Chama cha kikomunisti cha China kilianzishwa mwaka 1921 kikiwa na wanachama takribani 50+ mpaka sasa takribani miaka 102 chama hicho kina wanachama wapatao million 96+
Je, ni rahisi au vigumu...
Zimejadili mpango wa kumuua Putin; Marekani yakiri uvujaji wa nyaraka za kijasusi ni jambo hatari.
Marekani imekiri kwamba uvujaji wa nyaraka za siri za Wizara ya Ulinzi wa nchi hiyo, Pentagon ni...
Muziki wa Bakhmut bado tena sana tu, kwanza Ukraine waanza kuzingira Mashariki...hehehe huku Putin akiingizwa mkenge na Wagner na kukimbilia kutoa hongera, hii aibu sana kwa supapawa
Ukrainian...
Kwa wale ambao hamjui miezi kadhaa iliyo pita UK ilitangaza kuipa Ukraine mabomu yaliyo tengenezwa kwa Uraniamu.
Juzi baada ya jeshi la Urusi kudungua ghala lenye silaha lililopo magharibi mwa...
Mpaka hapo imedhihirika hamna jipya ambalo Urusi inaweza kufanya, imeshambulia kwa kila aina ya kombora kasoro nyukila....magharibi wanaendelea kuipa Ukraine jeuri zaidi ya kuilemaza Urusi...
Rais wa Marekani, Joseph Biden akiwa Japan kwenye mkutano wa G7 amesema ametoa ruhusa na atashirikiana na nchi zingine kuwafundisha Marubani wa Ukraine matumizi ya ndege vita aina ya F16.
Hapo...
Nchi 7 zatahadharisha raia wao kuhusu hatari ya kusafiri kwenda Marekani
Nchi zisizopungua saba duniani zimetoa ushauri kwa raia wao wanaonuia kusafiri kwenda Marekani, zikitaja wasiwasi mkubwa...
Kiongozi mkuu wa kundi la Wgner(PMC) amelituhumu kundi la wanajeshi wa Urusi kwa kuyakimbia maeneo yao waliyokuwa wanayakalia karibu na mji wa Bakhmut mashariki mwa Ukraine, katika shutuma zake za...
Waziri wa Biashara wa Uingereza Dominic Johnson hivi karibuni alifanya ziara mjini Hong Kong, China, akiwa na lengo la “kuihimiza Uingereza kupata uwekezaji na biashara zaidi”. Hata hivyo, bado...
Jeshi la China linasema liko tayari kuharibu harakati za aina yoyote za uhuru wa Taiwan, huku Marekani ikijiandaa kuharakisha uuzaji wa silaha za kujihami kwa demokrasia ya kisiwa kinachojitawala...
Yurii Ihnat, msemaji wa Jeshi la Wanahewa la Ukraine, amesema kuwa mfumo wa makombora wa Kuzuia ndege wa Patriot hauwezi kuharibiwa kwa shambulio moja, hata ikiwa ni kombora la Kinzhal.
===
Yurii...
Moscow:Tupo tayari kupitia upya mpango wa amani wa viongozi wa Afrika
Sergei Lavrov
Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema kuwa Moscow ipo tayari kuuchunguza mpango wa amani uliopendekezwa na...
Yeah ni kweli vita ni pande mbili , jambo zuri internet inaonyesha vitu vingi vinavyo tokea ukraine na reactions za wa ukraine ,maana nimeona mpaka Walimu, Madaktari, Mainjinia wa Ukraine...
Ukraine yalalamika kuwa HIMARS walizoaminishwa na USA+NATO kuwa ndio Game changer (mkombozi wao), zimekuwa kama midoli tu kwenye mapambano na Urusi.
Mwambieni Zelensky hizo HIMARS ni Game Changer...
Wizara ya mambo ya ndani ya Urusi leo imetangaza kuwa mwendesha mashtaka wa mahakama ya kimataifa ya ICC ni WANTED kuanzia leo hii.
Itakumbukwa huyu mwendesha mashtaka ndio alitangaza kutoa hati...
Msafara wa 86 wa Meli za Kivita za Jeshi la Wanamaji la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran umerejea nchini baada ya safari ya kuzunguka dunia kama sehemu ya juhudi za Jamhuri ya Kiislamu za kupanua uwepo...
Kimbunga cha dhahama cha makombora ya Russia kilichopita Kherson kimewakumba na kuwaangamiza wataalamu sita wa jeshi la Ukraine ambao walikuwa ni magwiji na wabobezi wa kutegemewa katika fani ya...
Rais wa Syria afanya ziara ya kihistoria nchini Saudi Arabia
Hili ni pigo kubwa sana kwa Madola ya Kibeberu hususan Washington na vibaraka wake pamoja na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel...
Pentagon yasema kuwa zaidi ya ndege 1 ya Urusi ilidunguliwa na Patriot ndani ya ardhi ya Urusi.
Ukraine alipewa Battery 2 za Patriot, moja iko Kyiv nyingine haijulikani iko wapi
Wachambuzi wa...
Rais wa Marekani, Joe Biden amesema Urusi haiwezi kushinda vita dhidi ya Ukraine.
Matamshi hayo ameyatoa mjini Warsaw, Poland ikiwa ni saa kadhaa baada ya Rais wa Urusi Vladimir Putin kusema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.