International Forum

News and Stories from rest of the World
Mabeberu yanalalamika kuwa mtu wa Putin ndio ameshinda kura za kuwa Prime minister nchini Italy. Binti mrembo aliyechaguliwa kuwa Prime minister anaitwa Giorgia Meloni. Hapo kabla, Uingereza...
6 Reactions
6 Replies
1K Views
Historia inaonesha kwamba Dola kubwa duniani zimewahi kusambaratika. Lakini katika zama zetu, Marekani ni Dola kubwa Ulimwenguni. Huwa najiuliza ikitokea nchi ya Marekani ikasambaratika...
7 Reactions
32 Replies
2K Views
Nimefuatilia kwa muda toka week ilipoanza wakati Rais wa Zambia Hakainde Hichilema alipokuwa akiwavika nishani makamanda wa jeshi la nchi yake. Wakati akikagua gwaride ndipo mvua ikaanza...
15 Reactions
37 Replies
3K Views
Putin yaionya UK kuhusu kutuma silaha zenye Uranium DU 38. Mizinga hiyo ina uwezo wa kupenya kwenye vifaru vyote kasoro vifaru vilivyotengenezwa kwa DU 38 armour. UK yajitetea kuwa silaha hizo...
13 Reactions
50 Replies
3K Views
Atakayemkabidhisha askari wa Ukraine aliyeivunjia heshima Qur'ani kuzawadiwa $168,000 Rais Madan Kadyrov, wa eneo la Russia linalojiendeshea mambo yake la Chechnya ametenga zawadi ya ruble...
17 Reactions
228 Replies
8K Views
Nasikitika kusema kuwa mimi nilikuwa mhathirika mkubwa wa Magharibi, yaain nilikuwa naweza kugombana na mtu au kutukana pale tu anapoigusa Marekani kiufupi nilikuwa shabiki kufa kufa wa Magharibi...
23 Reactions
78 Replies
3K Views
Vikwazo vya kiuchumi alivyowekewa Urusi, hakuna taifa ambalo lingeweza kuvistahimili kama ilivyoonyesha Urusi. Hata mataifa ya magharibi ikiweo Marekani yameachwa midomo wazi, hawakutegemea...
3 Reactions
10 Replies
860 Views
March 22, 2023 The International Criminal Court in The Hague (ICC) has recently issued an arrest warrant for Russian President Vladimir Putin. He stands accused of being responsible for, among...
0 Reactions
8 Replies
550 Views
Muswaada mpya uliopitishwa na bunge la Uganda na sasa kusubiria saini ya Rais wao M7 italeta mtafaruku mkubwa sana katika nchi hiyo maskini na tegemezi. Marekani kwa mwaka inaipa Uganda msaada wa...
5 Reactions
13 Replies
863 Views
Rais wa Taiwan Tsai Ing-wen kufanya ziara nchini Marekani huku China ikilaani kitendo hicho cha kuitaka kuitenga Beijing na kisiwa hicho chenye utawala wa ndani. Katika ziara hiyo Weng atasimama...
2 Reactions
7 Replies
862 Views
Urusi ilijaribu kila mbinu kupiga mabomu miundo mbinu ya kuzalisha na kusambaza umeme ili wananchi wa Ukraine wateseke, nawashangaa sana maustadhi wanaoshabikia ukatili wa Putin, amekua 'mungu'...
2 Reactions
7 Replies
943 Views
Hii iliyopo kwa sasa inadumu siku 21, ila kuna nyingine imeibuka yenye uwezo wa kudumu siku 49 --------------------------- Researchers claim they might have discovered a mutated coronavirus...
3 Reactions
33 Replies
4K Views
Baada ya Urusi kupigwa pini, imekua ikisafirisha mafuta kinyemela kwa kutumia meli za wavuvi, ndio kete iliyokua imesalia, zitasakwa zote..... Putin's oil plans In December 2022, The Financial...
1 Reactions
28 Replies
2K Views
Serikali imebainisha kuwa lengo la ongezeko hilo ni kurahisisha maisha kwa Wananchi ili wamudu gharama mbalimbali kutokana na mfumuko wa bei ambao umeongezeka kwa 92.3%. Inamaanisha kuwa bei...
0 Reactions
0 Replies
924 Views
Marais wote wawili wamekubaliana kwamba sheria za Umoja wa Mataifa (UN) lazima ziheshimiwe na kwamba vita vya Ukraine viishe kwa mazungumzo. Hapa Mchina atakua amemsaidia Putin apate pakutokea na...
1 Reactions
5 Replies
607 Views
Miaka 20 ilopita, Marekani na washirika wake akiwemo Uingereza waliivamia nchi ya Iraq baada ya kushindwa kulishawishi baraza la usalama la Umoja wa Mataifa. Marekani na Uingereza walishindwa...
14 Reactions
25 Replies
2K Views
Wizara ya Ulinzi ya Japani imesema Korea Kaskazini imerusha kile kinachoonekana kuwa ni kombora. Kikosi cha Ulinzi wa Pwani cha Japani kimeinukuu Wizara wa Ulinzi wa Japani ikisema kwamba kifaa...
3 Reactions
8 Replies
781 Views
Wazazi nchini Ufaransa wanaweza kupigwa marufuku ku-post picha za Watoto wao kwenye mitandao ya kijamii iwapo muswada mpya uliowasilishwa wiki hii utapitishwa kuwa sheria. Muswada huo utaipa...
2 Reactions
3 Replies
563 Views
ICC kazi kwao kumkamata, yupo Ukraine anavinjari mitaa ya mauripol === Rais wa Urusi Vladimir Putin na Rais pendwa duniani ama mwamba wa dunia jana amefanya ziara ya kushtukiza katika rasi ya...
6 Reactions
35 Replies
4K Views
Mahakama nchini #Chad imewahukumu ya kifungo cha maisha jela Wanachama 465 wa kundi la waasi la 'Front for Change and Concord in Chad' kutokana na Mauaji ya aliyekuwa Rais wa nchi hiyo Idriss Déby...
0 Reactions
1 Replies
731 Views
Back
Top Bottom