As local bills on gender, sexuality and diversity make their way through Florida’s state legislature, new legislation would ban any discussion of menstrual cycles in school before sixth grade...
Wafuasi wa Upinzani Afrika Kusini Waandamana kama Wafuasi wa Upinzani Kenya.
Rais Ramaphosa aonya dhidi ya uhalifu wa Mali.
---
Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa amewaambia raia wa nchini...
Hatua hiyo imetokana na mazungumzo yaliyofanyika #Mombasa kati ya Viongozi wa Kundi hilo na Rais Mstaafu wa Kenya, #UhuruKenyatta ambapo wameahidi kusitisha mapigano siku chache zijazo...
Na wataendelea kufagiwa na kufyekwa....
The Wagner Group is now resorting to hiring its fighters through recruitment hubs set up at sports centers across Russia, while representatives are...
Idadi ya waliofariki kutokana na Kimbunga #Freddy kilichodumu kwa takriban mwezi mmoja, imeongezeka hadi 522, kulingana na mamlaka nchini Malawi, Msumbiji na Madagascar.
Shirika la hali ya hewa...
Rais Vladimir Putin wa Urusi amezuru eneo la kusini la rasi ya Ukraine la Crimea, ambalo Urusi ililitwaa miaka tisa iliyopita
Shirika la habari la Urusi limeripoti kwamba Putin alitembelea...
Rais wa zamani wa mahakama ya kimataifa ya ICC amesema anao uhakika kabisa kuwa Rais wa Urusi Vladimir Putin atafikishwa mahakamani kujibu mashtaka yanayomkabili.
Dr Chile Eboe-Osuji ameongeza...
Kuna tetesi nyingi sana jamaa anapitia hali mbaya hata ameshindwa jambo muhimu sana la kuhutubia taifa ambayo ni desturi yake kila mwisho wa mwaka...
Vladimir Putin has pulled out of his "giant...
Undumakuwili wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC kuhusu jinai za kivita
Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC, ambayo inajiona kuwa mahakama ya kwanza ya kudumu ya kimataifa inayoshughulikia...
Ukweli ni kuwa Putin atatiwa kitanzi kama yule gaidi wa Iraq. Putin atawajibishwa na mahakama za nchi yake, ni muda tu.
Watu wa magharibi ni watu wa mipango na wanaishi kwenye mipango yao no...
Wiki iliyopita Benki ya Marekani Silicon Valley Bank ilipatwa na bank run(watu wengi kutaka kutoa pesa benki kwa pamoja) na kupelekea kufilisika. Tena benki ya pili, Silvergate, imepatwa na kitu...
The former British Medical Journal (BMJ) editor Richard Smith penned an opinion piece for the journal suggesting that health research has become so corrupted and untrustworthy that people should...
Papa anadai kuwa takwa la mapadri kutooa lilikuwa ni la muda tu(Takwa hilo lilianza karne ya 11). Anasema hakuna utata wowote iwapo watawa wataoa. Anadai mapadri wa kanisa la mashariki wanaoa na...
Polisi wameimarisha usalama kwenye majengo yote ya makanisa baada ya kupata taarifa kuhusu tishio la waislamu kupanga kuyalipua.....
Austrian police warned Wednesday of a possible...
Rais wa zamani wa Ufaransa ameitaja Ulaya kuwa bara lenye unyama mkubwa zaidi duniani, ambako vita vya kikatili zaidi hufanyika.
Nicolas Sarkozy, ambaye kwa sasa ni mjumbe wa Baraza la Katiba la...
Huu ni mwezi wa Matetemeko..
Nchini Ecuador watu 12 wamepoteza maisha baada kuangukiwa na vifurushi vya majengo kufuatia tetemo ukubwa wa 6.8 kwenye kipindi Cha ritcher kuipiga Nchi hiyo...
Ndege ya kivita ya Urusi ilijaribu kutumia anga ya Estonia kupokea mafuta angani, hiyo ni baada ya kusahau hako kataifa ka Estoni kako ndani ya NATO, ghafla ndege za Ujerumani na Uingereza...
Baada ya kutolewa kwa Hati ya kukamatwa kwa rais wa Urusi Vladimir Putin watu wengi wamekuwa na shahuku ya kujua hati hii itafanyaje kazi? Na je raisi huyu anawezaje kukamatwa huku akiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.