India wanadai ni mkoa wao na wameupa jina "Arunachal Pradesh", Mchina naye ameupa jina "South Tibet" na wote kila mmoja anaamini ni mkoa waliopokezwa na mababu zao na hawapo tayari kuachia hata...
Muda umefika wa kuingia kwenye kiwango kingine cha vita vya kisasa, zaidi ya marubani 7,000 wa drone wamepata mafunzo na wako tayari kupeleka moto kwa kubonyeza bonyeza tu.
A Ukrainian official...
Ripoti mbalimbali zinadai kuwa Benki kuu za Urusi na Uchina zimeanza kuondoa akiba ya dola ya Marekani katika hifadhi yake huku biashara zake nyingi zikiendeswa kwa Yuan ya China. Kuhama huku...
General Mark Milley, ambae ni afisa mwandamizi wa jeshi la Marekani, ameamua kuwa muwazi kwa kusema kuwa haitawezekana kwa Ukraine kuishinda Urusi kwenye vita inayoendelea licha ya misaada mikubwa...
Hatari sana maana kwa mwendo huu sijui tunakoelekea, Putin afike sehemu ajue liinchi lake hilo libwaku anaweza akazinguliwa popote na litamshinda...
Pia akubali yaishe kwamba operesheni ilifeli...
Udhibiti wa mitaji (Capital controls); Wataalamu wanasema tatizo kubwa la Yuan na sarafu za nchi nyingine nyingi duniani ni sheria na kanuni ngumu za kuhamisha pesa kutoka au kuingia nchini mwao...
A Russian Kinzhal missile, traveling at 12,000 kilometers per hour, 10 times faster than sound, was used today to destroy a Ukrainian weapons depot 136 meters underground. (Look at the...
A Russian Alligator Ka-52 helicopter was destroyed by the forces of the 10th Separate Mountain Assault Brigade "Edelweiss" on 5 April.
Source: Serhii Cherevatyi, spokesperson for the East Grouping...
Tutaongea lugha moja hivi karibuni....
A fire has broken out in the Defence Ministry building on Znamenka Street in the centre of Moscow.
Source: Russian Kremlin-aligned news outlet TASS, citing...
Rais wa zamani wa Nigeria, Olusegun Obasanjo amewaandikia Barua Maafisa wa Mahakama nchini Uingereza, akiomba #Haki itolewe kwa huruma wakati Seneta wa Nigeria Ike Ekweremadu na Mkewe Beatrice...
Kwanza kabisa nianze kwa ku declare my side. Mimi ni pro democracy na napendezwa sana na mifumo ya kidemokrasia na independent strong institutions ya kiutawala ya western countries.
Lakini kwa...
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron ameanza ziara ya kikazi ya siku tatu nchini China ambako pamoja na mengineyo analenga kulishawishi taifa hilo mshirika wa Urusi, kusaidia juhudi za kuleta amani...
Rais wa Taiwan Tsai Weng yuko ziarani katika nchi za Amerika ambapo atasimama katika majimbo 2 ya Marekani ya New York na California kabla ya kuelekea katika nchi za Belize na Guantamala.
Akiwa...
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Antony Blinken amesema rasimu ya sheria dhidi ya LGBT iliyopitishwa na bunge la Uganda siku ya Jumanne inakandamiza haki za kimsingi za binadamu na kuitaka...
Mahakama Nchini Zimbabwe imemtoza Fadzayi Mahere ambaye ni mwanasheria na mwanachama wa Chama cha Wananchi (CCC), faini ya Dola za Marekani 500 (Tsh. Milioni 1.17) baada ya kumkuta na hatia ya...
Makamu wa Rais, Constantino Chiwenga ambaye pia ni Waziri wa Afya, amesema Watu wanakufa hospitalini kwa sababu hakuna Wauguzi na Madaktari hivyo hatua kali lazima zichukuliwe kudhibiti hali hiyo...
Japan waliruhusiwa na G7 kununua haya mafuta yaliyowekewa international sanction ya bei nafuu. Kwa nini na sisi tusiwaombe hawa rafiki zetu waturuhusu na sisi kuyanunua haya mafuta ili kunusuru...
Hili kundi la Warusi wanaompinga Putin limeapa kuwasaka propagandist wa Putin mmoja baada ya mwingine....
The National Republican Army has claimed responsibility for arranging the murder of...
Licha ya kufunguliwa mashtaka hayo ya kughushi nyaraka za biashara ikiwemo malipo haramu ya Dola 130,000 kwa Staa wa filamu za ngono Stormy Daniels, Trump amewaambia wafuasi wake kuwa hana hati...
Ameanza ile hulka yake ya kufuta kaze majenerali kila wakipokea kipigo...
Vladimir Putin has fired one of the top generals leading Russia's forces in Ukraine, after an attack on the eastern...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.