Kwa mara ya kwanza duniani, wanasayansi wa Marekani katika Maabara ya Lawrence Livermore katika jimbo la California kupitia process ya nuclear fusion wameweza kuzalisha nishati kubwa zaidi kwa...
Hukumu hiyo imetolewa na Mahakama ya Sharia, Jimbo la Kano baada ya Abduljabar Nasir Kabara kukutwa na hatia ya kumkufuru Mtume Muhammad na uchochezi kupitia baadhi ya mahubiri yake, ingawa...
Katika tukio lisilo la kawaida, Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir mwenye miaka 71 ameonekana akitokwa na haja ndogo wakati wa hafla ya Kitaifa na wimbo wa Taifa ukipigwa. Kitendo hicho kinaibua...
Shirikisho la Soka Ulimwenguni (FIFA) linadaiwa kuwa limekataa ombi la Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky kutaka kuhutubia kabla ya mchezo wa Fainali ya Kombe la Dunia kati ya Argentina na...
Nimefika hapa Qatar toka tarehe 11.12.2022 kwa ajili ya kushuhudia mechi ya France vs Morocco ila jambo moja nimeshuhudia hawa wenyeji washenzi wa tabia. Vijana toka Afrika wanadhalilishwa na...
Chama tawala nchini Afrika Kusini cha African National Congress kimewateua wajumbe wawili kugombea nafasi ya uongozi wa chama hicho. Mshindi wa kinyangànyiro hicho atagombea urais katika uchaguzi...
Rais wa Sudan Kusini: Tumeshafikia makubaliano na Machar ya kuunda serikali ya umoja
Rais Salva Kiir wa Sudan Kusini amesema, yeye na aliyekuwa kiongozi mkuu wa waasi Riek Machar leo wamefikia...
Mwanamke huyo mwenye umri wa miaka 20 amehukumiwa kifungo cha miezi sita baada ya kukubali kosa, awali alihukumiwa kifo kwa kupigwa mawe, lakini baada ya malalamiko ya wanaharakati na taasisi...
Naona taarifa mbili zinarushwa kwa kurudiwa rudiwa sana na Al jazeera
Moja ni Rais Biden akikutana na Viongozi wa Afrika
Mbili, Rais Biden akisaini Sheria ya kuruhusu Ndoa za Jinsia Moja...
Twitter yasitisha akaunti za waandishi wa habari wanaoandika habari za Musk
Twitter ilisimamisha akaunti Alhamisi ya zaidi ya wanahabari nusu dazeni waliokuwa wakiandika kuhusu kampuni hiyo na...
Kwa kweli hi hali inatisha na inashangaza sana sijui hi Dunia itakuwaje kwa vizazi vya kesho
Maana Sasa tutashuhudia nyimbo na movie nyingi zikihamasisha haya mambo
(CNN)President Joe Biden...
Mobior Garang mtoto wa rais wa kwanza wa Sudan Kusini, alikuwa waziri wa maji na alifanikiwa sana kuhakikisha kila mahali nchini kwake Kuna maji.
Hapa bongo kwa muonekano wa huyu mshikaji hata...
As for me I have this kind of a passion of going to a celebrity previous interview and do my analysis on how the celebrity is growing or maybe falling. I want to hear from you guys lets share...
Bunge la Afrika Kusini limepiga kura kumlinda Rais Ramaphosa kuondolewa madarakani.
Chama tawala ANC kimemkingia kifua huku wabunge wanne tu kutoka chama hicho waliounga mkono hatua ya...
Tofauti na "Ngozi nyeusi" wengi tunavyoamini au kuaminishwa, Hakuna mataifa yenye waarabu yalioyo barani africa hupenda kutambuliwa kama waafrika.
Haya mataifa hutumia uafrika tu pale kwenye...
Watoto kadhaa nchini Misri wanaripotiwa kufariki baada ya kupewa kimakosa antibiotics bandia.
Katika kisa kimoja mtoto wa umri wa miaka miwili aliyekuwa na joto kali alifariki baada ya madaktari...
Barua ya Dkt. VG Somani, Mdhibiti Mkuu wa Dawa iliyotumwa kwa Mkurugenzi Shirika la Afya (WHO) anayesimamia Udhibiti na Sifa za Dawa imesema dawa hizo zilizingatia Viwango vyote vya Usalama.
Dawa...
Donetsk kumewaka moto, Warusi wapoteana....viongozi wa Urusi wanasema hawajashuhudia aina hii ya mashambulizi kwa miaka mingi.
MOSCOW, Dec 15 (Reuters) - Ukrainian forces shelled the...
#AFG Taliban wamemshikilia na kumtesa mwandishi wa habari wa eneo hilo, Zabiullah Noori ambaye anafanya kazi katika Radio Takharestan katika jimbo la Takhar, Kaskazini-mashariki mwa Afghanistan...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.