Another DR Congo fighter jet violates Rwandan airspace
Story by Germain Nsanzimana • Wednesday
Another Sukhoi-25 fighter jet from DR Congo violated Rwandan airspace along Lake Kivu in the Western...
Kuwa na madeni ya mikopo ni jambo la kawaida sana kwa maendeleo ya mwananchi au taifa lo lote hapa duniani. Msikilize hapa seneta wa USA anavyoelezea ukubwa wa deni la mikopo ya taifa hilo kubwa...
Baada ya kuonyesha mafanikio makubwa katika kumtwanga SHETANI Putin , mataifa mbalimbali wemeanza kuweka order
HIMARS rockets have been a 'game changer' in Ukraine, and the US Army is now looking...
Pope Benedict XVI has passed away at age 95.
He held the apostolic see from 2005 to 2013, when he unexpectedly announced his decision to abdicate.
In recent years, he lived in a small monastery...
Hii tunaweza kuihamisha baadaye (Angalieni magari mnayotumia Dar):
Police smash alleged luxury car theft ring
Mar 17 2008
By Jeanette Oldham
POLICE have smashed a suspected £1.5 million...
Waziri wa Afya ya Umma na Kudhibiti UKIMWI, Sylvie Nzeyimana ametangaza kuwepo kwa mlipuko wa ugonjwa wa Kipindupindu katika mji mkuu wa Bujumbura.
"Washukiwa tisa wa ugonjwa wa Kipindupindu...
Paavel Antov tajiri katika baishara ya Sausage amekufa kifo cha utata akiwa nchini India, inasemekana kifo chake kilitanguliwa na kifo cha rafiki yake. Chakushangaza ni kuwa wote wawili miili yao...
Idadi ya waliofariki katika mafuriko makubwa yaliyoharibu sehemu kubwa ya ardhi ya Ufilipino mwishoni mwa juma la Krismasi imepanda hadi 51, huku wengine 19 wakitoweka, shirika la kitaifa la...
Hawa Wacongo wangejitambua enzi za Lumumba wakifanikiwa sana wameamua kutumia nguvu ya umma kuungana na kuandamana kuutangazia ulimwengu kwamba wanaibiwa madini yao mwizi wanamfahamu ,na bahati...
Most of us, including me, consider "police" to be a self-contained word. However, POLICE is actually an acronym, and each letter stands for something distinct from the term's overall meaning. Even...
Kweli vichwa zaidi ya 27 vimeshindwa kutambua umuhimu wa urusi kujilinda na kuamua kuungana dhidi yake?
yaani walitaka akaushe tu,anaona mnamsogelea mnasogeza na nuclear mpakani kwake awaangalie...
When HIV overwhelmed the planet, UN established agency called UNAIDS to control it.
Now that C-19 devastates the globe, can UN form an agency named UNCOVID to combat C-19?
The world waiting to...
Wa miaka mingi Kagame amekuwa kiungo muhimu cha kuhakikisha maslahi ya mabeberu mashariki mwa DRC.
Zaidi ya nusu ya suppy ya madini muhimu yanayotumika kwenye technolia mbalimbali za kisasa kama...
Russia
Russia's Foreign minister Sergey Lavrov on Wednesday warned the United States against its alleged attempts of trying to remove the Russian head of state Vladimir Putin by using its...
Hamna kizuri uja kwenye kupoteza biashara, hata ujipige kifua mara ngapi, ukipoteza mteja hata mmoja ni hasara sana. Bara Uropa lote linakimbia gesi ya Mrusi.
Like many countries in Europe...
Ndio kutokana na matendo yao ya kikatili kwa raia wa Ukraine sitachelea kuliita kundi la Kigaidi.
Hawa Wagner wanapigana Ukraine kwa Kivuli cha nchi ya Russia, hawa ndio walimsukumiza yule...
Kwa mujibu wa Nyaraka za Mahakama ya Broadhurst, Khama anakabiliwa na Mashtaka 14 ikiwemo kumiliki Silaha kinyume cha Sheria, Kupokea Mali za Wizi na Utakatishaji Fedha makosa anayodaiwa kutenda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.