International Forum

News and Stories from rest of the World
Tangu tarehe 01.10.2023 kumekuwapo na vuguvugu la muungano wa vijana wapiganaji kuvamia ngome za waasi wa M23. Vijana hawa wanaojiita wazalendo ni mchanganyiko wa vikundi vidogo vidogo vya waasi...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Tañgu zama na zama ufaransa na hasa jiji la Paris ndio limekuwa linasifiwa kwa usafi na ustaarabu! Hata ukitembelea majiji mengine usafi kwa wafaransa ni jadi Yao ! Hao kunguni wametoka wapi ...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Patashika la mbwai iwe mbwai tu... Ukrane imeanza kuzibomoa drone zote ilizoziangusha vitani ambazo zinatumiwa na Russia kuharibu miundo mbinu ya kiraia ambazo zinasemekana zimetengenezwa nchini...
5 Reactions
61 Replies
5K Views
Hawa watu huwa na roho ngumu sana, yaani tetemeko linapiga na kusababisha maafa na majanga ila wao wanawindana na kupigana, hawana muda wa kusklizia kwanza au wasubiri hali itulie. Wanalipuana...
1 Reactions
7 Replies
698 Views
Serikali ya Taliban imetoa taarifa hiyo baada ya Matetemeko Matatu yenye kipimo cha Richa 6.3, 5.9 na 5.5 kupiga upande wa Magharibi wa Nchi hiyo, umbali wa Kilomita 25 kutoka jiji la Herat...
2 Reactions
5 Replies
781 Views
Kampuni kubwa ya mawasiliano ya China, Huawei, imezindua mfululizo mpya wa simu zake za kisasa za Huawei Mate 60 Pro, hatua ambayo imeendelea kuleta mshutako mkubwa nchini Marekani, ambako wabunge...
0 Reactions
0 Replies
370 Views
Waziri wa Elimu wa Ufaransa Gabriel Attal ametangaza kuwa nchi hiyo imelazimika kufunga shule saba zinazowapokea wanafunzi wapatao 1,500 baada ya kuvamiwa na kunguni. Mapema wiki hii, mamlaka ya...
7 Reactions
26 Replies
5K Views
Jameni $300B sio hela ndogo, ni ndefu kinoma yaani itabidi uunganishe uchumi wa Kenya, Tanzania, Uganda, Rwanda, DRC na bado ubaki na salio.... ============ The US and European partners are...
3 Reactions
40 Replies
2K Views
Miaka 10 iliyopita wakati Rais Xi Jinping anatangaza kuanzishwa kwa pendekezo la “ukanda mmoja, njia moja” (Belt and Road Initiative) si watu wengi waliokuwa wanajua kuwa pendekezo hili lingekuwa...
0 Reactions
3 Replies
412 Views
Serikali ya China imetoa waraka kuhusu ujenzi wa “jumuiya ya binadamu yenye mustakabali wa pamoja” miaka 10 baada ya Rais Xi Jinping wa China kutoa pendekezo hilo ambalo limefuatiliwa na...
0 Reactions
0 Replies
338 Views
Hivi karibuni, Waziri wa Fedha wa Misri Mohamed Maait alipongeza nafsi muhimu inayochukuliwa na Benki ya Uwekezaji wa Miundombinu ya Asia (AIIB) katika maendeleo endelevu barani Afrika...
0 Reactions
0 Replies
362 Views
Najua kuna wacheza kamari tayari wameshacheza, wengine hawana taarifa na wengine wamesahau. Naomba nitumie uzi huu kuwakumbusha wale wote walio tayari kucheza USA Green Card Lottery, kwamba...
1 Reactions
4 Replies
743 Views
Baada ya aliyekua Spika wa bunge (House) la Marekani kuondolewa, Wabunge wa Bunge la Marekani, ambalo wabunge (Representatives) wake wengi ni kutoka Chama cha Republican, wamependekeza waongee na...
4 Reactions
6 Replies
624 Views
hii Vita/operation ya Hamas dhidi ya Israel , itabadili upepo wa Vita ya Ukraine na Russia . i kumbukwe hivi majuzi spika wa US amevuliwa u spika kwa kile kinachodhaniwa matumizi mabaya ya cheo...
4 Reactions
2 Replies
795 Views
Katika hali inayoonesha mambo kuzidi kumgeukia Rais Zelensky wa Ukraine, tajiri mkubwa wa mawasiliano na aliyekuwa mfadhili mkubwa wa Ukraine Ellon Musk amemdhihaki kiongozi huyo kwa kumuonesha...
22 Reactions
48 Replies
4K Views
Ujumbe wa China kwenye Umoja wa Afrika, Akademia ya Sayansi ya China, Shirika la Mpango Mpya wa Maendeleo ya Afrika, Shirika la Fedha la Teknolojia za Kilimo la Afrika na taasisi nyingine hivi...
2 Reactions
9 Replies
496 Views
Urusi imelalamika kwa Armenia kujiunga ICC, ina maana dunia inazidi kuwa ndogo sana kwa Putin maana hata hapo kwa majirani zake hawezi kuwatembelea... The National Assembly of Armenia has adopted...
3 Reactions
24 Replies
1K Views
Ehe bwana ehe, mimi kama Muhaya original kabisa, na thubutu kusema Dunia mpaka sasa bado inaupiga mwingi kabisa. Mambo kama haya tuliyazoea kipindi kile cha Ofisa Bin Laden Mwamba kabisa...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Bomu la Tsar la Kisovieti. Tsar Bomba ilikuwa bomu la nyuklia kubwa zaidi kuwahi kuundwa na lilikuwa sehemu ya mpango wa silaha za nyuklia wa Jamhuri ya Kisovieti wakati wa Vita Baridi. Lilipewa...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Paul Rusesabagina aliyeonyeshwa kama Shujaa katika filamu kuhusu mauaji ya kimbari ya 1994 amekutwa na hatia katika Mashtaka yanayohusiana na ugaidi. Anatuhumiwa kuwa mfadhili wa kundi la waasi...
3 Reactions
143 Replies
13K Views
Back
Top Bottom