International Forum

News and Stories from rest of the World
I am bit confused. Who are the realJews. What are those Israelties who are being recognized recent years from Ethiopia. Is Jewish a Culture, Tribe or divinity? If I recorn. Even Palestines are...
1 Reactions
7 Replies
753 Views
Nianze kwa Mastory. Kwanza ieleweke, pamoja na kile kinachoonekana kuwa ni uadui mkubwa kati ya Israel na Iran, kamwe uhasimu huu haupo kwa raia wa nchi hizi. Uhasimu ni kwa serikali zao, lakini...
5 Reactions
19 Replies
3K Views
Raisi Putin ametoa tamko linalomtaka kila raia nchini Urusi kushiriki mazoezi ya kujiweka tayari kukabiliana na tishio la vita ya kinyuklia yanayofahamika kama 'nuclear war drills'. May God help...
25 Reactions
206 Replies
12K Views
Idadi hiyo ni kwa mujibu wa Al Jazeera na Reuters wakiwemo Watoto zaidi ya 100. Pia, watu zaidi ya 3,000 wamejeruhiwa na wengine zaidi ya 123,000 wamelazimika kuyakimbia makazi yao kutokana na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kitu kilchotokea Israel ni kibaya zaidi katika historia ya nchi hiyo.Na yote ni kutokana na siasa za ubabe wa Benjamin Netanyahu. Siasa zake hizo imekuwa sababu ya kuwakasirisha zaidi wapalestina...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Katika wiki hii peke yake jumla ya wapalestina 24 wameshauliwa huko Gaza na ukanda wa magharibi kutokana na mashambulizi mazito kutoka ndege za Israel.Chanzo cha mashambulizi hayo si kitu cha...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Mapigano katika Ukanda wa Gaza kati ya Israel na Kundi la Wanamgambo wa Kipalestina, Islamic Jihad yamesitishwa baada ya makubaliano ya pande zote mbili, Misri ikihusika katika mazungumzo ya...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Ndiyo, licha ya kwamba Palestina ilitawaliwa na auingereza tangia mwaka 1920 baada ya kukabidhiwa na shirikisho la umoja wa mataifa (League of Nations) baada ya vita ya kwanza ya Dunia ila bado...
1 Reactions
44 Replies
3K Views
Imefichuliwa: CBC Inawataka Waandishi wa Habari Kutowaita (Terrorist)magaidi wa Hamas, Tahadhari dhidi ya Kusema 2005 Iliondoka ukanda wa Gaza nada. Imefichuliwa: CBC Inawataka Waandishi wa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mwezi Juni mwaka huu, kiongozi maarufu wa jamii ya Masingasinga Hardeep Singh Nijjar ambaye pia ni raia wa Canada, aliuliwa kwa kupigwa risasi nchini humo. Hivi karibuni, Canada imeituhumu India...
0 Reactions
1 Replies
561 Views
Hii ni hatua nzuri sana ya kuanza kuwapa elimu waarabu kuheshimu dini za watu wengine, waache dhana ya kulazimisha kila mtu ajiunge kuabudu katika wanachokiabudu. Muasisi wa dini yao kabla...
5 Reactions
10 Replies
900 Views
Huu ni mjadala na siyo habari, hivyo kama moderators mkiona muuache huu uzi ukijitegemea itakuwa nzuri zaidi ukizingatia sisi wengine huwa tunapost mara moja moja. Mojawapo ya wazo la muda mrefu...
1 Reactions
5 Replies
861 Views
BREAKING: Military coup in Congo at this moment. The country's president is in New York, the military is taking control of key facilities in the capital. Congo borders the Central African...
14 Reactions
125 Replies
12K Views
Hili jambo limenishangaza kweli, Yaani Kagame hata kabla ya kukutana na Tshisekedi tayari anaongea kwa kujiamini tena kwa mkwara mzito, kwamba wasipohafikiana yeye yupo tayari kupigana. Kagame...
11 Reactions
281 Replies
19K Views
Lieberman atoa wito wa kurejeshwa kwa sera ya mauaji ya kigaidi Ukanda wa Gaza Jun 20, 2023 07:36 UTC Waziri wa zamani wa vita wa utawala wa Kizayuni wa Israel amelitaka jeshi la utawala huo...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Uturuki yatangaza kusambaratisha genge la kijasusi la Israel dhidi ya Iran May 24, 2023 06:35 UTC [https://media] Shirika la kijasusi la Uturuki limetangaza kuwa limefanikiwa kusambaratisha...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Hivi karibuni, mikoa mingi ya China imetangaza kupandisha kima cha chini cha mshahara kwa mwaka 2021. Kwa mujibu wa kiwango cha sasa, Shanghai inaongoza kwa Yuan 2,480 kwa mwezi, sawa na dola za...
5 Reactions
44 Replies
5K Views
Hizbullah: Ndoto ya Netanyahu ya kuanzisha muungano dhidi ya Iran haikuaguka Apr 22, 2023 13:33 UTC [https://media] Naibu Mkuu wa Baraza la Utendaji la Hizbullah ya Lebanon amesema: matukio ya...
3 Reactions
7 Replies
686 Views
Kila siku hashtags #free Palestine ni upuuzi tangu 1947 hadi leo mnasubiria nchi ya Israel irudishe ardhi yenu hilo haliwezekani jamani. Marekani ilikuwa ni nchi ya red indians, Australia...
13 Reactions
49 Replies
3K Views
Kuzuka vita vya Israel na Palestine siyo Jambo jipya.Toka napata akili nimekuwa nikisiliza hizi habari toka vyombo vikubwa vya habari duniani.Vita imekuwa ni sehemu ya Maisha ya mwanadamu toka...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom