In some extent,there is a hidden secret about who invent light bulb.Most of us aware about Thomas Edison.But did you think that Thomas Edison is the inventor of light bulb?
Probably,Thomas Edison...
Kila ifikapo Agosti Mosi, China huwa inafanya sherehe kubwa ya kuadhimisha siku ya kuasisiwa kwa Jeshi la Ukombozi wa Watu wa China (PLA), ambapo mwaka huu wa 2022 inatimia miaka 95.
Katika miaka...
Habari wakuu wa siasa.
Ni hivi Waziri Mkuu wa Zamani ambae alijiuzulu Madam Liz Truss amerejea kwenye ulingo wa siasa za Uingereza baada ya kupata upenyo kufuatia kushindwa Kwa sera za Uchumi wa...
Newsweek imetoa wito kwa jumuiya ya wanasayansi kukubali kwamba "ilikuwa na makosa" kuhusu Covid
Jumapili, Februari 05, 2023
Mwanafunzi wa mwaka wa saba katika shule ya matibabu huko Texas...
Haya ni mawe ambayo yanauwezo wa kuwasha umeme na hata generator. Yanapatikana nchini DRC na ndio sababu vita vya wenyewe kwa wenyewe haviishi.
Swali kwa wataalamu je ni kweli mawe yanaweza...
Wananchi wema walitonya uongozi kuhusu magaidi wa Al Shabaab yaliyokua yanajiandaa kwenda kulipukia watu, ghafla yakashushiwa mabomu na kuwahishwa mbele za haki.
=====================
A...
Tutafika lini walipo wenzetu.
Kwema wa kuu, Niko nimetulia kazini nafuatilia habari.Kwa wafuatiluaji wa habari za kimataifa watakumbuka siku si nyingi, Rais aliemaliza muda wake Donald Trump...
Marekani yaamuru hela yote ya Urusi iliyotaifishwa ipewe Ukraine.... supapawa afanye akitakacho, keshaguswa mpaka kule kule...
===================
Attorney General Merrick Garland said Friday...
Urusi imepokea kipigo kikali pale Ukraine na kupoteza wanajeshi zaidi ya 130,000 hadi imeanza kukusanya mateja mtaani na wafungwa kuipigania, licha ya yote hiyo imeanza kuchokoza kataifa kengine...
Waziri Mkuu wa zamani wa Israel Naftali Bennet alichapisha mahojiano kwa saa nyingi kwenye chaneli yake ya YouTube, ambapo alisimulia, pamoja na mambo mengine, mazungumzo yake na Putin mwanzoni...
I recently watched a Symposium hosted by Central European University, and the speaker was none other than the eminent and legendary Joseph Nye from Harvard Kennedy School of Government.
The topic...
Huyu Rais mimi mwenyewe nashindwa kumuelewa kabisa
Mwenyewe kwa kinywa chake alitamka kuwa hataki Jeshi la Rwanda lishirikiane na Jeshi la Afrika Mashariki kuisaidia Kongo.
Jana hapa anatamka...
Kukataa Moise Katumbi ni sawa na kukataa ukombozi wa nchi yetu
Mara nyingi nimekuwa nikisema hii nchi inahitaji kiongozi mwenye akili zaidi kuliko muongo muongo kama Felix
Mwaka 2019 Felix...
Kamanda wa zamani waasi nchini Jamhuri ya Demokrasia ya Congo, ambaye anakabiliwa na kesi katika mahakama ya kimataifa ya uhalifu wa kivita ICC huko Hague, amasema kuwa yuko tayari kufa badala ya...
Wakuu inakuaje? sasa twende kazi.
Siku mbili tatu hizi kumekuwa na hali ya sintofahamu kati ya serikali ya jamhuri ya kidemokrasia ya Congo na ile ya Rwanda, kila mmoja akimtupia lawama mwenzake...
Waziri mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu amesema Jumatano kwamba serikali yake haijaondoa uwezekano msaada wa kijeshi kwa Ukraine.
Awali, Israeli ilisisitiza kuwa itatoa msaada wa kibinadamu...
Iran yailaumu Israel kwa shambulio la ndege isiyo na rubani yaonya, kulipiza kisasi
Iran imeilaumu Israel kwa shambulio la ndege isiyo na rubani kwenye eneo la kijeshi katikati mwa mji wa Isfahan...
1 Februari 2023, 07:58
Wanajeshi wa Ukraine waliokuwa mstari wa mbele katika eneo la Donbas wameiambia BBC kwamba vikosi vya Urusi "vinajifunza kila siku na kubadilisha mkakati wao" huku...
Boris adai Putin alitishia kumuua
Jumatano, Februari 01, 2023
London. Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza, Boris Johnson ametoka hadharani akidai Rais wa Russia, Vladimir Putin alimtishia kumuua...
Greetings!
The United States has detected what it says is a Chinese surveillance balloon that has been hovering over the northwestern United States, the Pentagon said on Thursday, a discovery...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.