Chama alichomo Trump, Republicans kimenyakua bunge la baraza la wawakilishi dhidi ya chama cha Democrats katika uchaguzi wa nusu muhula nchini Marekani.
Katika nafasi zote 435 mpaka sasa...
Wapendwa nachukua nafasi hii kutaja hadharani kuwa ni kipindi cha vita nchini Ukrain kuisha na mateso kwingineko yatokanayo na vita hiyo.
Mungu mwenyewe atawaua wote wanaohusika na kusababisha...
Wadadisi wa mambo Wanasema ni mwanzo mzuri🤔
...
https://www.express.co.uk/news/world/1717211/Ukraine-war-Russia-tank-weapons-Bonus-battlefield-combat-live
Mohamed Ould Abdelaziz amesema Maafisa wa Usalama wamemzuia alipokuwa Uwanja wa Ndege wa Nouakchott akijiandaa kupanda ndege ya Shirika la Ndege la Ufaransa, pia wakiishikilia pasipoti yake...
Tangu mapema mwaka 2020 wakati ugonjwa wa COVID-19 ulipolipuka na kushuhudia watu wengi wakiathirika duniani, juhudi mbalimbali zimekuwa zikichukuliwa ili kuhakikisha ugonjwa huu unadhibitiwa ama...
Mwaka mpya wa 2023 umekuwa mzuri na wa neema hapa nchini China kwani kuanzia tarehe 8 Januari milango yote ya China inafunguliwa na kuruhusu wageni na wenyeji kuingia na kutoka China, hii ikiwa ni...
Familia ya Mwathirika ambaye ni Kiziwi iliridhia ndoa baada ya kusuluhishwa nje ya Mahakama na Baraza la Wazee dhidi ya Mbakaji Dawlat Khan aliyekuwa anatumikia kifungo cha Maisha.
Uamuzi huo...
Huu ndiyo ukweli ambao US, NATO na washirika wao hawataki kuusikia.
Kabla ya Victory Day mwaka huu Russia atakua ameshamaliza mchezi nchini Ukraine.
Safari hii Putin hataki mchezo kabisa, muda...
Taraneh Alidoosti (38) alishikiliwa mwezi mmoja uliopita kutokana na kuungana na wanaopinga uwepo wa Sheria ya kuwataka Wanawake kutembea wakiwa na mavazi yaliyofunika vichwa vyao.
Ameachiwa kwa...
Ni kosa lilifanyika nadhani ni kwa sababu hawa sio askari tegemezi wa Russia. Askari hawezi kutumia simu za kawaida sehemu yoyote iwe kambini au uwanja wa vita.
Already obvious that the main...
Huu hapa utafiti wa kina na uchunguzi wa kina uliofanyika kuthibitisha kuwa warusi ni waongo wakipigwa na kimbari wanatoa Data za Ndoige.
Habari kamili.
Mashambulizi ya Makiivka: Je ndiyo...
MAJI sasa HAYA NYWEKI
tunasema samaki katema Ndoano.
Beki hazikabi tena.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi Sergei Lavrov amefanya mahojiano na kituo cha televisheni cha serikali Rossiya 1...
Wakiwa kwenye mafunzo ya ulengaji shabaha, kwa ambavyo wamechanganyikiwa walianza kupigana risasi wenyewe kwa wenyewe.
===≈=
At least 11 Russian soldiers were killed Saturday in a shooting...
Nilikuwa napita mitandaoni kuangalia wale insurgents wa huko Msumbiji. Inaonekana wale jamaa walianza kama wafuasi wa mhubiri mwenye mrengo mkali wa Mombasa Aboud Rogo. Baada ya Rogo kuuawa mwaka...
Mtazamo mpya wa NATO ni kwamba, ili amani irejee katika huu mzozo, ni lazima Putin akatishwe tamaa kabisa kwamba hataweza kuidhibiti Ukraine kabisa, kwa kumuongezea Ukraine msaada zaidi wa silaha...
Baada ya wanajeshi 63 wa Urusi kufariki kwenye shambulio la Ukrain, Urusi wamejibu mapigo kwa kutekeleza shambulio lililo uwa wanajeshi 200 wa Ukraine na kuharibu vibaya makombora ya HIMARS.
NB...
Wizara ya Ulinzi ya Urusi imesema kwamba wanajeshi wake 63 wameuawa katika shambulio lililofanywa na Ukraine. Shambulio hilo ambalo linatajwa kufanywa na Ukraine kwa mfumo wa Makombora wa HIMARS...
Wizara ya Madini na Maendeleo imesema mauzo yote ya Madini ya Lithiam nje ya Nchi yamesitishwa baada ya Uchunguzi kuonesha kuna upotevu wa Tsh. Trilioni 4.2 kila mwaka kutokana na kuuzwa kama...
Uamuzi huo umechukuliwa na Serikali ikiwa ni katika harakati za kushawishi kupunguza idadi ya watu katika Mji huo Mkuu.
Tokyo na maeneo ya jirani ya Kanagawa, Sai-tama na Chiba yanatajwa kuwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.