Rachel Ghannouchi (81) ambaye ni Spika wa zamani wa Bunge, alikamatwa Aprili 2023 kwa tuhuma mbalimbali ikidaiwa kuwa ni hatua ya kudhibiti upinzani wa kisiasa
Chama cha Mwanasiasa huyo, Ennahda...
Africa Kusini inakabiliwa na mgogoro mkubwa wa umeme kwa miaka 15 sasa. Nchi nzima iko katika mgao wa umeme na inakadiriwa umeme kwa mwaka umeme unakatika zaidi ya siku 200!
Uwekezaji duni katika...
Rais wa Ukraine Volodomir Zelensky amekwenda Italy ambapo atakutana na waziri mkuu wa Italia kwa mazungumzo na hatimaye kuitimisha ziara yake kwa kuonana na Papa Francis jijini Vatican ambapo...
Baada ya mgogoro wa kivita wa Ukraine kuanza, waziri wa mambo ya nje wa Urusi Bwana Sergey Lavrov alitahadharisha kuhusu matumizi ya Nyuklia na kusema Urusi haitasita kutumia silaha za nyuklia...
Wizara ya ulinzi ya Urusi imesema kuwa imepoteza makamanda wao wawili,4motorized rifle brigade,Col, Vyacheslav Makarov pamoja na Deput of army corps for military-political work Col,Yevgen Brovko...
Ndauli.
Basi baada ya ile ripoti ya kuonyeshwa mapesa yamechotwa ovyo.
Basi yule montress akasema mada hiyo itajadiliwa mwezi wa saba huko.
Wananchi huko india wamempiga risasi mbele ya TV...
Waziri wa Ulinzi wa Urusi kasema kitendo cha Uingereza kupeleka makombora yake yenye uwezo wa kupiga umbali wa kilomita 250, ni kitendo kikubwa cha kichokozi na kinaweza kuchochea vita hiyo...
Picha: Rais wa zamani wa Ghana, John Mahama
Rais wa zamani wa Ghana, John Mahama alipitishwa na Chama kikuu cha upinzani nchini Ghana National Democratic Congress, kuwa mgombea wake mwaka 2024...
Baada ya kupata taarifa za uhakika. Israel iliamua anza Operation iitwayo Shield Arrow.
Waliingia kuwasaka Wakubwa wa Vikundi vya kigaidi ndani ya Gaza, hadi sasa watu zaidi ya 24 wameuawa...
KUMBUKUMBU: JE, WAJUA? KWAMBA HAITI NDILO TAIFA LINALOSEMEKANA KUONGOZA KWA UCHAWI DUNIANI?
Rais wa zamani wa Haiti, Dikteta François "Papa Doc" Duvalier, aliyechaguliwa na wananchi wa taifa...
Serikali ya Marekani imesema inapeleka vikosi katika maeneo ya Gulf ili kulinda meli, hii imekuja baada ya Iran kuanza teka meli zinazopita katika eneo liitwalo Homuz Strait.
Je tutegemee vita...
Picha za Mabaki ya Makombola hayo bandia ADM-160(MALD) zimeonekana katika mitandao kadhaa ya Kirusi ikionyesha mabaki hayo huko Luhansk.
Ukraine ilitumia makombola matatu yakiwemo storm shadow...
Kufanya uchambuzi (Profilling) wa aina ya watu wanaoshiriki kwenye upande mmoja au mwingine wa vita ni jambo la msingi sana kwenye kujua aina ya vita na hatima ya vita.
Kwenye medani ya vita kuna...
Tangu vita baina ya majirani hawa walili ianze imenifanye niwaze nikwanini Uingereza amekuwa sehemu muhimu sana kutoa msaada wa hali na Mali kwa Ukraine kuweza kukabiliana na urusi, kuanzia...
Na BBC Swahili
Vita vya Bakhmut, mji wa Ukraine ambao Urusi imetumia miezi kadhaa kujaribu kuuteka, "inaendela kwa utulivu", anasema kamanda mkuu wa Ukraine. Mapema mwezi huu, maafisa wa...
Jamani mwenye apdate kutoka vyanzo mbali mbali kuhusu kinacho endelea kwenye uchanguzi wa raisi nchini Uturuki tufahamishane.
Ila Edorgan akinusulika kwenye uchanguzi huu itabidi akatambike kwenye...
Msimu huu wa kiangazi, kuna harufu ya counteroffensive inanukia nchini Ukraine, kwani matukio yanayotokea Kherson na Bakhmut yanatazamiwa kusambaa kote nchini na kuunda mkondo wa mashambulizi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.