International Forum

News and Stories from rest of the World
BBC Swahili wamepost muda huu kuwa Uturuki na Syria zimekumbwa tena na tetemeko muda huu Habari zaidi zinakuja. ==== Siku 14 tangu kutokea kwa Tetemeko la Ardhi lililoua zaidi ya Watu 47,000...
7 Reactions
83 Replies
5K Views
Kundi la viongozi wa kanisa la kianglikana kutoka sehemu mbalimbali duniani wamemkataa Askofu Mkuu wa Canterbury, Justin Welby, kuwa kiongozi wao baada ya Kanisa la Uingereza kuunga mkono maombi...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Hotuba ya Putin kwenye bunge la nchi hiyo imetowa tathmini kwa viongozi wa kisiasa na kijeshi kuhusu vita vya Ukraine lakini pia tathmini ya hali ilivyo kimataifa pamoja na kutowa mwelekeo wa hali...
4 Reactions
22 Replies
2K Views
Hivi karibuni China ilitoa Waraka Namba 1 kuhusu suala la kilimo, ikiagiza kwa mara ya kwanza kuharakisha ujenzi wa nchi yenye nguvu kubwa ya kilimo. Hatua hii ina umuhimu mkubwa wa kimataifa na...
0 Reactions
1 Replies
531 Views
Tumeona jinsi ambavyo DRC anahangaika na waasi kwenye eneo lake la mashariki. Je, sisi kama taifa tuna mikakati Gani ya kulinda maeneo yetu ya magharibi Kwa matukio kama haya? Au tunajiaminisha...
1 Reactions
3 Replies
573 Views
UPDATE, FEBRUARY 13: VIFO VYA #TURKEYEARTHQUAKE VYAFIKIA 36,257 Vikosi vinaendelea kuokoa walionusurika kwenye Vifusi vya majengo yaliyoangushwa na Matetemeko mawili ya ukubwa wa Richa 7.8 na 7.6...
23 Reactions
460 Replies
36K Views
Vyombo vya Habari vya #AfrikaKusini, vimeripoti kuwa Gavana wa Serikali ya #Gauteng, Panyaza Lesufi, alimwandikia Rais #Ramaphosa ombi la Msanii huyo kuzikwa kama Mtu mwenye mchango mkubwa kwa...
6 Reactions
47 Replies
5K Views
Hii ni kuonyesha kwamba, Mungu aneamua kuwaletea Waafrika, viongozi ambao wataliamsha bara hili. Na kuwafanya Waafrika wazitumie raslimali zao kwa manufaa ya nchi zao Msikilizeni Honorable...
9 Reactions
54 Replies
3K Views
February 17, 2023 The Greatest Hoax of all time ever carried out by the NWO Cabal Following is the transcript of a taped presentation by Serge Monast, a French-speaking Canadian journalist...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
New World Order is a pretty frightening theory, even if you choose not to believe in conspiracies. But it doesn’t come as a surprise that millions of people believe there is something going on...
1 Reactions
9 Replies
4K Views
Kando na kupoteza wanajeshi 135,000 Urusi pia imepoteza majenerali zaidi ya 20, supapawa ameingia aibu hadi basi tu na yupo bado anapambana kuteka kamji ka chumvi hukooooo. ======= More than 20...
11 Reactions
93 Replies
4K Views
Russia kwà maana ya Urusi ni dude kubwa duniani very powerful and influencial tunadanganywa sana na western media kwà kuidogosha Urusi. Hebu waangalie Wagner. Wanatoa kichapo Ukraine wanatoa...
23 Reactions
127 Replies
9K Views
Huku matarajio ya marekani na Korea ya kusini kuivamia Korea ya kaskazini, wamejibu kwa kurusha kombora kama kulipa kisasi cha njama za uvamizi huo.
2 Reactions
11 Replies
985 Views
Kudos Wadau. Tunaendelea na vituko vya Walokole. Mchungaji mmja aliyejulikana Kwa jina la Francisco Barajah wa huko Msumbiji amefariki akiwa kwenye mfungo wa siku 40 Akijaribu kuifikia rekodi ya...
6 Reactions
59 Replies
4K Views
Anacho Kifafanya rais felix kchikekedi ni kulitia aibu taifa letu Kila anapo kwenda ni kusema Rwanda ndo wanatuua kuliko yeye aje atuambie wakongo tujenge jeshi imara ili tupate kupigana na huyu...
1 Reactions
11 Replies
782 Views
Ufaransa kama ilivyo huruka ya nchi za kimagharibi alikuwa anajiona ndo Mungu na mmiliki wa nchi za Africa magharibi. Alikuwa ndo kila kitu ndani ya nchi hizo lakini sasa mambo yana muendea kombo...
37 Reactions
82 Replies
5K Views
Msemaji wa Ikulu ya #WhiteHouse John Kirby, amesema kundi hilo limepoteza Wapiganaji wake zaidi ya 9000 ndani ya wiki 1 huku likiendelea kuajiri wafungwa zaidi kutoka Magereza ya #Urusi wengi wao...
5 Reactions
61 Replies
4K Views
Hivi vita vinachekesha, yaani unavamia nchi ya watu halafu unalalamika kwamba usipigwe kwenye baadhi ya maeneo ya hiyo hiyo nchi ya watu.... ================= MOSCOW, Feb 17 (Reuters) - Russia...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Wayahudi walihama eneo la Palestina na likabaki kuwa na Wayahudi wachache. Wayahudi walianza kuhamia tena kwenye eneo hilo miaka ya 1900s likiwa chini ya utawala wa dola ya Ottoman na kwenda...
21 Reactions
107 Replies
13K Views
Benki Kuu ya Rwanda imeongeza kiwango cha riba kutoka asilimia 6.5 hadi asilimia 7 kutokana na mfumuko wa bei. Benki hiyo imesema kwamba kiwango cha mfumuko wa bei kilifikia asilimia 20.7 mwezi...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Back
Top Bottom