Urusi imepoteza zaidi ya wanajeshi 70,000 kwa kujaribu kufumua kamji kadogo ka Bakhmut, imeshambulia kwa nguvu zote na kutupa kila kitu, lakini wazalendo wa Ukraine walipambana kuhimili hayo...
Mohammad Ashan alikuwa kamanda wa Taliban ambaye alisakwa kwa ku-organize mashambulizi dhidi ya wanajeshi wa Marekani.
Kulikuwa na mabango mengi yaliyotangaza kwamba anatafutwa na maafisa wa...
Imran Khan adai anataka uawa
Wafuasi wake zaidi ya 61 wakamatwa
Nyumba yake yavamiwa, silaha zakutwa
Vyombo vya habari vimezuiwa kurusha habari za maandamano
Yuko Lahore Mahakamani
Embu tuwe wakweli tuache unafiki na tuangalie uhalisia...
Je leo Urusi au China angetaka kuweka makombora yake ya nyuklia pale Mexico au Cuba, Marekani angekaa kimya? Narudia tena tuwe wakweli...
Huyu bwana licha ya watu kumsema vibaya sana lakini kwangu na muita shujaa saana.
Mobutu pamoja na upumbavu wake alijua vizuri jinsi ya kulinda amani na umoja na nchi yake.
Mobutu alifanya miaka...
Taarifa kutoka Ikulu ya Kremlin nchini Russia, imeeleza kuwa Rais wa China Xi Jinping atasafiri hadi Moscow wiki ijayo kufanya mazungumzo na Rais wa nchi hiyo, Vladimir Putin, kuhusu ushirikiano...
Marubani wa ndege za Urusi ambazo zilifanya jitihada za kutambua ndege isiyo na rubani ya Marekani iliyokuwa ikifanya kazi ya upelelezi kwenye Bahari Nyeusi wameteuliwa na kupewa tuzo za heshima...
Inabidi Wakongo tukumbushwe kuwa Moise Katumbi sio Rais wa nchi.
Mambo ya kulalamika kuwa Moise Katumbi ndiyo sababu ya maisha kuwa magumu nchini eti anaongea na nchi jirani wasilete chakula...
Wanakwambie tembea ujionee sio kukaa hapa Tanzania ukiskia ukahaba umezidi buguruni na sokota unasema dunia imefika mwisho wakati wewe ndio umefika mwisho kwenye maeneo uliyosikia au kutizama...
Naomba ufafanuzi, Said ARABIA anatoa hela nyingi kununua mitambo ya kuangusha ndege na makombora kutoka USA, lakini kila uchwao anapata hasara ya kulipuliwa matenki makubwa ya mafuta, na patriot...
Chama cha Upinzani cha Economic Freedom Fighters (EFF) kinatarajia kufanya maandamano ya nchi nzima Machi 20, 2023 ili kupinga ukosefu wa umeme nchini humo na kimemtaka Rais Cyril Ramaphosa...
Mwandishi wa ABC News amewanakili maafisa wawili wa Pentagon wakisema kuiokoa droni yao iliyomwagiwa mafuta na hatimae kuanguka huko bahari nyeusi itakuwa shida kwani Urusi tayari imeshafika na...
Jeshi la Marekani limethibitisha ndege yao isiyo na ruban (Drone) imeangushwa kwa kugongwa na ndege vita ya Urusi katika Bahari Nyeusi ambako Jeshi la Marekan wanasema drone yao ilikuwa katika...
This is the latest GOOD NEWS about C-19!!Although bad news for those who are already vaccinated...........
After today's ruling in the American Supreme court, it is now no longer needed to be...
Imefikia hatua sasa Ukraine kupewa silaha za maana, hadi hapo visilaha walizokua wanapewa wamefaulu kuilemaza Urusi, sasa wataanza kupata madubwana ya kweli, na Urusi ilishasema atakayeisadia...
Uamuzi huo umetajwa kuwa ni kwa sababu za kiusalama, Serikali ikiamini kuwa taarifa za muhimu zinaweza kuchukuliwa na Serikali ya China
Mwakilishi wa Baraza la Mawaziri, Oliver Dowden amesema...
Idadi hiyo inajumuisha Vifo vilivyotokea tangu Kimbunga hicho kilipoingia Barani Afrika Februari 2023 ambapo watu 326 ni kutoka Malawi, 53 kutoka #Msumbiji na wengine 27 kutoka #Madagascar...
Baada ya wanajeshi na hata wafungwa wa Wagner kufyekwa kama nguruwe, Urusi iko katika hali mbovu sana, sasa kuanza kufuata wanafunzi na kuwalazimisha wajiunge kwenye usaili nao wakafie huko, hilo...
Katika Mikutano Miwili Mikubwa ya China iliyomalizika hivi karibuni, China, kwa mara nyingine, imesisitiza kuwa itahimiza ufunguaji mlango wa hali ya juu. Ikiwa ni nchi ya pili kwa ukubwa wa...
Mswada huo utamruhusu Rais wa #JoeBiden kupiga marufuku teknolojia zinazoonekana na Idara ya Biashara ya nchini humo kuweza kuleta "hatari isiyofaa au isiyokubalika" kwa usalama wa Taifa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.