Nyumba 2 na Jahazi (Super Yacht) 1, mali za Teodoro Nguema Obiang zimewekwa chini ya Ulinzi kwa agizo la Mahakama baada ya Mfanyabiashara Daniel Janse Van Rensburg kudai Kiongozi huyo alimkamata...
Olesya Krivtsova (20) yupo kwenye uangalizi maalum akituhumiwa kuhusika kwa ugaidi baada ya kuweka maudhui katika ukurasa wake wa Instagram akiikosoa Serikali ya Urusi kwenye vita dhidi ya...
Wanawake waliokutwa hai ni Melike Imamoglu (42) na Cemile Kekec (74) wamwokolewa katika Mji wa Kahramanmaras wakati timu ya waokoaji ikiwa inasafisha maeneo yaliyoathirika, wengine waliookolewa...
Muungano wa Afrika (AU) umeionya Burundi dhidi ya hatua zinazoweza kuhujumu mchakato wa amani baada ya kutolewa waranti wa kimataifa kumkamata rais wa zamani Pierre Buyoya na maafisa wengine 16...
The slithering human filth of the US and the West has been laid bare:17,000 Dead (So Far) After Earthquakes smashes Turkey and Syria,but no aid to Syria so far because of sanctions.
09 FEBRUARY...
Moise Katumbi ameshauria Serikali ya Congo kuwa waachane na ile imani ambayo Ubelgiji walituachia kuwa uchumi wa nchi yetu utapatikana na dhahabu tu. Waangalie katika ukulima na uvuvi pia.
Yaani...
Urusi imekuwa ikishutumiwa kwa kupanga kutumia silaha kali aina ya thermobaric - zinazofahamika pia kama mabomu ya vacuum, mabomu ya cluster na kwamba huenda ikawa inajiandaa kwa mashambulio ya...
Habari!
Taifa ni watu na tunapozungumzia mchango wa taifa katika maendeleo ya Sayansi na Teknolojia tunamaanisha jitihada za watu katika taifa husika katika kulitekeleza hilo.
Katika historia...
Kuna muda najiuliza hivi huyu Rais Felix Tshisekedi anaelewa anachokifanya au ndo tuseme ni makusudi tu ya kutaka kugawa nchi
Chanzo cha vita Congo ni Wanyarwanda ambao wanajiita Wanyamulenge...
Siku hizi, tamthilia ya kichina “The Knockout” inayosimulia vita kati ya uovu na uadilifu imendelea kupata umaarufu mkubwa, na hadi sasa idadi ya watazamaji wa tamthilia hiyo katika China bara...
Moja ya mawaziri wanaoamliwa mambo ya wizara na makatibu wa Ikulu ni huyu mama kule jeshini walisema ni mpole sana huku zamani tuliambiwa Wizara ya Ulinzi inafaa wapole. Kule SADC nguvu ya Kabudi...
Rais wa Marekani, Joe Biden ametangaza kuuwawa kwa Kiongozi wa kikundi cha ISIL, Abu Ibrahim Al Qurayshi baada ya wanajeshi wa Special Force wa Marekani kushambulia eneo alilokuwepo.
Al Qurayshi...
Kwa mfano hapo ukraine wameshatumia zaidi ya dola bilion 100 ambayo ni zaidi ya trilion mia mbili kwa pesa ya kibongo.
Nijuavyo pesa haijawahi kutosha kwa mtu yeyote, ni kwa nini hizo pesa...
Taasisi ya Confucius katika Chuo Kikuu cha Pili cha Yaounde nchini Cameroon imefanya mkutano wa hadhara wa “Soma nchini China, changamsha maisha yako", na kumwalika Joseph Olivier Mendo’o, ambaye...
Jeshi la Marekani limeangusha chombo kinachosemekana ni chombo cha kijasusi karibu na anga lake kwenye jimbo la Alaska. Msemaji WA White House amesema mabaki ya chombo hicho yaliangukia kwenye...
Mashindao ya Olympics ni mashindano makubwa ya kimataifa na ya hadhi ya juu duniani yanayojumuisha mataifa mbalimbali kutoka mabara yote duniani lakini mataifa mengi zaidi yakiwa ni kutoka Ulaya...
Baada ya kuona wadau wanaanza kuleta habari za mwisho wa dunia na wengine kusema huenda kuna mabomu / silaha zinazosababisha haya majanga, naomba tujikumbushe kwamba Matetemeko kwa Uturuki sio...
Jeshi la Nigeria limejibu tuhuma hizo zilizotolewa na Chama tawala kuwa kuna mpango wa kuvuruga Uchaguzi wa Urais unatarajiwa kufanyika Februari 25, 2023
Chama cha APC kilidai kuna viongozi wa...
Waislamu ninyi hua mnanielewesha vizuri kabisa maswali yangu.
Naomba mnipe tofauti kati ya sunni na sh’ia na mnielezee nini kimesababisha tofauti hizo ziwepo na je hua kuna migongano baina ya...
President Joe Biden on Saturday congratulated fighter pilots for taking down a Chinese spy balloon off the east coast after it spent several days flying over the United States.
"They successfully...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.