Wakati mapambano makali ya majibizano dhidi ya wanajeshi wa Rusia nchini Ukraine yakiendelea almaarufu kama "Ukraine counter offensive " makahaba kutoka sehemu mbali mbali nao hawajabaki nyuma...
Bunge la Ghana limeunga mkono marekebisho yanayopendekezwa kwenye muswada wa kupinga ushoga ambao ungewafanya wanaojitambulisha kuwa Mashoga wahukumiwe kifungo cha miaka mitatu gerezani...
Mwaka 2018 Joseph Kabila kwa kushirikiana na Chama chake cha PPRD walimuibia Martin Fayulu kura na kumtangaza Félix Kisekedi kuwa mshindi jambo ilo lilikuwa la kushangaza masikioni mwa Wakongo...
Mamlaka ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi ya Afrika kusini (Information Regulator) imeipiga faina ya Randi millioni Tano (Tsh milioni 108) Idara ya Haki na Maendeleo ya Katiba “Department of Justice...
Ikumbukwe propaganda za Corona zilikuwa zimeshika kasi duniani kote na nchi za Afrika kulazimishwa kuchukua mikopo au kupokea chanjo Kwa lazima.
Vyombo vya habari kutoka nchi za magharibi Kwa...
Ofisi ya Rais wa Finland imetangaza kuwa Finland itakuwa Mwanachama rasmi wa NATO ifikapo kesho.
Tangazo hilo limethibitishwa na Katibu Mkuu wa NATO Jens Stoltenberg.
Akizungumza kutokea jijini...
Katibu mkuu wa NATO Bwana Jens Stoltenberg amesema kuchoma Quran hadharani sio kosa ingawa inaweza kua sio jambo la kupendeza.
Bwana Jens Stoltenberg ameyasema hayo wakati akijibu maswali kuhusu...
Kamanda mkuu wa majeshi ya Ukraine generali Valery Zaluzhny amesema nchi yake ina makubaliano maalum na Pentagon na kwamba wana mawasiliano ya masaa 24 juu ya namna vita vinavyoendelea,hata hivyo...
Dunia ina jumla ya Nchi 195 lakini ni Mataifa 5 tu ndiyo yako huru kisiasa, kiuchumi, kijeshi nknk. Tunavyozungumzia Mataifa huru ni yale ambayo hayaingiliwi kisiasa, kiuchumi, kiutamaduni na siyo...
With the US election campaign season in full swing since the beginning of the year, a topic often discussed has been the “Establishment” and the rise of candidates who are outside the...
Katika makubaliano ya kusitisha uasi wa kundi la Wagner uliofanyika katikati ya mwezi uliopita ilitajwa kiongozi wa kundi hilo angekaa uhamishoni nchini Belarusi.
Kiongozi wa Belarusi,Lukashenko...
Msimamo wa Putin unafahamika: Msamaha unawezekana ila si kwa MSALITI!! Hii sura huenda isionekane tena baada ya Special military operation in ukraine!
Msaliti ni mtu aliyeaminiwa, aliyetendewa...
Kwa mtu mtu mwenye msimamo Kama yeye na uelewa mpana asingeweza kukubali kirahisi hivyo kufikia makubaliano tata.
Ilichokifanya Urusi ni kuongea na watu wa karibu wamdhibiti kisha wampeleke...
Kinshasa ya miaka 1980 ambayo tuliona kwenye filamu ya papa wemba la vie est belle
Na kinshasa ya leo hakuna kilicho badirika zaidi ya watu na kuongeza badhi ya barabara tu katikati ya mji...
Siku tatu zilizopita chombo cha submersible kimepotea ndani ya maji katika bahari ya Atlantic, ndani yake kuna watu 5 wote wanaume.
Chombo hiki kinaweza kuzama mpaka umbali wa mita 3,800 chini ya...
Kwa mujibu wa Wanasiasa wa Upinzani Nchini Senegal, wamesema Kiongozi huyo ameachana na mpango baada ya kuwepo kwa shinikizo la kumpinga pamoja na maandamano yaliyoitishwa Nchini kote.
Rais...
Salwan Momika, anayesemekana kuwa mzaliwa wa Iraq anayeishi Sweden, alichoma moto nakala Quran mbele ya msikiti mkuu wa Stockholm siku ya Jumatano.
Mataifa ya Mashariki ya Kati yakiwemo Iraq...
Wahamiaji kutoka Kusini mwa Jangwa la Sahara wameshambuliwa katika Mji wa Sfax huku zaidi ya 10 wakiripotiwa kujeruhiwa wakiwemo Wanawake na Watoto.
Machafuko hayo ya kulipiza kisasi yamechochewa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.