International Forum

News and Stories from rest of the World
Baada ya mazungumzo yaliyodumu kwa takriban miaka saba, Iran na Saudi Arabia hatimaye zimeamua kufufua uhusiano wao wa kidiplomasia, huku zikitangaza kwamba balozi zao kwenye nchi hizo pia...
6 Reactions
10 Replies
1K Views
Katika mahojiano yake maalum aliyoyafanya hivi karibuni huko Raisina,Waziri huyo mstaafu bwana Iva Korkok amesema,India ni mshirika wa karibu sana wa taifa hilo katika mahusiano ya kimataifa na...
0 Reactions
0 Replies
630 Views
Wananchi nchini Lebanon wameamka leo wakiwa na majira mawili ya nyakati yanayopingana, huku kukiwa na mzozo kati ya viongozi wa kisiasa na kidini kuhusu ni wakati gani saa zinapaswa kurudishwa ama...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
ICC ina wasiwasi na 'vitisho' vya Urusi juu ya kibali cha Putin Wasi wasi huo unakuja baada ya Rais wa zamani wa Urusi Dmitry Medvedev kutishia kuipiga mahakama ya uhalifu wa kivita kwa makombora...
6 Reactions
20 Replies
3K Views
Hii vita na huu mzozo wa Ukraine kwa ujumla ungeweza kuwa umemalizika, lakini kuna wakubwa wasiotamani kabisa vita hivyo vikome. Wanataka vita viendelee hadi pale wanayoyahitaji yatimie...
1 Reactions
48 Replies
4K Views
Siasa za chuki siku zote sio nzuri Na tujue kutofautisha kati ya uzalendo na uzamwamwa Moise Katumbi alipokea timu ya Taifa ya Congo ndani ya uwanja wa Mazembe na kuwapa matunzo yote Baada ya timu...
2 Reactions
7 Replies
579 Views
Breaking News Pope Francis has signed a decree to forbid Priests or bishops to bless Same Sex marriages in the Roman catholic church and he has directed all Bishops and priests everywhere in the...
22 Reactions
91 Replies
5K Views
Majaji wa mahakama ya kimataifa (ICC),imetoa hati ya kukamatwa popote atakapopatikana rais wa urusi Vladimir Putin. ===== Katika uamuzi wake, ICC imemtuhumu Rais wa Russia kuhusika na uhalifu wa...
56 Reactions
380 Replies
19K Views
Baada ya kilio cha muda mrefu na kutegeana kwa mataifa ya magharibi yanayoisaidia Ukraine kupambana na Urusi hatimae mataifa hayo yamekubali kuipelekea Ukraine ilichodai kwa muda mrefu navyo ni...
14 Reactions
33 Replies
4K Views
RUSSIA IMEONESHA AFRICA NDIYO MSINGI WA DUNIA KWA SASA Mafahali wawili wanaposhindana wanyonge hupita salama ndugu zangu utaona Rais Putin kwa sasa ameikumbatia sana Africa kama moja ya msingi...
5 Reactions
17 Replies
1K Views
Rais wa Urusi Vladimir Putin amesema amekubaliana na Rais wa Belarus Alexander Lukashenko kupelekea silaha za nyuklia za kimkakati nchini Belarus. Katika mahojiano na chombo cha habari cha Urusi...
4 Reactions
10 Replies
1K Views
Rais wa Uturuki, RecepTayyip Erdogan amefanya mazungumzo na Rais wa Urusi Vladmir Putin na kujadili namna ya kuboresha mahusiano kati ya mataifa yao Katika mazungumzo yao ya Jumamosi...
4 Reactions
2 Replies
523 Views
I will speak facts only. U.S.A Ndio nchi pekee duniani yenye teknolojia kubwa ya vita ukilinganisha na Nchi yoyote Duniani. Ndio Nchi yenye Navy force kubwa yenye teknolojia ya kisasa kuliko nchi...
14 Reactions
101 Replies
6K Views
Chama cha wachache cha upinzani cha Afrika Kusini, Economic Freedom Fighters (EFF), kimesema Rais wa Urusi Vladimir Putin anakaribishwa kuzuru Pretoria licha ya hati ya kukamatwa iliyotolewa na...
4 Reactions
11 Replies
1K Views
Rais wa Urusi Vladimir Putin atisia kupeleka silaha Belarusi. Rais wa Urusi Vladimir Putin amesema Jumamosi Machi 25 kwamba Moscow itapeleka silaha za 'mbinu' za nyuklia kwenye ardhi ya mshirika...
6 Reactions
5 Replies
1K Views
Kiongozi huyo wa Kanisa la Katoliki lenye Waumini zaidi ya Bilioni 1.3 alisaini Barua ya Kujiuzulu baada tu ya kuteuliwa kushika Wadhifa huo na inasubiri tu augue kiasi cha kushindwa kutekeleza...
3 Reactions
14 Replies
3K Views
Mataifa yote 127 yaliyotia mkataba na ICC yanatakiwa yamkamate pindi akitua nchini mwao, Putin amepanga kuitembelea Afrika Kusini mnamo Agosti, anasubiriwa akamatweeee..... waumini wa Putin povu...
3 Reactions
106 Replies
6K Views
Na Pili Mwinyi Kuanzia Machi 23 yaani siku ya Jumatano, Waislamu kote duniani wanaanza kufunga mwezi mtukufu wa Ramadhani. Katika kipindi hiki Waislamu huwa wanajiegemeza zaidi kwenye sala na...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Baada ya Warrant ya kumkamata Putin kutoka the Hague moja ya makosa ikiwa na kuwasafrisha pamoja na kuwatenganisha watoto wa Ukraine na wazazi hao hatimaye msemaji na Urusi Umoja wa Mataifa...
16 Reactions
170 Replies
6K Views
Kuungana kwaFelix Tshisekedi, Bemba, na vital kamhere ni pigo kubwa kwa Moise Katumbi. Japo mimi ni mwanachama wa chama cha ENSEMBLE pour la republique cha Moise Katumbi matumaini yamenitoka...
2 Reactions
7 Replies
944 Views
Back
Top Bottom