Confucius (551-479 KK)
Confucius ni mwanafalsafa maarufu zaidi wa kichina. Confucius (551 - 479 KK) alikuwa mwanafalsafa na mwanasiasa wa kichina katika kipindi cha masika na kipindi cha...
Mkosoaji mkubwa wa rais wa Urusi,
Alex Navalny amelalamikia kitendo cha walinzi wa gereza aliloshikiliwa kumlazimisha kusikiliza hotuba ya Rais Vladimir Putin kwa muda wa siku mia moja mfululizo...
Picha huzungumza vizuri zaidi, hasa kama ikipigwa bila mtu kujua anapigwa picha!! Kwenye picha hii Zelensky anaonekana kuduwaa, kushangaa, haamini kama kikao kimekwisha na wajumbe wote wako bize...
Ili Ukraine ijiunge na NATO inabidi vita kati yake na Urusi ikome. Na kwa Tafisiri ya UKraine ambayo NATO wataitumia kuamua kama vita imekoma ni kuona Crimea na majimbo mawili ya DONBASS yamerejea...
Nyaraka hizo za siri za pentagon zilizovuja zimeonyesha hali ya vita Ukraine hasa kwa upande wa maendeleo ya silaha za marekani zilizokuwa uwanja wa vita.
Nyaraka hizo zimeeleza kuwa Russia...
Russia anatakiwa kukutana na wendawazimu kama Finland, hao ndiyo hata yeye Russia anawagwaya.
Mwaka 1939 aliivamia Finland ili kuitanua himaya yake ya Soviet, pamoja na uhodari wa Jeshi lake na...
Kampuni ya Mercedes-Benz, Ijumaa ya Mei 20, 2022 iliweka rekodi ya kuuza gari la gharama zaidi Duniani, ambalo ni Mercedes-Benz 300 SLR ‘Uhlenhaut Coupe’ ya mwaka 1956 kwa kiasi cha dola milioni...
Haya makombora ya "Storm Shadow" ni habari nyingine.
A high-ranking Russian general has been killed in Ukraine’s Zaporizhzhia in an airstrike carried out using British-supplied Storm Shadow...
Uasi uliomtetemesha Putin ulipoisha kumekua na matukio ya watu kutoweka huku uchunguzi ukiendelea, mpaka sasa majenerali wawili hawafahamiki waliko, japo mmoja (Sergei Surovikin) inasmekana...
Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump amesema jaribio la uasi wa Wagner nchini Urusi limemdhoofisha Rais wa nchi hiyo Vladimir Putin
Trump ambaye kwa muda mrefu amekua akivutiwa na rais wa...
Hii ni orodha ya nchi sita zenye pato kubwa katika Afrika na nchi maskini sana katika Afrika.
https://a-z-animals.com/blog/richest-countries-in-africa-today-ranked/
Did you know that the highest...
Katika kile kinachoonekana Uturuki kutamani sana na kuumizwa sana kwa kuwekwa mkwamo kuwa mwanachama wa Umoja wa Ulaya, Rais wa nchi hiyo Erdoğan sasa ameamua kutumia turufu yake dhidi ya Sweden...
An opponent, deputy, and former minister of the Democratic Republic of Congo (DRC), Chérubin Okende, part of the party of presidential candidate Moïse Katumbi, was found dead Thursday in Kinshasa...
Waliopotea ni wahamiaji kutoka Afrika ikidaiwa boti yao iliyokuwa ikitokea Tunisia kuzama baharini ikiwa ni ajali ya tano ya boti ndani ya siku mbili, watu saba wakithibitika kupoteza maisha na...
Raia wa Nigeria, Tembu Daniel maarufu kama ‘Towncryer’ ameshindwa kufikia lengo lake la kuweka rekodi ya dunia kwa kulia kwa saa 100 mfululizo ambapo amekomea saa 6 na sekunde 42.
Ash
Mapema mwezi huu, Serikali ya Japan ilitangaza mwongozo mpya kuhusu matumizi ya akili bandia (artificial intelligence -AI) kwa vyuo vikuu, ikilenga;
kusaidia walimu na wanafunzi kuelewa sifa za...
Takwimu zinaonesha kiwango hicho kimeshuka ndani ya kipindi cha miaka mitatu tangu alipotoa kauli za kukosoa na kupuuza mamlaka za fedha za China pamoja na Benki.
Ripoti ya Mabilionea ya...
Hiki kinacho endelea ndani ya nchi zidi ya rais mstaafu Joseph Kabila.
Mimi kwangu naona safi kabisa ikiwezekana Felix amuweke ndani hata kwa kesi ya uongo
Joseph Kabila ndiye alikimbiza moise...
1) Alifanikiwa kuwapunguzia au kuwafuta kabisa Watu wanao unga mkono maadui wa Russia (Fifth column) wakati inchi ikiwa kwenye migogoro au vita.
2) Aliwatuliza wana jihad wa Chechnya ambao...
Waziri wa Mambo ya Ndani nchini humo ameidhinisha kurejeshwa kwa Julian Assange nchini Marekani ambapo mamlaka nchini humo zinamtafuta kuhusiana na nyaraka zilizofichuliwa na mtandao huo mwaka wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.