Mataifa karibu yote duniani yenye raia zao Sudan wanashindana kuwakimbiza nchini humo. Imekuwa kama ni siasa kuwahi kuwaondoa raia hao kwa mbinu tofauti. Nchi inayochelewa kufanya hivyo kama...
Wizara ya Ulinzi ya Urusi imesema wanajeshi wa Urusi wamefanikiwa kuzidhibiti wialya tatu zaidi kwa upande wa magharibi mwa mji mji wa Bakhmu
Wizara ya Ulinzi ya Urusi imesema wanajeshi wa Urusi...
Siku tatu tangu maafisa wa Ubalozi wa Marekani kuhamishwa kwa helikopta za jeshi na kupokelewa nchini Saudi Arabia kwa vishada vya maua,wale raia wapatao 16000 wengi wao wakiwa raia pacha...
Kikao cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kilikumbwa na mabishano makali kati ya Urusi inayoshikilia urais wa zamu wa Baraza hilo na mataifa ya Magharibi yanayoilaani kwa uvamizi wake dhidi...
Rais huyo wa Marekani mwenye miaka 80 ametangaza nia yake leo Aprili 25, 2023 licha ya utafiti ulifanywa na Kituo cha Runinga cha NBC kuonesha 70% ya Wananchi hawataki Biden agombee tena Urais...
Shirika la Afya duniani linasema kuna hatari kubwa ya magonjwa ya mlipuko kutoka Sudan na kusambaa kwingine.
Wanamgambo wa RSF wametwaa maabara ya kitaifa yenye sample mbalimbali za magonjwa...
Siku zote nmekuwa nikisema sisi waafrika ni wanyama sana. Wakati tunapambana na mashoga n.k tunasahau huu unyama ambao tunafanyiana wenyewe kwa wenyewe.
Yaani tunatumia nguvu kubwa kwa mambo...
Majenerali hasimu nchini Sudan wamekubali kusitisha mapigano kwa siku tatu, waziri wa mambo ya nje wa Marekani Antony Blinken alisema Jumatatu, baada ya siku 10 za mapigano katika maeneo ya mijini...
Kongo tunahitaji kiongozi mwenye akili kubwa saana. Uongozi wa kibabe bila akili ni matumizi mabaya ya muda
Leo hii kagame anatusumbuwa kwasababu anatumia akili kubwa kutengeneza vikosi vya waasi...
Raia wa Uchina anayefanya kazi katika mradi wa umeme wa maji amekanusha madai yaliyotolewa na wafanyikazi wenzake wakidai alikufuru kwa kutoa maneno ya kashfa kwa Mungu na Mtume Mohammed hali...
Idadi ya Nchi zinazowahamisha raia wake kutoka Sudan inazidi kuongezeka kutokana na mapigano yanayoendelea kuwania madaraka katika Jiji la Khartoum.
Baadhi ya mataifa yanayoondoa raia wake ni...
Fox News, kampuni kubwa ya habari huko Marekani ya mrengo wa kulia imekubali kulipa kitita cha dola za Kimarekani milioni 787 kwa kampuni ya Dominion Voting Systems inayohusika na kutoa huduma za...
Walianza kama utani kulaumiana nani kaboronga kwenye shughuli ambayo imekwama kwa sasa, ghafla wakaanza kufyatuliana risasi na baadhi kuuawa maeneo ya Stanytsia Luhanska. Nasemaje!!! Safi sana...
Tangu Urusi iivamie Ukraine mwezi February mwakajana bila uhalali wa sababu, wananchi, hata wale ambao mwanzoni waliona maamuzi hayo ya Putin hayawagusi moja kwa moja, sasa taratibu kila mmoja...
Trump atiwa hofu na wasiwasi na muungano wa Iran, Saudia, China na Russia
Trump atiwa hofu na wasiwasi na muungano wa Iran, Saudia, China na Russia
Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump...
Mwanasiasa mwingine akiri: Marekani iliunda kundi la kigaidi la ISIS (Daesh)
Apr 21, 2023 08:22 UTC
[https://media]
Mwanasiasa wa Marekani ambaye ametangaza nia yake ya kugombea katika uchaguzi...
Hizbullah: Tutatumia nguvu za kijeshi ikiwa Israel itachimba mafuta na gesi kabla ya kufikiwa mwafaka
Oct 07, 2022 11:42 UTC
[https://media]
Mwakilishi wa Hizbullah katika Bunge la Lebanon...
Urusi ilibugi sana kwa kushindwa kutekeleza malengo ya kuiteka Kyev pale mwanzo, sasa kinachofata ni aibu tupu maana tayari wamekwama Bakhmut, wameshindwa kuteka hako kamji licha ya kupoteza...
Katibu Mkuu wa Nato, Jens Stoltenberg, amesema nchi zote wanachama zimekubaliana kwamba hatimaye Ukraine itajiunga na muungano wa kijeshi unaovuka Atlantiki pindi vita vitakapomalizika, kabla ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.