Kipindupindu kimeua watu 620 nchini Malawi tangu kuanza kwa mlipuko huo mapema mwaka 2021, Waziri wa Afya Khumbize Chiponda ametangaza.
Hadi kufikia Januari 2, 2023, visa 18,222 vya ugonjwa wa...
Vita vinaendelea, milipuko na milio ya risasi zinarindima ndani ya hoteli moja kubwa Somalia, wameamua kujitoa mhanga kwa sababu zao wenyewe....
Al-Shabab gunmen have taken control of a hotel in...
Baada ya shambulizi la risasi na mabomu lililoua Watu 21 na kujeruhi 117 katika hoteli Nchini Somalia, Rais wa taifa hilo, Hassan Sheikh Mohamud ameahidi vita kali ya kutokomeza aliouita ugaidi wa...
Al Shabaab) waanza kupigana wao kwa wao hii ni baada ya tofauti kuibuka kati yao, kuna baadhi ambao walitaka kujisalimisha kwa serikali, ila wengine wakagoma na kuapa kuendelea kumpigania "mungu"...
1. Patrick Karegeya: Kazaliwa Uganda kakulia Uganda, kasoma digrii Makerere, kaingia Jeshini Uganda hadi cheo cha Luteni. Mpaka hapo ungemuuliza uraia si angedai yeye Mganda halisi kabisa huyu...
Bombay High Court issues first notice to Bill Gates over plea on Vaccine death
The Bombay High Court issued notices to Bill Gates, the Serum Institute of India (SII), the Drug Controller of India...
Sri Lanka imetangaza uchaguzi wake wa kwanza nchini kote tangu rais wake kutoroka na kujiuzulu kutokana na maandamano yaliyoenea, na kuvuruga Nchini ..
kura za serikali za mitaa zitafanyika kabla...
Wakati anatangaza nia na hatimaye kuteuliwa na kushida kuwa rais wa Marekani Trump alijipambanua kuwa ni mfanya bishara makini aliyekuwa anatengeneza faida kubwa kutoka kwenye biashara zake.
Ili...
Tukio hilo limehusisha Mwanajeshi wa Uganda walio Mogadishu chini ya Kikosi cha Mpito cha Umoja wa Afrika ambapo tukio ufyatuaji risasi ulitokea makao makuu ya kikosi cha jeshi la Uganda...
Mitandao ya Warusi hakukaliki, bloggers wanatukana serikali hadi balaa, yaani jana wanajeshi 400 wameuawa kwa HIMARS, halafu drones 39 za Iran zilizotumwa kwa mkupuo kupiga uraiani zote...
COVID19: Baada ya China kuondoa ghafla vikwazo vya Udhibiti wa Virusi hivyo, Ghana na Morocco zimekuwa Nchi za kwanza Afrika kuweka vikwazo vya usafiri kwa abiria kutoka nchini humo kutokana na...
Museveni to enemies of Uganda: Once we mobilise, you can’t survive
President Museveni has hit out at specific people who have an intention of destabilising Uganda, maintaining that the country...
3 Jan, 2023 12:15
US-made HIMARS destroyed in new strikes – Moscow
More than 200 Ukrainian troops and foreign ‘mercenaries’ were killed, Russia’s Defense Ministry says
Russian forces have...
Vikwazo vimeanza kukaza balaa, Warusi watazidi kupokea haya mapigo kisa kumuachia mtu mmoja aiharibu mother Russia.....
The value of the ruble tumbled sharply against the U.S. dollar Wednesday on...
1. Eminem
Eminem has often included Illuminati imagery into his album covers. He supplied himself as a satan for his single "Berzerk" and he included one eye on his cowl of Relapse.
2. Jay-Z...
Katika hali inayoonesha vita vinaelekea kubaya zaidi Urusi imeitaka Ukraine kuzingatia maonyo yake haraka kabla awamu ijayo ya mashambulizi haijaanza. Onyo hilo limetolewa na waziri wa mambo ya...
Tukio limetokea Mji wa Ciudad Juarez baada ya watu wenye silaha kuvamia gereza wakiwa katika magari tofauti saa moja asubuhi na kuanza kushambulia. Waliofariki ni askari magereza 10 na wafungwa...
Rais wa Venezuela Nicholas Maduro amesema yupo tayari kurejesha uhusiano Kati ya nchi yake Venezuela pamoja na Marekani Licha ya kuwepo kwa vikwazo vya kiuchumi ambavyo vimewekwa na Marekani.
The...
Wabunge wawili wa upinzani nchini humo wamehukumiwa kifungo cha Miezi 6 jela kwa kumpiga teke tumboni Mbunge #AmyNdiaye aliyekuwa mjamzito wakati wa mjadala wa bajeti, baada ya kumkosoa Kiongozi...
Katika mkesha wa sikukuu ya mwaka mpya, rais Xi Jinping wa China alitoa salamu za mwaka mpya wa 2023, akibainisha kuwa, China ya leo ni nchi yenye uhusiano wa karibu na dunia, na inachangia busara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.