Hello 🤗
#UNAAMBIWA: Nchini Japan kulala ofisini kwa saa kadhaa baada ya kupiga kazi bado kumeendelea kutokuwa ni kosa la kufukuzwa kazi au Boss kuchukizwa.
Mfanyakazi anayelala ofisini kwa muda...
RANGGHAR ni jengo la orofa mbili ambalo hapo awali lilikuwa banda la michezo ya kifalme ambapo wafalme wa Ahom na watu wengine mashuhuri walikuwa watazamaji katika michezo kama vile mapigano ya...
Jeshi la ufaransa limekamata shehena ya kutisha ya silaha zilizokuwa zikielekea kwa waasi wa huthi nchini Yemen.
============================
French forces seize shipment of weapons headed from...
Maeneo kadhaa yanayohusika na masuala ya kijeshi, mafuta yameshambuliwa maeneo tofauti na ndege zisizo na rubani.
Mashambulizi hayo yametokea usiku wa kuamkia Jumapili, hakuna kifo kilichotokea...
Aisee wakuu dunia ya sasa imejaa vituko na ukichaa kila sehemu. Kule Japan kuna Mjapan fulani aitwaye Toko-San alitimiza ndoto yake ya muda mrefu ya kujibadilisha kuwa mbwa.
Alitumia dollar...
Leo jumatano Wizara ya Ulinzi ya Marekani inajiandaa kutangaza msaada mpya wa kijeshi Kwa Ukraine wenye thamani ya $ 2.2B.
Msaada huo Kwa mara ya kwanza utajumuisha makombora ya Masafa marefu ya...
Askari Polisi wamepewa ruhusa ya kuwakamata wote ambao watakataa kutekeleza sheria hiyo ambayo inazuia matumizi ya simu au uvaaji wa spika ndogo za muziki ‘headphone’ wakati wa kuvuka barabara...
Kiongozi huyo Mkuu wa Kanisa Katoliki Duniani ambaye yuko katika ziara inayomalizika Februari 3, 2023, amesema Ukatili wanaofanyiwa Wananchi kimevuka mpaka na ni lazima kikomeshwe.
Kauli hiyo...
Jenerali wa jeshi la anga la Marekani Bw. Mike Minihan ameliandikia ujumbe jeshi la Marekani kuwa tayari kwa ajili ya kupambana na China mwaka 2025.
Vyanzo vya habari:
Swali kutoka kwa...
Mahakama imemhukumu Edgar Alain Mebe Ngo'o kwa kosa la ubadhirifu takribani Dola Milioni 40 (Tsh. Bilioni 93) katika mkataba wa kununua vifaa vya kijeshi kutoka Brazil.
Mkewe, Bernadette, pia...
Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan amesema kuwa Ankara inaweza kukubali Finland kujiunga na Nato, lakini si Sweden.
Alikosoa hatua ya Uswidi kukataa kuwarejesha makumi ya watu wanaodaiwa...
Mkuu wa magaidi ya Islamic state aliyekua amejificha kwenye pango Somalia, ameuawa na makomando wa Marekani, pia washirika wake kumi wamewahishwa huko peponi.
Poleni wenzetu humu JF ambao hutetea...
Siku zote nimekua na sikiliza hotuba za rais wangu felix tshisekedi akisema kuwa M23 ni wanyarwanda ambao wako Kongo kupora mali ya Kongo
Na rais wa Rwanda ndo mfadhili mkuu wa kundi hili la M23...
Urusi imesema idadi ya vifo vya wanajeshi wake kufuatia shambulizi la Ukraine kwenye mkesha wa Mwaka Mpya katika eneo la Makiivka imepanda hadi 89.
Moscow imesema mapema leo kuwa miili zaidi...
Ni mwendo wa kuua tu,
Twenty-eight people have died in new attacks by suspected jihadists in Burkina Faso, including 15 who had been abducted at the weekend, the authorities said Tuesday...
Idadi ya waliouawa imeongezeka hadi watu 100 baada ya shambulio la bomu la kujitoa muhanga msikitini lililowalenga polisi katika mji wa Peshawar nchini Pakistan.
Msikiti huo uko ndani ya eneo...
Umoja wa Mataifa (UN) imetoa angalizo hilo katika ripoti yake kuhusu biashara haramu ya bidhaa za matibabu.
Biashara hiyo inaweza kusababisha dawa za kuua wadudu kutofanya kazi au maambukizi ya...
Katika hali iliyoonekana kama vile kuzidiwa na uzee au matatizo ya kusahau sahau Rais wa Cameron, mheshimiwa Paul Biya alijikuta akigeuka kichekesho wakati wa mkutano wa kimataifa wa US Africa...
Hii inaonyesha hali ilivyokua ngumu kwa Mtanzania aliyeuawa akimpigania Putin, yaani ni aidha usonge mbele ufe au unyofolewe sehemu nyeti...yaani mapum.bu
The merciless tactics of the Wagner...
Kwa minajili ya Wikipedia, active personell wa JWTZ ni 28,000 sasa ukizingatia wanajeshi wa Urusi wameuawa 127,000 hiyo ni mara nne ya JWTZ, au kama vipi hapo ina maana wamefyekwa idadi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.