Habari za wakuu hapa ni vema uzi uachwe kuonesha nani kapoteza kwa namna tofaut tofauti,
Kuna Nyuzi nyingi Sana hapa ila huu utakuwa wa kitaalamu Na shuhuda nilizoshuhudiwa siyo kwa kusimuliwa...
Hu Jintao ni Rais wa China toka mwaka 2003-2013 na katibu mkuu wa chama cha kikomunisti toka mwaka 2002-2012
Tujifunze kuhusu theory yake ya" Scientific outlook on development" upi ni mchango...
Do we have tanks no!
Do we have industry no!
Do we have advanced military no!
Do we have missile no!
Do we have money no!
Africa you should mind your own business and focus on economic independence.
Naomba kudadisi wataalamu mbalimbali watujuze nini kinafanya taifa hili kufanya vizuri katika section zake hadi kupelekea kuwa taifa kubwa na imara. Taifa hili la kibeberu limepiga hatua kubwa...
Siku hizi, wimbi la kuacha kutumia sarafu ya dola ya kimarekani “dedollarization” limeibuka kila pembe ya dunia. Kutoka India, Brazil hadi China na Russia, kulingana na takwimu zisizokamilika...
Rais Donald Trump amewataka washirika wa NATO kuongeza kiasi cha fedha mara mbili zaidi kwaajili ya kuongeza bajeti ya ulinzi ambayo kwa sasa wanachangia asilimia mbili tu,na yeye akiwataka...
NATO, Marekani zatafautiana kuwaondosha wanajeshi Afghanistan
Wakati Marekani ikitangaza rasmi kuondosha idadi kubwa ya wanajeshi wake Iraq na Afghanistan, mkuu wa Shirika la NATO, Jens...
Scrounging for Tanks for Ukraine, Europe’s Armies Come Up Short
The struggle to deliver on promises to provide Leopard 2 tanks for use against Russian forces has exposed just how unprepared...
Taarifa za Kijasusi za Marekani zinadai kuwa Iran ina mpango wa kufanya mashambulizi sehemu mbali mbali Mashariki ya Kati.
Jeshi la Marekani yapeleka Nyambizi itumiayo Nyuklia katika Bahari ya...
It is no longer a conspiracy theory, they have now admitted carrying out Stratospheric Aerosol Injection using Chemtrails(SAI)
09 APRIL 2023
Former CIA Director John Brennan has given a speech...
Nikikumbuka lile limsafara la kwenda kuteka Kyev nacheka sana maana shughuli yote imehamia kwenye kujaribu kuteka kamji ka Bakhmut ambapo Urusi imepoteza wanajeshi karibia laki moja kwenye haka...
Binti wa tajiri Elon Musk aliyebadili jinsia yake amewasilisha ombi la kubadilisha jina lake kulingana na utambulisho wa jinsia yake mpya na kwasababu anasema "Siishi au nisingependa kuwa na...
Kwenye misosi ya futar, amesema kwa vyovyote vile lazima Crimea irudi......
Natumai maustadhi wa humu mtapunguza chuki dhidi ya Ukraine kisa chuki zenu kwa Marekani.
The Ukrainian president...
Thread hii kwanza naiona na views wengi sana maana wabongo wengi wanapenda kujifunza. Nawapongeza kwa hilo. Back to the matters.
Njia za kuzuia wachawi wasiingie ndani kwako zipo nyingi na kila...
Inaaminika watu hao wanaweza kuwa wamepoteza maisha kutokana na ajali hizo ziliyotokea Pwani ya Tunisia wakati meli husika zikiwa njiani kuelekea Italia.
Meli ya kwanza ilikuwa na watu 37 na ya...
Namkubali sana Ibrahim Rahabi akianza kuchambua sibanduki kwenye tv mpaka nachelewa kazini,,,Dogo Joseph Kenedy nae anatisha yuko full magazine,,Je,Wewe unaonaje!?
Ndege za Israel chapa F16 zimerusha makombora katika ukanda wa Gaza na kusini mwa nchi ya Lebanon ikiwa ni majibu ya maroketi yaliyorushwa na makundi ya Hamas ya Gaza na Hizbollah ya nchini...
Baada ya Israel kufanya ugaidi ndani ya msikiti wa Al Aqsa Hamas walifyatua maroketi kuelekea Israel kama onyo na Hezbollah wa Lebanon nao wameshambulia kwa makombora 100 ambapo kadhaa...
Marekani, Ujerumani na Hungary zinapinga majaribio ya Poland na mataifa ya Baltic la kuipatia Kiev "mpango" wa kuwa mwanachama wa NATO katika mkutano wa kilele wa NATO wa Julai.
Washington ina...
Hii imewashangaza sana Urusi kwa drone kukaribia Moscow bila kugunduliwa......
Drones that the Kremlin said were launched by Ukraine flew deep inside Russian territory, including one that got...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.