Erdogan amefanya mazungumzo na Zelenskyy Istanbul / Picha: AA
Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan amemueleza mwenzake wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy kuwa Kiev ilistahili kujiunga na NATO, lakini...
erdogan / Photo: AA Archive
Rais wa Uturuki ameapa kulijenga upya eneo la kusini mwa nchi hiyo kufuatia tetemeko kubwa la ardhi lililosababisha vifo vya zaidi ya watu 50,000 mwezi uliopita...
Kiongozi wa Kanisa Katoliki Dunaini, Papa Francis, amelaani kwa matamshi makali vitendo vya kuchomwa kitabu kitakatifu kwa Waislamu, Qur'an.
Papa Francis pia ametoa wito wa kuheshimiwa kwa vitabu...
Umoja wa Mataifa unasema visa vya uchomaji Quran vinaongezeka barani Ulaya. Picha: AFP
Baraza la Haki za Kibinadamu la Umoja wa Mataifa litafanya kikao cha dharura katika siku zijazo kujadili...
Maafisa wakuu kutoka nchi hizo tatu wanachunguza pingamizi la Uturuki dhidi ya uanachama wa Uswidi katika muungano wa kijeshi, na kuona ni nini zaidi kifanyike ili kuvunja mkwamo huo.
Mkutano wa...
Breaking news: Russia confirms "BRICS" to launch Gold-Backed Currency
07 JULY 2023
Breaking news: Russia Confirms "BRICS" To Launch Gold-Backed Currency
According to state-run Russian Television...
Rais wa Lithuania amewataka viongozi wa NATO kushughulikia shinikizo la Ukraine la kujiunga na muungano wa kijeshi wa NATO katika mkutano wa kilele katika mji mkuu wiki ijayo.
Amesema hatua hii...
Wataalamu mbalimbali wanaofuatilia masuala ya ndani ya Urusi wanaamini kuna uwezekano mkubwa kiongozi mtata wa kundi la Wagner, Prighozin amejificha na kupotea kutoka mkono wa serikali ya Urusi na...
Imeripotiwa katika vyombo mbalimbali vya habari kuvamiwa na polisi katika makazi binafsi ya kiongozi wa Wagner aliyeongoza uasi dhidi ya serikali ya Putin siku za hivi karibuni.
Vitu mbalimbali...
Kweli jamii zetu hutofautiana sana kimtizamo. Je tunaelekea huku na sisi siku moja?
Huyo anaitwa Edgar Rinkevics, ametumikia muda mrefu (tangu 2011) kama waziri wa mambo ya nje wa Latvia huko...
Maonyesho ya Tatu ya Biashara ya China na Afrika yamemalizika hivi karibuni hapa China, ambapo bidhaa mbalimbali kutoka nchi za Afrika ikiwemo kahawa kutoka Ethiopia, maua kutoka Kenya, na bidhaa...
Kila mmoja lazima ashangae kuzuka vita vya mara kwa mara nchini Sudan. Hii ni nchi ya kiislamu na ina wasomi wengi wa hali ya juu wa dini hiyo.
Kumbe ina raia jumla 16000 wa Marekani wengi wao...
Citizens Coalition for Change (CCC) ambacho ni chama kikuu cha upinzani Nchini Zimbabwe kimefikia uamuzi huo kikipinga uamuzi wa Polisi wa kupiga marufuku mkutano wa kisiasa uliopangwa kabla ya...
Haya wenye kuzitengeneza Leopard 11 wanakiri zimezidiwa njoo wale wa NATO wa Micheweni 😅😅😅😅😅😅
👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻
The much-anticipated deployment of Western-made tanks in Ukraine’s...
Aliwahi kuwa kiongozi wa Sper Mazembe, amefariki nyumbani kwake Lingata huko Nairobi. Kaongo alitamba sana miaka ya 1970 hadi 1980
Mnamo miaka ya 1970 hadi 1980, sauti ya mwanamuziki Kasongo wa...
Ukraine 'inastahili' uanachama wa NATO, Erdogan wa Uturuki anasema Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan pia alitoa wito wa kurejeshwa kwa mazungumzo ya amani akisema, 'amani ya haki haileti...
Kumuelewa Putin inabidi angalau uwe umesoma kakitabu kadogo kanaitwa Arts of War by Tsu Nzu.
Siku ya jaribio la mapinduzi la mchongo lililofanyika Jana na Majeshi ya Wagner ilikuwa ni siku...
Mahakama moja nchini Sweden imeruhusu uchomaji wa Quran kufanyika nje ya msikiti mkuu wa mjini Stockholm.
=======
Soma zaidi.
Two men stood outside Stockholm's central mosque on Wednesday and...
Tanzia.
Mutulu Shakur, Mwanaharakati wa haki za Weusi wa Marekani, Mfungwa alietumikia Miaka 35 Jela Kati ya 60 aliohukumiwa, Baba wa kufikia wa Mkali asiyechuja Tupac Shakur amefariki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.