Troops from China and India fought on their disputed border Dec. 9, leading to minor injuries on both sides, New Delhi said, in the most serious such incident since 2020.
Samahani kwa msiojua...
Aliyekuwa Rais wa China bwana Jiang Zemin amefariki dunia leo alfajiri mjini Shanghai China akiwa na umri wa miaka 96.
Taarifa kutoka vyombo vya utawala vya China [ kamati kuu ya Chama cha...
Ubelgiji imeitolea wito nchi ya Rwanda "kusitisha msaada wowote" kwa waasi wa M23 wanaoendelea na mapigano katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, baada ya uchunguzi wa Umoja wa Mataifa kubaini...
WAR IN UKRAINE
Pentagon gives Ukraine green light for drone strikes inside Russia
https://www.thetimes.co.uk/article/ukraine-drone-warfare-russia-732jsshpx
Disemba 12, China ilirusha kwa mafanikio satelaiti mbili za majaribio, Shiyan-20A na Shiyan-20B, kwa kutumia roketi ya LongMarch 4C kutoka kwenye kituo cha kurushia satelaiti cha Jiuquan...
Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) unalenga kutambulika kama moja ya Nchi zenye Ubunifu wa Hali ya Juu zaidi duniani, na hilo kimekuwa likidhihirishwa kupitia Majengo yake ya kuvutia
Hoteli ya...
Baadhi ya wabunge wa bunge la Ulaya wamekamatwa kwa tuhuma za rushwa waliyo lipwa na Qatar kwa sababu ambazo hazijajulikana. Huko ndiko CHADEMA huwa wanaenda kutuchafua wakati wao nao kumbe ni...
Rais wa Urusi Vladimir Putin amesema tishio la vita vya nyuklia lilikuwa linaongezeka, lakini akasisitiza kuwa Urusi "haina wazimu" na haitatumia silaha zake za nyuklia kwanza.
Maafisa wa nchi za...
Watu kadhaa wamekamatwa nchini Ujerumani katika jaribio la mapinduzi. Zaidi ya polisi 3000 wamesambazwa kwenye miji mbalimbali ya nchi hiyo tokea Berlin mpaka Hamburg.
Mpaka sasa jumla ya...
Khalid al-Misslam, Mwandishi wa picha aliyekuwa akifanya kazi na Kituo cha runinga cha Al Kass, amefariki jana huku sababu za kifo chake zikiwa hazifahamiki hadi sasa
Khalid ni Mwanahabari wa...
Bilionea rafiki wa Putin: Ni wakati wa kuwaonyesha Magharibi nguvu za kijeshi za Urusi
Mmoja wa watu wenye ushawishi mkubwa wanaounga mkono uamuzi Vladimir Putin wakuivamia Ukraine mwenye jumri...
Supapawa baada ya kuishiwa wanajeshi, imekua ikitumia wafungwa kupigana kwa niaba yake, sasa Mzambia aliyeuawa kwenye hayo mapambano, mwili wake utaletwa nyumbani....takbir
The body of a Zambian...
Asilimia kubwa ya wanajeshi wote wanaficha nyuso zao. Wa Ukraine wanavaa mask vilevile wa Urusi.
Sababu kubwa ni nini wakuu.
Tumezoea kuona vita vingi mbalimbali watu walikuwa wanaenda wanakodoa...
Kwa mujibu wa Hati ya Mashtaka, Jimmy Lai, ambaye alikamatwa kwenye maandamano ya kushinikiza Serikali ifuate Utawala wa Demokrasi mwaka 2019 pia alipigwa faini ya Tsh. Milioni 599.7
Mahakama...
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky ameahidi kuchukua tena udhibiti katika maeneo zaidi ya ukanda wa Donbas kutoka kwa vikosi vya Urusi.
Zelensky amesema haya baada vikosi vya nchi yake kutangaza...
Hela ya Iran, Rial, haijawahi kuanguka kiasi hiki, huku maandamo yakiendelea ya kupinga mauaji yanayofanywa na maaskari wa serikali wanaomlinda "mungu" wa waislamu...
Iran’s currency fell to a...
Waziri Mkuu wa Uingereza, Liz Truss ametangaza kujiuzulu nafasi yake
Liz Truss alichukua madaraka kutoka kwa Boris Johnson tarehe 05/09/2022
Liz Truss amechukua hatua hiyo baada ya baadhi ya...
Miili hiyo inayoaminika kuwa ni ya Wahamiaji wenye umri kati ya miaka 20 hadi 38 kutoka Ethiopia imekutwa kando ya barabara ya Ngwerere, Kaskazini mwa Mji Mkuu wa Lusaka.
Inaaminika walifariki...
Tukio hilo limetokea baada ya mtuhumiwa kuingia katika mgahawa huo na kuanza kuzungumza kwa sauti “Nitawaua wote humu”, muda mfupi baadaye alianza kufyatua risasi ambazo pia zimejeruhi watu...
Mwanamuziki huyo ameongeza ya mastaa waliojitoa katika mtandao huo tangu uanze kumilikiwa na Elon Musk, amedai kuwa mabadiliko hayo yatachangia taarifa potofu kusambaa kwa urahisi.
Akijibu hoja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.