Huku kwetu Rais anaweza kujikuta karibu kila waziri wake anakula ngumi kwa ubadhirifu kwenye wizara zao 😀😀.
Mwalimu Nyerere alikuwa sahihi kwa sehemu kuwapiga viboko ishirini na vinne,siku...
Huku serikali ikiendelea kuwanyonga raia wake ili imlinde 'mungu' wa dini yao, ila wananchi wamedhamiria lazima wafike mwisho wake.....hata wauawe mamilioni....wameandamana miji kadhaa kwa mpigo...
Nimekumbuka mwaka jana kuna kipindi Urusi baada ya kutoa kichapo heavy wanajeshi wa Ukraine wakajifungia kwenye kiwanda cha chuma (nimekisahau jina) wakitarajia wanajeshi wa Urusi wataingia ndani...
Tangu mwanamke auawe na mapolisi kisa kipande cha nywele kuchomoza nje ya hijab, raia wa Iran wameamua liwalo na liwe, wamechoshwa na uonevu wa kidini, wanaendelea kufa, itabidi labda serikali ya...
Ni ajabu sikujua ipo siku hawa watu watakuja kuanza kubadilika na kuacha uzombi wa kidini....
China and Iran have urged mutual neighbor Afghanistan to end restrictions on women's work and...
Moise Katumbi ni kiongozi mwenye nguvu sana sio nguvu ya kupigana nguvu ya akili
Mwaka 2015- 2017 Joseph kKbila aliona njia bora ya kumshinda Moise Katumbi ni kumpa kesi mbaya tu
Mwaka huu...
Alitangulia kufa mtalii wa Urusi wiki iliyopita, naye mbunge ameaga dunia baada ya kuruka kutoka ghorofa la tatu humo kwenye hotelini India, jameni Warusi waombewe maana wanakufa sana popote...
Taasisi ya #AmnestyInternational imesema zaidi ya Wanawake na Wasichana 66 walifanyiwa Vitendo vya Ukatili ikiwemo Kubakwa katika kijiji cha Kishishe na kuua Wanaume kadhaa Novemba 2022.
Kupitia...
Kauli za mataifa yanayounda umoja wa NATO kwa sasa zinatia huruma.Unaweza ukaona hilo katika matamshi ya kiongozi wa umoja huo General Jens Stoltenberg aliposema mataifa hayo yanakimbia na wakati...
Serikali inaendelea kuua wananchi kwa kile inadai kumpigania Mungu, ila maandamano yapo tu.
Yote hii ilianza baada ya mwanamke kuuawa kisa nywele zilichomoza kichwani dhidi ya sheria za...
Leo jumanne wananchi wa Iran wametikisa kote kote...
Protesters in Iran led a fresh bout of demonstrations on Tuesday to commemorate 2019 Bloody November protests over fuel prices — protests...
Huku idadi ya vifo ikifikia zaidi ya watu 35,000 katika tetemeko kubwa lililoikumba Uturuki na Syria wiki iliyopita Serikali ya Uturuki inatupiwa lawama kubwa kuchangia katika janga la kibinadamu...
Mkutano wa Februari 22-25 katika makazi ya majira ya joto ya Nandi Hills karibu na Bengaluru utakuwa tukio la kwanza kuu la urais wa G20 wa India.
New Delhi:
Wakuu wa fedha wa G20 na benki kuu...
Hivi karibuni serikali kuu ya China ilitoa waraka No. 1 wa mwaka huu kuhusu suala la kilimo. Huu ni mwaka wa 20 mfululizo, ambapo China imetoa waraka No.1 kuhusu kilimo, na jambo ambalo linaonesha...
Meeting in the Nandi Hills summer retreat near Bengaluru is the first major event of India's G20 presidency.
New Delhi:
G20 finance and central bank chiefs meet in India next week at the...
Rais wa Rwanda, Paul Kagame amepeleka shutuma hizo kwa Rais wa Jamhuri ya Demokrasia ya Congo (DRC), Félix Tshisekedi akidai anakiuka makubaliano kadhaa wanayoafikiana kuhusu mgogoro baina ya...
Wakuu watu hao wanahisiwa walikuwa katika mpango wa kumteka mtoto huyo mchanga. Kwa mujibu wa duru za habari kutokea katika hospitali hiyo watu hao wenye silaha walidai hawakuwa na nia ya kumteka...
Baada ya New Zealand sasa pia Mkuu wa Serikali ya Scotland amejiuzulu baada ya kushindwa,
Nicola Sturgeon ameenda!
WAZIRI MKUU WA SCOTLAND ATANGAZA KUJIUZULU
Nicola Sturgeon ambaye ni...
Inadaiwa watu hao wanaweza kuwa wamefariki baada ya kupata ajali katika Pwani ya Libya, Shirika la Umoja wa Mataifa la Uhamiaji (IOM) limeeleza ni watu saba pekee ndio waliofanikiwa kujiokoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.