Kwa sasa wanatumia diplomasia, ila kenge akisisitiza na kutokuskliza, basi itabidi kichapo tu....
Taifa lenye mizuka ya kidini na kigaidi gaidi haliwezi kuruhusiwa kumiliki nyuklia...
Kwa mujibu wa BBC
Kwa nini Leopard 2?
Kifaru cha Leopard ndicho chaguo bora kwa Ukraine, kwani ndicho kinachotumika sana na kimeenea zaidi kati ya nchi za Ulaya ambazo ni wanachama wa NATO...
Mlipuaji wa Bomu hilo lililojeruhi watu 157 amefanya tukio hilo akiwalenga askari Polisi ambao ndio wamekuwa wakisali kwa wingi katika Msikiti uliopo Peshawar katika eneo linalotumiwa na...
Maelfu ya Wananchi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wameshiriki katika maandamano ya amani dhidi ya kundi la waasi la M23 wanaopigana mashariki mwa nchi hiyo
Ni baada ya Kanisa Katoliki lenye...
Mzuka wanajamvi.
Naomba mwenye ufahamu,
Hivi vifaru vya leopard vina sifa gani special tofauti na vifaru vingine? Uwezo wake wa kushambulia bila shaka utakua mkubwa, lakini uwezo wake wa...
Mdhulumaji Mrusi anasakamwa kote kote....
=====
The European Court of Human Rights has ruled that complaints against Russia from Ukraine and the Netherlands should go to trial. They pertain to...
Takriban watu 32 wameuawa katika mlipuko uliotokea kwenye msikiti mmoja katika mji wa Peshawar nchini Pakistan.
Mlipuko huo ulitokea wakati msikiti huo ukiwa umejaa waumini na zaidi ya watu 150...
Entomological warfare has been going on for decades using insects as vectors.How are we as a country prepared for this very inhuman harsh reality.
Monday, January 30, 2023 by
Biological...
Waziri mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu anatarajiwa Kupeleka mswaada Bungeni ambao utawaruhusu raia wa Israel kumiliki bunduki ili Kujilinda.
Hayo yanajiri wakati kukiwa na majibizano ya...
Urusi iko desperate kwenye hii vita ya Ukraine. Kwa ukubwa wa Urusi na capabilities zake hii vita ilitakiwa iwe imekwisha kitambo. Putin hana huruma hata kwa raia zake wenyewe. Vijana...
Paul Kagame, rais wa Rwanda anayetunishiana misuli na Felix Tshisekedi wa Congo, wakitupiana maneno, ambayo yanaendelea kudhoofisha mahusiano ya majirani hao!
Kwa haya yanayoendelea kubainika...
Baada ya mwanajamvi Justine Marack kuendelea na kisa chake cha kusisimua nimeingia youtube na kupiga screen shots na video mbili na kushare na nyinyi. Napiga picha mazingira magumu mtu wetu...
Sio kwamba mimi ni shabiki saana wa Moise Katumbi au vipi lakini kwa macho yangu na akili yangu tu amini kwasasa Kongo wanahitaji mtu kama Moise Katumbi
Felix sio kwamba ni Rais mbaya hapana...
Nchi ya Mali na burka Faso wamefukuza mambassada pamoja na majeshi ya Ufaransa nchini mwao na kuwambia hawataki mausiano ya kideplomasia na nchi hiyo.
Hii ina sura gani kwa Afrika?
Na kwanini...
Mataifa mengine bana, fulu mzuka wa watu kujilipua mabomu na kumimina risasi, yaani gaidi limewehuka kuingia ubalozi na kuanza kuua watu.....
DUBAI, United Arab Emirates — A gunman stormed the...
Yalalamika vikali kwanini Ukraine inapewa madubwana ya kuipiga Urusi.
=========
Russia said on Thursday it saw the promised delivery of Western tanks to Ukraine as evidence of direct and growing...
Asilimia hiyo ni wastani wa wahitimu ambao wamepata alama nzuri zinazowawezesha kuendelea na masomo ya Chuo Kikuu.
Waziri wa Elimu wa Ethiopia, Berhanu Nega amedai matokeo hayo ni ya kushtua...
China ya leo ni matokeo ya mipango ya jana. Unafahamu ni kwanini rais Xi Jin Ping amepewa urais wa milele. Kama ufahamu kaa hapa ni rahisi mno.
Ila kama una mda zaidi twende mbele ili kufahamu ni...
Kumchukia katumbi Kongo ni sawa sawa na kuchukia maendeleo ya Kongo
Pamoja na kumchukia kumbukeni yeye ndo alifanya rais kabila kuondoka madarakani licha ya kuteseka saana
Pamoja na kumchukia...
Rwanda inaeneo la kilomita za eneo 26,000 na inawatu 13m. Burundi inaeneo la 27,000. na ina watu 12m. Jumla ya watu wa nchi hizi mbili ni 25m kwenye eneo la km za eneo 53,000.
Tanzania yenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.