Yes, kama kichwa cha uzi kinavyosema kuwa "Gorbachev hakuwa pandikizi la marekani kama watu wanavyo sema bali alikuwa mwanamageuzi(reformist) alie fail".
Mimi binafsi naweza kuwepo katika kundi...
Mtoto wa Rais Faustin-Archange Touadera wa Jamhuri ya Afrika ya Kati, Evariste Touadera amezusha gumzo kubwa baada ya video inayomuonesha akiwazaba makofi wazungu kusambaa kwa kasi kwenye mitandao...
Rais wa Brazi Lula da Silva ameshindwa kumhakikishia Rais mwenzake wa Urusi Putin ikiwa hatakamatwa akihudhuria mkutano wa G20 utakaofanyika mwakani nchini mwake Brazil.
Akiwa katika mkutano wa...
Shirika la mpango wa chakula duniani WFP limetahadharisha kuwa kupunguzwa kwa ufadhili wa misaada ya kibinadamu na serikali mbalimbali duniani, kutakuwa na athari chungunzima.
Shirika hilo...
Nadhani umesikia kuwa China inaidai Marekani pesa nyingi sana. Deni lao lipo hivi. China ni muuzaji namba moja wa bidhaa duniani. Na vitu hivyo anaviuza kwa dola.
Mfanyabiashara wa China akiuza...
Jeshi la Polisi linamshikilia Esther Lungu ambaye ni mke wa Rais wa zamani wa Zambia, Edgar Lungu akituhumiwa makosa matatu likiwemo la wizi wa gari ambalo amekanusha kuhusika.
Esther ambaye yuko...
Rais wa Madagascar, Andry Rajoelina amejiuzulu baada tu ya kuthibitishwa rasmi kuwa mgombea katika uchaguzi wa Rais wa taifa hilo uliopangwa kufanyika Novemba 9, taarifa hii ni kwa mujibu wa...
Diplomat Whose Name Is Dirty Word in Arabic Rejected as Saudi Ambassador
story
Published January 14, 2015 1:50am EST
A high-ranking Pakistani diplomat reportedly cannot be appointed...
Historia itaandikwa na kusomwa miaka 100 jinsi Urusi ilijitia aibu kwenye huu ugomvi, wanajeshi wa Urusi wamejichokea baada ya kufa zaidi ya laki mbili kwenye kainchi kadogo hapo pembeni...
Mkutano wa Jukwaa Kuu la Ushirikiano wa Kiuchumi wa Kimataifa la Group of Twenty (G20) limetoa baraka za kuupa Umoja wa Afrika Ujumbe wa Kudumu katika Jukwaa hilo ambapo sasa AU itakuwa na hadhi...
Hili ni kundi linaloamini katika neo-NAZI, yaani NAZI ya kisasa, wanaamini katika zile pumba za Hittler alizotumia kuua mamilioni.
Wakati Putin anaparamia Ukraine alisema anafanya hivyo kuondoa...
“Ndugu yangu, nimekuwa nikizurura nje kwa muda mrefu...mnaweza kunipeleka nyumbani kwetu China?” Siku hizi, tamthilia fupi ya “Kutoroka kwenye Jumba la Makumbusho la Uingereza” iliyotengenezwa na...
Scientists Create Human “Entity” That Has No Mother Or Father
ussanews.comSep 10, 2023 5:30 AM
Scientists all over the world continue to “play God”, and we are all going to have to live with the...
Ni kumbukizi la shambulio la kigaidi kwenye Ubalozi wa Marekani Nchini Tanzania
Ubalozi wa Marekani Nchini Kenya na Ikulu yenyewe ya Marekani
Ni palepale alipouwawa gaidi wa Tanzania Hamza
Yaani hii aibu kwa Urusi, jeshi la kainchi kadogo hapo pembeni linaitesa Urusi hadi raha.
=======
Deputy Defence Minister Hanna Maliar has said that the Armed Forces of Ukraine regained part...
Ukipigana na nchi kama Urusi jua mwisho wako si mzuri. Baada ya counter offensive kushindwa vibaya sana na ukraine kupoteza maelfu ya wanajeshi sasa wameamua kumfanya waziri wa ulinzi mbuzi wa...
The United Nations Secretary general declares that the era of global warming has ended and the era of global boiling has arrived. Scientists have confirmed July was on track to be the world's...
Inaripotiwa kwamba Urusi iko katika mkwamo mkubwa kwa kujikusanyia mzigo mkubwa wa Rupee za India bila kujua itazitumiaje au kuziwekeza vipi
Mapema mwaka huu katika joto la siasa za biashara za...
Zanaki Headmistress, Delvine Koka (the hijabed madam in the middle) being surrounded by Pilly Ngarambe, the Representative of Dar Muncipal Education Officer (on her immediate left) and Shakil...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.