Kwanza kabisa niwape pole kwa mihangaiko yenu ya kila siku wana JF.
Kama heading isemavyo hapo juu, mwezi uliopita/Septemba nilifanya ziara ya kitalii nchini burundi, kwa niliyoyakuta ni balaa...
The US wants to block sunlight to save Planet from 'Global warming!!!How insane.
MONDAY, JUL 03, 2023
Despite the European Commission's recent warning that large-scale interventions such as...
Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) hivi karibuni limemchangua tena Qu Dongyu, mgombea wa China kuendelea kuwa mkuu wake. Kilimo ni moja ya nyanja muhimu za ushirikiano kati ya...
Ni dhihirisho tosha kwamba Putin ni mateka kwa mafia wa pale Klemrin, ikikumbukwa alivyobwatuka kwa hasira wakati wa uasi ambao ulisababisha vifo kwa marubani na uharibifu wa ndege kadhaa, uasi...
Kwa jinsi nchi za ulimwengu unaoitwa wa kwanza zilivyokomaza shingo na kujitoa ufahamu kuhusu mgogoro wa Ulaya mashariki naona sio muda mrefu Dunia itaingia, kwa mara ya pili baada ya miaka mingi...
Kiongozi aliyesimikwa na Urusi walipoiba ardhi ya Crimea ameponea kuuawa na jasusi la Ukraine, kwa sasa kila pandikizi anaishi kwa uwoga na kuangalia angalia nyuma na kugeuza geuza kichwa maana...
Baada yangu ni mateso na machafuko
(Après moi ça sera une déluge)
Hayo ni maneno ya Mobutu mwaka 1996
Mwaka huo huo mobutu aliwahi kusema kuwa kongo kupata amani labda tuongozwe na mzungu
Mwaka...
Wazayuni: Mapigano yalikuwa makali Jenin, tumehisi kama tunakabiliana na Hizbullah ya Lebanon
Vyombo vya habari vya utawala wa Kizayuni wa Israel vimelazimika kukiri kwamba mapambano yaliyotokea...
Akihutubia bunge la Pan Africa miaka kadhaa iliyopita Museveni ameeleza kuwa, umoja wa nchi za Africa uliunda kamati ya usuluhishi ya marais kadhaa wa Africa kwenda kutafuta Suluhu huko Libya...
Ulinzi wa Rais wa Guinea, Mamady Doumbouya.
Doumbouya anahudumu kama Rais wa mpito tangu Oktoba 2021 baada ya kuongoza mapinduzi ya kijeshi dhidi ya Rais Alpha Condé.
===
Ukistaajabu ya Bola...
Askari aliyeua kijana na kusababisha maandamano na machafuko huko nchini Ufaransa kachangiwa zaidi ya dollar million 1(zaidi ya billion 2 za bongo) katika kampeni ya kumchangia iliyozinduliwa...
Ufaransa kuna machafuko makubwa ya, maandamano, yaliyotokana na polisi kumwua kwa risasi mtoto wa miaka 17.
Usafiri wa mabasi na treni umesitishwa. Fujo usiku kucha. Laiti kama haya yangetokea...
Nina uhakika ufaransa watakuwa wanatamani sera za Donald trump,kuhusu wahamiaji, hakika ukicheza na mwafrika na mwarabu utavuna mabua.
Nini chanzo cha vurugu?
Kuna mwarabu kutoka kaskazini mwa...
Kinachonekana kwenye hii vita ni vita kati ya mwenye silaha nzito na hasiyekuwa na silaha nzito.ila hapo hapo inaonekana ni Vita kati ya wenye ujasili na wasiokuwa na ujasili.
Jeshi la Sudan lina...
Makamu wa Rais, Paul Mashatile, amelaani kitendo cha maafisa wake wa ulinzi kumshambulia Raia baada ya video ikiwaonesha maafisa hao wenye silaha wakimkokota mwanamume mmoja kutoka kwenye gari, na...
Kila mwaka Urusi hufanya maonyesho ya ubabe wa ndege zao, ila mwaka huu imebidi waghairi maana anga yao sio salama, drones za Ukraine zimekua zinatamba hadi ikulu, hivyo hamna namna...
Yet...
Mwaka 2006 DP World ya Dubai ilinunua kandarasi ya kuendesha shughuli za Bandari sita za Marekani. Wabunge wa chama tawala na upinzani kwa pamoja waliopinga DPW kupewa kazi hiyo. Wananchi nao...
Tangu uvamazi wa Urusi uanze nchini Ukraine na vita iliyofuatia yamekuweko maneno ya kujifariji kutoka kwa baadhi ya proRussia kwamba Urusi anapigana na US, West au hata NATO(Mataifa 30).
Huu ni...
Interesting...
Timu ya wanafunzi ya wanawake kutoka China imeweza kuchukua ushindi wa nafasi ya kwanza katika mashindano maarufu ya hisabati ya European Girls Mathematical Olympiad yaliyo fanyika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.