International Forum

News and Stories from rest of the World
Warusi walitumia kila aina ya zana, wakashambulia na kufa sana, wakasubiriwa watumie nguvu yote hadi wakachoka maana wazalendo wa Ukraine walipambana kuhimili hayo mapigo na kuyapangua, kwa muda...
11 Reactions
9 Replies
1K Views
Hii series inasikitisha sana. Inaeleza jinsi wahuni wanavyotumia biashara ya kuexport dhahabu kutoka Africa kwenda Dubai wanavyotakatisha pesa. Mapastor fake wamejaa humo ndani. .
12 Reactions
51 Replies
7K Views
The now Zombie humanity can be cheated in everything:A teenage boy who believed he can become a girl dies of complications after a surgical operation to replace his penis with a fake vagina 27...
0 Reactions
0 Replies
367 Views
23 FEBRUARY 2023 The United Nations, meeting in New York, has voted to DEMAND Russia withdraw from Ukraine "immediately and Unconditionally." The vote was 141 in favor, 7 opposed, with 32...
9 Reactions
31 Replies
2K Views
Enzi na enzi, Mungu huchukizwa mno na ushoga! Na timbwili la kuanguka kwa Taifa hili kubwa Duniani_ inaanzia hapa. Mungu kuonyesha kwamba huchukizwa na upumbavu huo na havumilii kabisa kufuru...
12 Reactions
89 Replies
4K Views
Pande mbili zinazopigana Nchini Sudan zimefikia makubaliano hayo mapya ikiwa ni kutokana na majadiliano yanayoshinikiwa kutoka Mataifa ya Marekani, Uingereza, Umoja wa Mataifa na Nchi majirani...
0 Reactions
3 Replies
699 Views
Mwana siasa na Meya wa zamani wa jiji la Cincinnati, Ohio Gerald Norman Springer aliyejizolea umaarufu kupitia kipindi chake cha Jerry Springer, amefariki dunia. Jerry Springer ni mwenyeji wa...
1 Reactions
6 Replies
773 Views
Omar Al-Bashir aliitawala Sudan kwa takribani miaka 30 kwa mkono wa jeshi wa chuma akafifisha nguvu za taasisi zote muhimu za kiraia ikiwemo bunge na mahakama. Akaunda na kuvipa nguvu vikosi...
6 Reactions
33 Replies
2K Views
Msemo unasema, muda haumngoji mtu, na kwa Joe Biden mwenye umri wa miaka 80, hilo linaweza kuwa tatizo. Je, rais wa Marekani anaweza kuwashawishi wapiga kura kwamba umri wake si hoja? Bw Biden...
0 Reactions
14 Replies
912 Views
Kenya inakabiliwa na hali ngumu ya kiuchumi baada ya madeni yake mengi na makubwa iliyokopa nje kwa miongo kadhaa ya karibuni kuiva kwa kasi. Inakadiriwa kila wiki Kenya inatakiwa kufanya malipo...
3 Reactions
2 Replies
499 Views
Anaogopa kudunguliwa kama Habyarimana?
0 Reactions
36 Replies
5K Views
Serikali ya Ethiopia hivi karibuni imefanya hafla ya kushukuru watu, makundi na serikali zilizochangia mchakato wa amani nchini humo. Tangu serikali ya Ethiopia na Jeshi la Ukombozi wa Watu wa...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Boti hiyo iliyokuwa imebeba wahamiaji wakielekea Barani Ulaya imezama katika Pwani ya Libya ilikuwa na abiria 60. Watu watano wamesalimika akiwemo mtoto raia wa Syria, huku Wanausalama wakiwa na...
0 Reactions
6 Replies
494 Views
China ndio ilikua tegemeo la Urusi na kwa hali inavyokwenda hali inabadilika... Pia balozi mpya ameteuliwa kuwakilisha Ukraine China Zelensky appoints ex-minister for strategic industries as...
4 Reactions
30 Replies
2K Views
Watu hao wakiwemo Wanaume 17 na Wanawake 7 walikamatwa na Polisi Februari 23, 2023 wakiwa katika Semina iliyoandaliwa na MUCO Burundi, Taasisi Isiyo ya Kiserikali inayojihusisha na Masuala ya...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Rais wa Rwanda, Paul Kagame atawasili Nchi leo na atapokelewa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Stergomena Tax katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) hivi karibuni lilitoa ripoti, likipunguza makadirio ya ukuaji wa uchumi wa nchi kubwa kiuchumi duniani, isipokuwa China, ambayo uchumi wake unakadiriwa kukua...
5 Reactions
46 Replies
2K Views
Body double ni mtu anayechukua nafasi ya mtu mwingine mara nyingi katika sanaa ya filamu. Katika filamu ambazo waigizaji wake maarufu wanaonekana wakifanya stunts za hatari mara nyingine huwa ni...
9 Reactions
51 Replies
4K Views
Mgogoro Wa Darfur "Sudan" Una Mkono Wa Magharibi? Sudan inakabiliwa na janga kubwa la kibinadamu kwa mapana na marefu ya nchi yake. Nadharia ya fitina, kwa vyovyote vile, ndiyo inayoichimba nchi...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Nchi ya Uturuki, Tunisia na Iraq zimefuta kabisa ndoa za wake wengi huku Saudi Arabia ikiwa imeweka masharti makali kiasi kwamba hakuna watu wanaooa wake wengi. Iran yenye watu milioni 88.5 ina...
7 Reactions
79 Replies
4K Views
Back
Top Bottom