Naibu waziri mkuu wa Zamani wa Urusi, Dmitry Rogozin ajeruhiwa baada ya Makombora ya HIMARS kupiga Hotel moja mji wa Donetsk na kusababisha vifo vya makamanda wengine 2 wa kijeshi wa Urusi. Katika...
In a sudden turn of events,the snake spits it's vernom:WHO declares war on unvaccinated people, likens them to murderers by calling them “a major killing force globally.” So what is next,is force...
Ukraine wametoa taarifa walivyotumia kombora aina ya Neptune kuipiga meli kubwa ya kivita ya Urusi, yaani kombora moja tu, limeli lote chali, gharama yote hiyo, hasara yote hiyo, Mrusi bado...
Hali imekua tete kwa makundi ya kigaidi ya waislamu, Iran iliyokua ikiwafadhili imeishia na haitumi hela tena....
Na maandamano Iran bado yako pale pale ili kupinga dhuluma zinazofanywa na...
Sasa sijui wanalia nini, kwani rais wa Ukarine hana uhuru wa kufanya ziara ya nchi nyingine aitakayo???
Subirini mfumo wa Patriot usimikwe vizuri ili show iendelee...
The Kremlin said that...
Yaani masaa machache baada ya Putin kusheherekea kumbukumbu ya kuzaliwa kwake (birthday), wazalendo wa Ukraine wakamtumia salamu kwa kulipua daraja ambalo lipo moyoni mwake, alilotumia hela ndefu...
Jenerali wa Kiukraine na kiongozi mzoefu, ambaye yuko kwenye mstari wa mbele wa mapigano. Amekili wazi katika mahojiano na chombo cha habari na kusema Urusi siyo mjinga, pia siyo mdhaifu...
Iran imemnyonga Majidreza Rahnavard ambaye ni Mtuhumiwa mwingine aliyetiwa hatiani kutokana na vurugu kwenye maandamano yanayopinga utawala wa Kiislamu Iran.
Amekutwa pia na kosa la kutangaza...
Akizungumza kwenye Mkutano na Rais Joe Biden wa Marekani na Marais takriban 50 wa Afrika, Rais Nana Akufo-Addo amesema Afrika lazima iache kutegemea nchi za Magharibi ili kubadili mitazamo duni...
Asubuhi ya leo Jimbo la Urusi la Siberia ambalo ndilo lenye utajiri mkubwa wa Mafuta limekumbwa na milipuko 2 katika viwanda 2 vya kusafisha Mafuta.
Milipuko hiyo imesambaratisha kabisa...
Dimitri Zakarchenko,Mkuu msaidizi wa Kitengo cha Kudhibiti Rushwa wizara ya mambo ya ndani ya Urusi akutwa na ameficha rundo la noti ikiwemo dola za kimarekani milioni 120($120),Pound milioni 2(€...
Mkutano wa pili wa wakuu wa Marekani na nchi za Afrika umekamilika hivi karibuni mjini Washington. Vyombo vya habari vya kimataifa vinaona baada ya miaka minane, Marekani inatupia macho yake tena...
Makombora hayo yalitua baharini nje ya eneo la kipekee la kiuchumi la Tokyo, maafisa wanasema
Korea Kaskazini ilirusha makombora mawili ya balestiki katika Bahari ya Japan siku ya Jumapili...
[emoji1078]
«...Waliamuwa kumpa Moïse Katumbi paspoti ya kidiplomasia kwa malengo ya kupingana na Rais Kabila kwa kiburi na jeuri."
Hivyo, hawana haki tena ya kudai kwamba Katumbi ni Muyahudi...
Kauli ya Rais huyo Mstaafu inafuatia uamuzi wa Baraza la Wawakilishi linalochunguza vurugu zilizotokea kwenye majengo ya Capitol Hill kuwataka Waendesha Mashitaka wa Serikali kumfungulia kesi...
Serikali ya Iran inaendelea kunyonga watu mbali mbali ambao wanahusika kwenye maandamano dhidi ya dhuluma za dini ya kiislamu, mmojawapo wa walio kwenye hatari ya kunyongwa ni mwanasoka hodari...
Hii article nimeitoa BBC its a good read; inaonyesha nyufa za kitamaduni na pamoja watu kuingiza Siasa katika Nyanja tofauti..., its rings true na uzi nilioanzisha wa Let's not Kill the Beautiful...
The Russian Strategic Missile Forces loaded two Yars intercontinental ballistic missiles (ICBM) into their intended silos this week, the Defense Ministry reported. The Russian military released...
Ninathibitisha kugombea kwangu kwenye urais kwaajili ya kuijenga nchi kamilifu ya haki.
Nitamaliza mauaji ya Wakongomani na kuifanya nchi iwe ya amani. Mimi ni mwanaume wa vitendo...», Moïse...
Hawa wagomvi kwenye hii dini sijawahi kuelewa nani hupigana na nani maana wote humpigania na kumtetea "mungu" mmoja....
Kuanzaia Somalia hadi Afghanistan, ni mabomu ya kujilipua kisa wanamtetea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.