Urusi ndio taifa pekee ambalo limekua likipelekeshana na Marekani kichwa kwa kichwa kwenye masuala yote yakiwemo ya kijeshi tangu tangu, Marekani ilijaribu mbinu nyingi sana za kuizamisha Urusi...
(1) Kalenda ya Korea Kaskazini inategemea mwaka wa kuzaliwa wa mwanzilishi wa nchi hiyo, Kim Il-Sung. Mwaka huu 2023, Korea Kaskazini itaadhimisha mwaka wa 112, kwa vile Kim Il-Sung alizaliwa...
Kila mwaka, Mei 9 Warusi husheherekea ushindi wao kwenye vita vikuu vya pili vya dunia, huwa na mbwembwe kama zote za kutunisha misuli, mwaka jana kwenye hotuba ya sikukuu, Putin alibwatuka...
Wamewahishwa kuleeee.
=========
The Somali National Army (SNA) says it has killed dozens of Al-Shabaab fighters in a morale boost against the militant group.
Haradhere District Commissioner...
Wakati west wakiendelea kuhakikisha vita haviishi na watu hawapatani China yeye kaendelea kupambana kuhakikisha walio gombana wanapatana! Urusi yeye kaamua kuhakikisha anasaidia majirani zake...
Al Shabab wamepiga marufuku kutengeneza na kula sambusa - Somalia.
Hii ni kutokana ina shape ya pembe tatu, yaani ni kiwakilishi cha Ukristo (Utatu Mtakatifu/Trinity)
Hichi kitu kimenishangaza...
Taarifa iliyotolewa na Ikulu ya Marekani Mei 1, 2023 inasema Nchi hiyo itaondoa lazima ya Chanjo kwa wasafiri wote wa Kimataifa wanaoingia Nchi hiyo kuanzia Mei 11, 2023.
Hii inafuatia amri ya...
Singapore,China na sasa India ni miongoni mwa Nchi barani Asia ambazo zinapose jeuri ya kutaka kuwa Nchi zenye chumi kubwa duniani ndani ya miaka kumi ijayo!
Uchumi wa China unatarajiwa kuizidi...
A Chinese research team has successfully completed the country's first full-size superconducting test run for an ultra-high-speed magnetic levitation (maglev) train, which, once completed, will be...
Walalamika kila siku wanapoteza wanajeshi elfu, haivumiliki tena maana Urusi haiwapi silaha ipasavyo, wametelekezwa.....wamechoka maana wazalendo wa Ukraine bado wanatembeza kichapo, yaani ndio...
Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema pendekezo la kuhamisha makao makuu ya Umoja wa Mataifa kutoka New York hadi nchi nyingine ni wazo zuri na linafaa kuzingatiwa.
Sergei Lavrov, ambaye yuko...
Huu umoja ni kama muunganiko fulani wa kigenge cha kahawa na wapiga soga tu. Umeshindwa kumaliza au kutatua changamoto za msingi za bara hili. Vita vimekuwa haviishi hapa Africa, baadhi ya sehemu...
Tusichanyanya mafile, hatuzungumzii biblia bali tunazungumzia uenyeji wa ardhi husika
Tuliza kicha tafakari hili swali
Hivi mfano pale Mecca pangevavamiwa na wagiriki kisha waarabu wa hapo...
Leo naomba niwe newtro kidogo. Sorry pro-west wenzangu.
Miaka ya 1900+ kama sjakosea, USA alisaidia kuunusuru uchumi wa russia kwa kuhofia russia angeuza tech ya nuke. ili kukabiliana na makali...
Katika ziara ya kushtukiza rais wa Urusi Putin ametembelea eneo la vita la Lugansk kukagua operation ya kivita inao endelea!
Hii ni baada ya kutembelea crimea na maeneo mengine yaliyo jiunga na...
Mapacha walioungana, Lupita na Carmen Andrade waliozaliwa nchini Mexico na kukulia Connecticut nchini Marekani, wamezua gumzo kubwa baada ya mmoja kati yao kueleza kwamba yupo kwenye uhusiano wa...
An 11-year-old girl who was allegedly raped by her brother gave birth at home, and now he and their parents are facing criminal charges.
The girl gave birth to a boy in a bathtub in St. Charles...
Watu wawili wameuawa ikiwa ni matokeo ya mashambulizi kutoka Ukraine yaliyokilenga kijiji kimoja ndani ya mkoa wa Bryansk ndani ya Urusi. Hayo yamesemwa na Gavana wa mkoa huo kama alivyonukuliwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.