Waisraeli wamerusha satellite mpya kwa dhumuni la ujasusi hasa kuichunguza Iran na teknolojia yao ya Mabomu ya Nyuklia.
Ni vipi waihofia Iran huku ninyi mnaowasujudu mnaamini kuwa wana akili sana...
Moldova taifa dogo lilo kati ya Ukraine na Romania limeungukia umoja wa ulaya(EU) likiitaka jumuiya hiyo kwa msisitizo mkubwa sana kuharakisha kupokelewa kwa maombi yao ya kujiunga katika umoja...
Baada ya mifumo ya ulinzi ya Marekani ambayo walikuwa wakiiamini sana kupigwa na kuharibiwa na majeshi ya Russia, kwa kutumia makombora ya kinzhai, leo Marekani amepiga marufuku ndege zake aina ya...
Uturuki inakaribia katika awamu ya "suluhisho la mwisho", ambalo linahusisha kujitenga kabisa na "Mfumo wa Atlantiki" ambao ni wa Kimarekani na huku ikiwa inajikurubisha zaidi na madola yenye...
Sambamba na mkutano wa G7, Oxfam yasema: Nchi tajiri zinadaiwa dola trilioni 13 kwa nchi maskini
Shirika la Oxfam limetangaza kuwa nchi za G7 zilizoendelea kiviwanda zinadaiwa na nchi za Kusini...
Maafisa 82 wameshtaki Serikali, wakidai kuwa imeshindwa kuwapandisha vyeo baada ya kumaliza masomo yao chini ya sera ya likizo ya masomo yenye malipo
Wakiongozwa na Inspekta Msaidizi Kofi Osal...
Alaumu wanajeshi wa Urusi kuendelea kuachia maeneo na kushangaa namna wazalendo wa Ukraine wanakomboa maeneo.
Yaani Ukraine wana mzuka wa kichizi, vijana wanaingia kwenye historia kama ambao...
Chombo kimoja cha habari nchini Marekani kinasema kimepata taarifa kwamba maafisa wa juu wa serikali ya Marekani wanaona uwezekano wa mgogoro na vita ya Urusi na Ukraine kuchukua miaka mingi au...
Serikali ya Uingereza imetoa ripoti kwamba, Mazishi ya Queen Elizabeth II yaligharimu zaidi ya TSh. BILIONI 471. Kiongozi huyo alifariki dunia Septemba 8 na kuzikwa Septemba 19, 2022.
Gharama...
Waandishi hao wa Habari wanapinga kile wanachosema kuwa ni Sheria kandamizi dhidi ya ugaidi iliyoundwa kuvitisha vyombo vya habari.
Wameandamana wakiwa na mabango nje ya makao makuu ya muungano...
Msemaji wa Pentagon Gen. Patrick Ryder akijibu maswali ya waandishi mbalimbali habari leo hii amethibitisha mfumo wa ulinzi wa anga wa US wa Patriot kutungua kombora la Urusi la Kinzhal...
“Uturuki ni rafiki iwe mvua au Jua” ubalozi wa Tanzania, Uturuki
Nchi hizi mbili zinafanya kazi pamoja katika nyanja nyingi
Tanzania na Uturuki wana ushirikiano mzuri wa kidiplomasia I Picha...
‘Biased Western media trying to influence decision of Turkish voters’
Several Western-based publications have been accused of biased reporting, with suggestions that this is an attempt to...
Jamani mwenye apdate kutoka vyanzo mbali mbali kuhusu kinacho endelea kwenye uchanguzi wa raisi nchini Uturuki tufahamishane.
Ila Edorgan akinusulika kwenye uchanguzi huu itabidi akatambike kwenye...
Ujasusi ndio silaha ya hatari kwa nchi yeyote duniani. Ujasusi ndio silaha ya kisasa ktk kukabiliana na changamoto zina ikabili Dunia ujasusi ndio nyenzo ya ushindi kwa adui yako ukiwa hauna watu...
Kumekuwepo na vuta nikuvute juu ya mashambulizi makubwa yaliyofanywe na Urusi hapo jana kwenye mji mkuu wa kyiv. Wakati Ukraine ikisema imetungua makombora yote 18 yaliyorushwa jijini hapo,6 kati...
Vyombo mbalimbali vya habari vimemnukuu Waziri wa ulinzi wa Ukraine akisema mifumo yao ya ulinzi wa anga jana imefanikwa kudungua makombora 6 ya Kinzhal ambayo yanadaiwa na Urusi kuwa ni...
Ukraine imeijibu China ambayo inajaribu mbinu za kuishawishi Ukraine iachie kipande cha ardhi kwa Urusi ili yaishe.
Hivi mnaoishabikia Urusi kwenye harakati zake za kuiba ardhi ya Ukraine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.