanyika kwa kukamilisha kipindi cha kwanza cha miaka 6 cha utawala wa aliyewahi kuwa Mwanasoka Bora wa Dunia wa FIFA mwaka 1995, George Weah ambaye aliingia Madarakani mwaka 2017...
Lt Col. Alim Abdallah, is a Muslim and he got killed today fighting for ISRAEL. But some Illiterates are busy burning Israel flag because of religion.
Before the coming of Christianity or Islam...
Barua hii nimeitoa Ukurasa rasmi wa ofisini ya Serikali kuu mtandao wa X na nitaiweka kama ilivyo na nitaiweka kwa tafsiri ya kiswahili kwa msaada wa Google Translator.
Naomba radhi kwa namna...
Wamasai wameishi Ngorongoro maelfu ya miaka, wameondoshwa ili wapishe wageni, Mwaka 2100 Mmasai akirudi Ngorongoro wageni wana haki ya kumuita mmassai ni mvamizi?
ndivyo ilivyo nao waisrael...
Majasusi waliokuwa wakitazama taarifa ya Habari katika chumba cha Hoteli, waligonganisha glasi na kushangilia "Ndiyo" alisema mmoja wao.
"Alifanya hivyo!" "Alifanya hivyo!" walikuwa wakimtazama...
Siku ya leo ni siku muhimu sana kwa nchi za Afrika ya Kati yaani Msumbiji, Malawi, Zambia na Zimbabwe kwani nchi hizi zitaanza kupitisha mizigo yake kwa kutumia reli fupi ya Nacala kuzifikia nchi...
Wapiganaji 4 wa Kikundi cha wanamgambo wa Hezbollah wa Lebanon wameuawa baada ya makombora ya Israel kuvurumishwa kuelekea huko. Hayo yanajili ikiwa ni baada ya wanamgambo hao kurusha Marocket...
Jenerali Mzayuni: Jeshi la Israel yumkini litaporomoka katika vita vijavyo
Meja Jenerali mstaafu wa Israel ameonya juu ya uwezekano wa kuangamia jeshi la utawala huo haramu iwapo litajitosa katika...
Rais Joe Biden kwa muda wa siku mbili zilizopita alishiriki katika mahojiano ya hiari na wakili maalum Robert Hur kama sehemu ya uchunguzi wake wa nyaraka za siri, Ikulu ya White House ilitangaza...
Ujumbe wa faili la sauti ya mateka wa Israel anayeshikiliwa na wanamapambano wa Palestina.
Katika kipindi cha sasa kiwingu cha kiwewe cha kisiasa na kijeshi kinaendelea kutanda katika ardhi...
Kufuatia vita vikali kuwahi kushuhudiwa inayo endelea kati ya Israel na kundi la hamas, Israel meomba msaada wa silaha kutoka Marekani ili kukabiliana na upungufu mkubwa wa silaha unao ikabili ili...
Jihad al Islami: Kambi ya muqawama haitoruhusu adui kuwa na utulivu
Msemaji wa harakati ya Jihad al Islami ya Palestina amegusia mazungumzo yaliyofanyika baina ya wakuu wa kambi ya muqawama huko...
Kufuatia shambulizi la Wanamgambo wa Palestina dhidi ya Taifa la Israel lenye Jeshi kamili,je nguvu za Israel zimeanza kupungua?,au Marekani imeacha kuilinda Israel.
Wajuzi wa mambo mnaofatilia, bila shaka mtakubaliana na mimi kua haya mashambulizi ya leo kwa kiasi kikubwa yamefanikiwa na yamesababisha Casualties kama vifo vya wanajeshi pamoja na vifaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.